Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

Mkuu usiwaite baadhi ya waislam wapumbavu na ndio wanaufanya uislam uonekane una shida.. tanbua hao ndio waislmu wanaofuata dini vizuri..
Aya zinasema Waislam wanatakiwa waishi juu ya non Muslim, kwa kila idara. And Christmas na Wayahudi Allah anawatambua kama vizazi vya hovyo. Ndio maana wale Isis kule Iraq na Syria ndio waislam halisi wanaofuata Sunna ya Mtume wao.. wengine huku ni wazugaji tu.. uislam unataza kuwa na rafiki asiye muislm labda muislam akiwa hana nguvu so anatakiwa kuongopa yaani unafiki as if ni friend wako au anakupenda Allah na mtume wake wameema.

Ukitaka Aya nikupatie
embu nipe aya mkuu, si kwamba watu wabashindwa kutafsiri aya ?😂
 
Wadau hamjamboni nyote

Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu

Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa

Mungu ibariki Israel

National Security Minister Itamar Ben Gvir’s car flipped as he was involved in a car accident while leaving the scene of a terror stabbing in the central city of Ramle, police say. Witnesses said he ran a red light.

Police say two vehicles were involved in the collision and that three people were taken to hospital after being lightly injured.

Ben Gvir’s office says the minister is in good condition and conscious, but is being taken to the nearby Shamir Medical Center for further treatment.

Pictures from the scene show his official vehicle flipped over, while another car has a smashed in front.

Police say they are investigating the cause of the crash.

Channel 12 reporter Amit Segal quotes a witness as saying that Ben Gvir’s vehicle ran a red light and that there have been numerous reports in recent months that his official vehicle has committed a number of traffic violations.

In August last year, Ben Gvir was involved in another accident when his vehicle ran a red light while on the way to an interview. Hebrew media have reported that he routinely instructs his driver to flout traffic rules.
Mwanzoni iliarifiwa kapata ajali tu na kukimbizwa hospitali.
Taarifa za karibuni ni kuwa kapata ajali na kaumia.
Zinazofuata ndio zitawazindua na wenzake.
 
Back
Top Bottom