Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

Nanukuu: "Iran yupo hatarini kuliko kipindi kingine chote"
Aisee!? Kweli Iran anaumia sana ndani kwa ndani; Na kazi ya kumsubiri adui ambaye amekuahidi tena kwa kiapo kwamba lazima akudunde lakini hajasema ni saa ngapi, ni lini, mahali gani na kwa ukali wa kiwango gani; halafu tena huku unawasikia wanafanya vikao vya kukujadili namna bora zaidi ya kukutwanga ili maumivu yako yawe ni ya kiwango cha juu ....... Dah! ni mateso makali ya kutosha kisaikolojia.
Unaizungumzia Iran kama unaizungumzia Tanzania.
😂😂😂
 
Israel inajitahidi kuionyesha dunia haikubali kudhalilika na kuonekana mnyonge mbele ya Tehran lakini ukweli ni kwamba Israel ni wadogo kivita kwa Iran.

Tatizo ni kwamba Iran ilivumilia uchokozi wa Israel kwa muda mwingi na Israel ikadhani inaogopwa ikaendelea na uchokozi na mauaji lakini sasa Iran imeona njia bora ni kulipiza kisasi kwa kila uchokozi anaofanya Israel.
Ni kweli ndugu ..umeongea kama mtu mwenye kufikiria isreli ilijitahid sana kuonyesha dunia wao wana strong military na waarabu wakaweka mikia nyuma.. Iran kwa upande wake amejitahidi sana kuwa mvumilovyo ..uvumilovi wake isreli wakajiona wao wanaweza kufanya kila kitu ..kwa sasa Iran wame creates a new equation..na wamemwambia usa wameshaatoka huko kuvumili ujinga
 
Kama ulikuwa umelala usingizi, Iran iliposhambulia Israel kwa makombora rundo, ambayo ni only 20% yalifika anga la Israel na kutunguliwa, mabaki yakimjeruhi binti mmoja
Hivi mnafaidika vipi na huu ushabiki wa kitoto kuamini kuwa baba yako hakuna kitu anashindwa?
😂😂😂
 
Ingekuwa Syria au Gaza imeishambulia Israel mara mbili mfululizo bado wangekuwa na vikao kama vya send off kila siku?
Acha kushikiwa akili fungua ubongo wako kwamba Iran ni mkubwa mno kwa Israel ndio maana unaona kila siku Israel anakuja na mipasho bila vitendo.

Hivi dunia ya leo bado mtu unaamini katika propaganda? Yaani mtu atwangwe mara mbili kipigo kitakatifu halafu asirudishe majibu bado unaaminishwa propaganda dhidi ya ukweli?

Ama kweli maajabu kamwe hayawezi kwisha duniani. Israel na mabwana zake wanaujua moto wa Iran ndio maana wanajadiliana hawafikii mwafaka kwasababu inaweza kuwa zahma kubwa kwa Israel akijaribu kujibu.
Sio kwamba Iran ni kubwa kuliko Israel bali wanaoima implication. Tatizo la Mashariki ya kati ni Iran na Marekani. Marekani imeacha wajibu wake wa kuwa Kiranja kama zamani pengine kutokana na kuwa na viongozi dhaifu. Hali hii imempa nguvu muajemi kuwekeza sana kwenye silaha. Kama Marekani ingekuwa bent na Israel hii vita ingeshaisha. Lakini Marekani imekuwa kikwazo kwa Israel. Ndio maana katika siku za karibuni Israel iliamua kuchukuwa hatua yenyewe bila kuijulisha Marekani. Mathalan kuingiza jeshi eneo la Rafa Marekani hakutaka lakini Israel ikaamua na ikafanikiwa. Kuwaua viongozi wa Hamas ni maamuzi ya Israel yenyewe bila kuijulisha Marekani.
Sasa hili la kulipa kisasi kwa Iran lilikuwa limepangwa na Marekani kujulishwa. Matekani ikalikisha taarifa kwa Iran. Kwa hiyo kwa sasa Israelbhawezi kushambulia hadi kwanza ifanye kazi ya ziada na kutoijulisha Marekani wala mtu mwingine. Shambulizi litafanywa ghafla na hayo mataifa yatajua kuwa Israel hana mchezo pale watu wake wanapouwawa au maslahi yake kuharibiwa. Hivyo, tulieni tu mtakuja kuona!
 
Unaizungumzia Iran kama unaizungumzia Tanzania.
😂😂😂
Unadhani kazi ya kumkimbiza-kimbiza huyo mzee na kumhamisha-hamisha kumficha asijeakaonekana au kugundulika alikofichwa ni kazi ndogo?
 
Mateso haya walikua nayo waisrael mpk wakawa wanajazana airport kukimbia nchi
Tuonyeshe wananchi wa Iran wakiwa kwenye panic mode
Au hata kuandamana kwa uoga
Acheni kujifariji enyi wanafunzi wa paulina
Mazingira na muda(Wakati) yalipotukia hayo mateso kwa Waisraeli ni Tofauti na Wakati tulio nao kwa sasa.
Kwa raia wa kawaida huko Iran anaweza asilijue hilo lakini Uongozi mzima wa nchi na baadhi ya watu Maarufu na Wawekezaji waliopo ndani ya nchi hiyo wanaijua hali iliyopo na inayoendelea ila hawajui mwisho itakuwaje.
 
Unazungumzia nyumba ya netanyau iliopigwa na drone ?
Acha roho mbaya mwenye nyumba angekua ndani c hali yake ingekua tete
Ebu tafuta msatari mwingine
Hapana. Nyumba ni Iran na Mwenye nyumba ni hao akina Ayatollah na viongozi wenzake.
 
Hofu na uwoga haijawai kua sifa za uislam hasa kwenye kipindi hiki cha Vita ,.we kondoo wa bwana huezi elewa
Alaf mnasema huyo ni gaidi sasa toka lini gaidi akaogopa kufa ?
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba sifa za Uislam kwenye kipindi cha vita ni kutokuogopa kifo, kulia-lia kwamba adui anaua wanawake na watoto pamoja na kuwatumia Raia kama ngao dhidi ya adui?
Mbinu ya kimkakati wa muda mrefu ya nyie wavaa kobaz mliyojiwekea na mnayotumia sio endelevu(Sustainable) na ni Hatarishi mno kwa Raia, miundombinu ya Kijamii na Uchumi wa Nchi kwa ujumla.. e.g. Kwa nini kujenga mahandaki chini ya miundombinu ya Kijamii, kwa nini kuweka hifadhi ya silaha chini ya majengo muhimu kama Benki na Hospitali? Kwa nini kuwanyima raia Taarifa kwamba hapo walipoweka makazi yao chini yake kuna shughuli za kijeshi zinaendelea?
 
The question of whether Israel would "crush" Iran in a conflict is highly speculative and complex, as it involves many variables, including military capabilities, regional alliances, geopolitical strategies, and the unpredictable nature of war. Here are several reasons why some analysts believe Israel could have the upper hand in a potential conflict with Iran, though it's important to note that such a scenario would likely have devastating consequences for the region:

1. Superior Military Technology

Israel possesses advanced military technology, much of it domestically produced and tested in real-world conflicts. The country has one of the most advanced air forces in the world, with state-of-the-art aircraft such as the F-35I stealth fighters, Iron Dome missile defense systems, and cutting-edge cyber capabilities. These systems give Israel a technological edge over Iran, especially in terms of precision strikes and missile defense.

2. Nuclear Deterrence

Israel is widely believed to have nuclear weapons, though it has never officially confirmed this. This nuclear capability serves as a deterrent to Iran, as any direct existential threat to Israel might provoke a devastating response. Iran, despite its regional ambitions, is not known to have nuclear weapons, though its nuclear program remains a point of international concern.

3. Alliances with Western Powers

Israel enjoys strong alliances with major Western powers, particularly the United States, which provides military aid and intelligence-sharing. The U.S. has been a staunch supporter of Israel’s security, which could tip the balance in Israel's favor in the event of a conflict. Additionally, Israel’s ties with European countries and growing partnerships with Arab states (e.g., through the Abraham Accords) further bolster its geopolitical standing.

4. Cyber Warfare Capabilities

Israel has developed formidable cyber warfare capabilities, which could play a critical role in disabling Iranian military and infrastructure systems. Israel’s cyber units have reportedly conducted successful operations in the past, disrupting Iranian nuclear facilities and other strategic targets. This capability allows Israel to inflict significant damage without engaging in direct military confrontation.

5. Intelligence and Espionage

Israel’s intelligence agencies, especially Mossad, have a reputation for being among the best in the world. Israel’s intelligence network has reportedly conducted numerous covert operations inside Iran, including sabotage of nuclear facilities, assassinations of key figures, and intelligence-gathering missions. This capability gives Israel an advantage in preemptive strikes or covert actions that could destabilize Iranian defenses.

6. Geographic Considerations

While Iran is geographically larger and farther from Israel, Israel’s focus on regional deterrence and preemptive defense strategies may offset the geographic challenge. Israel’s doctrine of striking preemptively to neutralize threats (e.g., Operation Opera in 1981 against Iraq’s nuclear reactor) suggests that it would not wait for an attack from Iran but might strike first if it felt an imminent threat, potentially limiting Iran's ability to respond effectively.

7. Economic Stability and Resources

Israel's relatively stable economy, driven by high-tech industries and supported by Western financial systems, provides the country with the resources to maintain a highly capable defense force. In contrast, Iran faces significant economic challenges, partly due to international sanctions and internal governance issues. This economic disparity could limit Iran’s ability to sustain a prolonged conflict against Israel.

8. Iran's Internal Divisions and Proxies

Iran is also engaged in multiple regional conflicts, supporting proxy groups such as Hezbollah in Lebanon, militias in Iraq, and factions in Yemen and Syria. This diffuses Iran’s military focus and resources. In a direct conflict with Israel, Iran's attention might be split between supporting these groups and defending its own territory, weakening its overall effectiveness.

9. Regional Isolation

While Iran has some allies (such as Syria and certain proxy groups), it is relatively isolated in the region, particularly as Arab states like the UAE and Bahrain have normalized relations with Israel through the Abraham Accords. This diplomatic shift limits Iran’s regional influence and support, making it harder for Iran to mobilize regional powers against Israel.

Potential Counterarguments

It’s important to note, however, that Iran is not without significant military strength and regional influence. It has a large conventional military, ballistic missile capabilities, and a network of proxy forces throughout the Middle East, which could make any conflict costly for Israel. Additionally, direct military confrontation would likely draw in regional and global powers, leading to a broader, more unpredictable war with devastating consequences for both sides.

In summary, while Israel has clear military and technological advantages over Iran, the notion of one side "crushing" the other oversimplifies the complexities of such a conflict. Any potential war would be destructive, with severe ramifications for both countries and the broader region.
 
Niko neutral nawasoma waajemi wa Manzese na wayahudi wa matumbi wakitambiana.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training

By Emanuel Fabian Follow
and Agencies

Today, 5:19 pm

Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base that “after we strike in Iran, everyone will understand what you did in the preparation and training process.”

Visiting the Hatzerim base ahead of Israel’s promised response to Iran’s October 1 major ballistic missile attack, Gallant said, “Everyone who dreamed a year ago of beating us and attacking us paid a heavy price and are no longer in that dream.”

Israel has held several major drills simulating long-range strikes on Iran over the years in preparation for a possible confrontation with Tehran. On Tuesday, the FBI said that it was investigating the unauthorized release of US classified documents on Israel’s latest preparations for a potential retaliatory attack.

Some social media posts in recent days singled out a US Defense Department employee as supposedly being under investigation for the leak, but offered no evidence.

Speaking to reporters in Rome, US Defense Secretary Lloyd Austin said there were no indications any employees from the Office of the Secretary of Defense were being probed for the leak.
Tuendelee kusubiri
 
An empty tin makes up the most noise., wewe unashambuliwa maeneo yako ya kijeshi halaf unapiga mdomo tu, putin alishindwa alishazipasha moto nuclear akapoa mwenye sasa anokodi askari kutoka north korea
 
Wewe huwa unafuatilia mambo au unasimliwa? Israel imetwangwa mara 2 bila majibu! Unaishi wapi?

Kama ulikuwa umelala usingizi, Iran iliposhambulia Israel kwa makombora rundo, ambayo ni only 20% yalifika anga la Israel na kutunguliwa, mabaki yakimjeruhi binti mmoja,, Israel ilijibu kwa kutwanga mtambo wa ulinzi wa Iran, na Iran ikafyata kimya. Hili shambulio la karibuni, bado wanajiandaa maana Israel huwa hairushi makombora hovyo, yatue nyikanix, kama inavyofanya Iran..
Kwani wewe jamaa unafaidika nini kwa kuongopa!?
Shambulizi la Israel lililenga kinu cha nuke Isfahan.
Lile shambulio lilifeli.
Hizo habari zingine unazoleta unatuongopea hapa.
 
Sio kwamba Iran ni kubwa kuliko Israel bali wanaoima implication. Tatizo la Mashariki ya kati ni Iran na Marekani. Marekani imeacha wajibu wake wa kuwa Kiranja kama zamani pengine kutokana na kuwa na viongozi dhaifu. Hali hii imempa nguvu muajemi kuwekeza sana kwenye silaha. Kama Marekani ingekuwa bent na Israel hii vita ingeshaisha. Lakini Marekani imekuwa kikwazo kwa Israel. Ndio maana katika siku za karibuni Israel iliamua kuchukuwa hatua yenyewe bila kuijulisha Marekani. Mathalan kuingiza jeshi eneo la Rafa Marekani hakutaka lakini Israel ikaamua na ikafanikiwa. Kuwaua viongozi wa Hamas ni maamuzi ya Israel yenyewe bila kuijulisha Marekani.
Sasa hili la kulipa kisasi kwa Iran lilikuwa limepangwa na Marekani kujulishwa. Matekani ikalikisha taarifa kwa Iran. Kwa hiyo kwa sasa Israelbhawezi kushambulia hadi kwanza ifanye kazi ya ziada na kutoijulisha Marekani wala mtu mwingine. Shambulizi litafanywa ghafla na hayo mataifa yatajua kuwa Israel hana mchezo pale watu wake wanapouwawa au maslahi yake kuharibiwa. Hivyo, tulieni tu mtakuja kuona!
Iran sio Gaza.
Iran ni special case.
Kama shambulio la Iran la may US,UK na France kwa pamoja ziliisaidia Israel kudungua makombora na saba yakapita, jiulize Israel ingebaki peke yake ingekuaje!?
Iran ni taifa lenye nguvu kijeshi nguvu ambayo Israel hawezi kuimudu hata kidogo.
 
WEWE PIMBI NGURUWE WA KIHA SUBIRINI MBWA NYIE WAKATI BABA YENU ALLAH YUKO BIZE NA MABIKRA KUZIMU NGOJA TUWANYOOSHE
Majibu yako yanaonesha jinsi gani huna facts zaidi ya uropokaji Kama choo kilichozibuliwa lete fact kuwa hayo makombola hayakufika otherwise wewe ni mashauzi classic taaarabu
1728374913322.jpg
 
Wanamuweka Ayatollah kwenye tension akipandisha pressure kila siku akiwa hajui lini Israel itapiga muda sasa askari wa Iran hawajui usingizi hiyo tu.kisaikolojia wanachoka akili na mwili
SAWA BENJAMINI AKILI MINGI SANA WEWE
 
Back
Top Bottom