Sio biashara yangu kujua anapoishi.Huyo huyo Ayatollah. Kwani wewe unajua anapoishi maskani yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio biashara yangu kujua anapoishi.Huyo huyo Ayatollah. Kwani wewe unajua anapoishi maskani yake?
Mbona umekwepa kutaja kwamba anaishi mafichoni? Kumbuka chimbuko la hoja lipo hapo post #97 na ni Hali ya Taharuki ya Kitisho na Hofu ya kuuwawa na Israel kutokana na tukio la tar. 1 Oktoba 2024 lililofanywa na Iran dhidi ya Israel.Sio biashara yangu kujua anapoishi.
Unaongea upuuzi tu!Mbona umekwepa kutaja kwamba anaishi mafichoni? Kumbuka chimbuko la hoja lipo hapo post #97 na ni Hali ya Taharuki ya Kitisho na Hofu ya kuuwawa na Israel kutokana na tukio la tar. 1 Oktoba 2024 lililofanywa na Iran dhidi ya Israel.
Hilo shambulio hakutumia Hypersonic angetumia Hypersonic wasinge angusha hata Missile moja.Iran sio Gaza.
Iran ni special case.
Kama shambulio la Iran la may US,UK na France kwa pamoja ziliisaidia Israel kudungua makombora na saba yakapita, jiulize Israel ingebaki peke yake ingekuaje!?
Iran ni taifa lenye nguvu kijeshi nguvu ambayo Israel hawezi kuimudu hata kidogo.
Asante Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai ,,,mavaa kobazi yapigwe yachakae
Netanyahu hata akiwa na majeshi yake anavaa bullet proof 10 utafikiri ni kiboko , Hivi anaogopa kitu gani na yeye kwanza ni Mteule wa Mungu , pili ni Mteule wa Marekani na silaha zote unazozijua alizonazo Mmarekani kapewa , Hofu ya kitu gani ??Huyu mzee atajifia tu mwenyewe bila hata ya risasi au drone kutumika. Ni katika Hofu kuu umauti utamkuta. RIP in advance.
Sasa mkuu siku wakijibu utasemaje!?...maana hata Irani aliposema atalipiza kisasi dhidi ya Israeli wapanda Israeli walisema kama unavyosema wewe sasa.Swali ni je,unadhani hata wairani wana ona kama hizo ni propaganda tuu!? Au wanahaha!?au unadhani kilicho mpata yule kiongozi wao kwenye helkopta!?wana kichuliaje na je walikitarajia!?Ingekuwa Syria au Gaza imeishambulia Israel mara mbili mfululizo bado wangekuwa na vikao kama vya send off kila siku?
Acha kushikiwa akili fungua ubongo wako kwamba Iran ni mkubwa mno kwa Israel ndio maana unaona kila siku Israel anakuja na mipasho bila vitendo.
Hivi dunia ya leo bado mtu unaamini katika propaganda? Yaani mtu atwangwe mara mbili kipigo kitakatifu halafu asirudishe majibu bado unaaminishwa propaganda dhidi ya ukweli?
Ama kweli maajabu kamwe hayawezi kwisha duniani. Israel na mabwana zake wanaujua moto wa Iran ndio maana wanajadiliana hawafikii mwafaka kwasababu inaweza kuwa zahma kubwa kwa Israel akijaribu kujibu.
Israel ndo inayo fadhili HAMAS,HOUTH,HEZBOLAR na vikundi vingine vya kigaid?Israel inajitahidi kuionyesha dunia haikubali kudhalilika na kuonekana mnyonge mbele ya Tehran lakini ukweli ni kwamba Israel ni wadogo kivita kwa Iran.
Tatizo ni kwamba Iran ilivumilia uchokozi wa Israel kwa muda mwingi na Israel ikadhani inaogopwa ikaendelea na uchokozi na mauaji lakini sasa Iran imeona njia bora ni kulipiza kisasi kwa kila uchokozi anaofanya Israel.
Mkuu unaonekana una utulivu na ukomavu mkubwa wa akili.Binafsi nimejiwekea kukipa muda kila kitu; kuweka akiba ya maneno wakati mwingine ni muhimu sana. As far as I know; Israel and Iran they know each other. Iran haiidharau Israel kama sisi tunavyo fanya hapa wala Israel haiidharau Iran kama baadhi yetu tulivo humu ndani; nina sababu ya kusema hivo; unadhani why Iran inamuhamisha hamisha Ayatollah maeneo ya kuishi kila siku? Why wamemuhoji sana CDF wao and like kapumzishwa kazi yake ya ukuu wa majeshi? Again unadhani why Iran anaendelea kuitumia Lebanon kama shield na haendi mwenyewe front? Ni makosa sana kudhani kwamba Israel anaiogopa hivo Iran wakati ameua watu wake muhimu sana kwenye ardhi yake tena jijini Tehran, zipo habari kwamba hata their former president wao Israel ndio wamemuua kwa kutumia zile simu za analogy, kaua wana sayansi wake wa nuclear pale pale Tehran; unawezaje kumdharau huyu mtu? Again, nipo kinyume sana na wanao idharau Iran kwa Israel, Iran karusha makombora kadhaa jijini Tel avivu (zamani Yafa ) na Israel hajachukua hatua kwa haraka; narudia, Iran na Israel wanajuana in and out. Tujipe muda; huenda bei ya mafuta ikapanda tena yaani
Kuhusu mwisho huo mpango walishawahi kuwa nao mataifa mengi hasimu ya Israeli lakini walishindwa tena kwa vitendo.Nikweli kwamba tunaichukia saana either Israeli au Irani lakini uhalisia utaamua hizi kaulihisia tunazo ziita na kuaminii kwamba ndio UKWELI.hawana ubavu huo, Hamas mpaka leo wameishindwa, mwaka unakatika. Hawajaweza kuokoa mateka wao.
Lebanon ndiyo wamingia cha kike. Wakiigusa Iran safari hii, Itran wameshatangaza, ndiyo itakuwa mwisho wa mazayuni duniani.
Acha uongo, Israeli hana ubavu wa kuishambulia Iran bila msaada wa marekani. Israel hawezi hata kuwashinda Hezbollah bila ya msaada wa magharibiSio kwamba Iran ni kubwa kuliko Israel bali wanaoima implication. Tatizo la Mashariki ya kati ni Iran na Marekani. Marekani imeacha wajibu wake wa kuwa Kiranja kama zamani pengine kutokana na kuwa na viongozi dhaifu. Hali hii imempa nguvu muajemi kuwekeza sana kwenye silaha. Kama Marekani ingekuwa bent na Israel hii vita ingeshaisha. Lakini Marekani imekuwa kikwazo kwa Israel. Ndio maana katika siku za karibuni Israel iliamua kuchukuwa hatua yenyewe bila kuijulisha Marekani. Mathalan kuingiza jeshi eneo la Rafa Marekani hakutaka lakini Israel ikaamua na ikafanikiwa. Kuwaua viongozi wa Hamas ni maamuzi ya Israel yenyewe bila kuijulisha Marekani.
Sasa hili la kulipa kisasi kwa Iran lilikuwa limepangwa na Marekani kujulishwa. Matekani ikalikisha taarifa kwa Iran. Kwa hiyo kwa sasa Israelbhawezi kushambulia hadi kwanza ifanye kazi ya ziada na kutoijulisha Marekani wala mtu mwingine. Shambulizi litafanywa ghafla na hayo mataifa yatajua kuwa Israel hana mchezo pale watu wake wanapouwawa au maslahi yake kuharibiwa. Hivyo, tulieni tu mtakuja kuona!
Mkuu unaniuliza ama unanipa taarifa?Israel ndo inayo fadhili HAMAS,HOUTH,HEZBOLAR na vikundi vingine vya kigaid?
Hakuna asiyeogopa kifo. Hata Yahya Sinwar alichukua tahadhari dhidi ya kifo ila basi tu Umauti ulimfika.Netanyahu hata akiwa na majeshi yake anavaa bullet proof 10 utafikiri ni kiboko , Hivi anaogopa kitu gani na yeye kwanza ni Mteule wa Mungu , pili ni Mteule wa Marekani na silaha zote unazozijua alizonazo Mmarekani kapewa , Hofu ya kitu gani ??
Mkuu; Unaulizwa umtaje yule anayeviwezesha vikundi HAMAS, Hezbollah na Houth kuwa na ujasiri wa kuishambulia Israel.Mkuu unaniuliza ama unanipa taarifa?
na benjamini nae anaishi wapi?mbon juzi tu hap nyumba yake ilipigwa na yeye hakuwepo au alienda dukani kwa mangi kununua kiberiti...hata benjamini nae anaishi kimitego chini ya ardhi coz anajua silaha za Iran zinaweza kupiga popote ndani ya IsraeliMbona umekwepa kutaja kwamba anaishi mafichoni? Kumbuka chimbuko la hoja lipo hapo post #97 na ni Hali ya Taharuki ya Kitisho na Hofu ya kuuwawa na Israel kutokana na tukio la tar. 1 Oktoba 2024 lililofanywa na Iran dhidi ya Israel.
hii nayo kali kwakweli...nimeamini kichwa bila akili mzigo kwa kichwaIsrael ndo inayo fadhili HAMAS,HOUTH,HEZBOLAR na vikundi vingine vya kigaid?
Wote ni mwendo wa "leopard crawl"na benjamini nae anaishi wapi?mbon juzi tu hap nyumba yake ilipigwa na yeye hakuwepo au alienda dukani kwa mangi kununua kiberiti...hata benjamini nae anaishi kimitego chini ya ardhi coz anajua silaha za Iran zinaweza kupiga popote ndani ya Israeli