Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwana

Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea.

Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi unavyokwenda. Ngoja niwapeni mfano hapo chini 👇

Mnamo miaka ya 1960s, 1970s hadi 2000s. Rwanda ilikuwa inaongozwa na kabila la wahutu, huku watutsi wakinyima haki ya kushika nafasi yoyote ya uongozi katika nchi hiyo. Halikadhalika kwa ndugu zao wa damu Burundi miaka hiyo hiyo ya 1960s, 1970s hadi 2000s watutsi wao ndio waliokuwa wanaongoza serikali, huku wahutu wakinyimwa nafasi yoyote ya uongozi serikalini.

Lakini ilipofika miaka ya 2000s kuja juu mambo yalibadilika katika mazingira yale yale yasiotegemewa, ambapo Rwanda iliyokuwa inaongozwa na wahutu sasa inaongozwa na watutsi. Na Burundi iliyokuwa inaongozwa na watutsi sasa inaongozwa na wahutu. Unaweza ukaona uhalisia wa mabadiliko ulivyofanya kazi.

Pia mfano mungine upo kwa Japan ambayo iliivamia China, na kuwafanya wachina ni watumwa wao miaka mingi iliyopita. Ila leo hii Japan inaihitaji Marekani ailinde dhidi ya China ambayo kwa sasa inanguvu kubwa kuliko Japan.

Sasa turudi kwenye mada yetu ya leo. Kwa miaka mingi sana, Israel imekuwa ikiitumia Marekani kama kinga yake kwa uharamia wote walioufanya dhidi ya majirani zake.

Israel ilikuwa na uwezo wa kufanya lolote bila kuwajibishwa na yeyote, hali iliyowafanya wavimbe vichwa na kutembea vifua mbele. Walifanya hivyo kwa kujua kwamba nchi ambayo ingewasumbua ( Iran ) ilikuwa imewekewa vikwazo vikubwa vya kiuchumi, kijeshi, teknolojia nk. So kamwe kwa unyama wote wanaoufanya pale middle east waisrael wasingeweza kuwajibishwa.

Kumbe mambo yanabadilika yenyewe. Waliowekewa vikwazo ( Iran) wana akili kubwa ya kuvikwepa vikwazo. Wakatengeneza nguvu nyuma ya vikwazo bila Israel kujua kinachoendelea. Then wakawa tayari kuionesha Dunia kwamba wao wana uwezo wa kuiwajibisha Israel, na yeyote anaejaribu kuzuia Israel isiwajibishwe.

Israel na Marekani bila kujua kwamba huu ni muda wa mabadiliko, wakaingia mbele kuzuia uwajibishwaji wa Israel. Hali iliyopelekea nchi zote mbili yani Israel na Marekani kufarakana, huku kila mmoja kulaumu mwenzake.

Kauli za viongozi wakuu wa nchi hizo zikaanza kuwa za kushambuliana Trump akimshambulia Netanyahu kwa kumwambia live kuwa bila Marekani kuingilia kati mzozo wa Israel na Iran basi saa hizi kusingekuwa na nchi inayoitwa Israel. Trump kaenda mbali kwa kusema kuwa nchi yake imekuwa ikiisaidia Israel silaha nyingi, na zenye uwezo mkubwa zaidi kijeshi bure ili kuilinda. Hivyo ni lazima Israel iheshimu kile ambacho Marekani wanataka kifanyike ili kuepuka mzozo zaidi Mashariki ya kati na gharama za vita zisizokuwa na tija kwa Marekani na Israel yenyewe.

Kwa upande wa Israel japo Netanyahu haoneshi kuongea sana, lkn baadhi ya mawaziri akiwemo waziri wake wa ulinzi wa taifa Itamar Ben-Gvir amekuwa akiongea maneno machafu dhidi ya Marekani kana kwamba yeye huwa anatoa bajeti yoyote ya jeshi nchini humo.

Ikumbukwe kwamba Israel ni nchi inayotegemea msaada wa kijeshi kutoka Marekani. Hivyo kila inapoingia kwenye vita ni Marekani na walioa kodi wa Marekani ndio wanaoumia. Sasa kutaka kung'ang'ania vita wakati hawana uwezo hata wa kupanga bajeti yao wenyewe ya jeshi ni uwendawazimu.

Raia wa Marekani washachoka kudhamini vita vya Israel hivyo wanataka amani na Iran ili kuepusha gharama za kila siku za vita. Na Israel kwa vile ni tegemezi sasa ameanza kupuuzwa na kuwekwa nyuma ya mipango ya Marekani na ndio maana hakuna kiongozi hata mmoja wa Israel aliehusishwa kwenye vikao vyote vilivyofanyika.

Israel ni sawa na kijana masikini ambae huwa haitwi kwenye vikao vya familia. Na ikitokea bahati mbaya akawepo kwenye kikao basi hatopewa nafasi ya kuongea lolote katika kikao.

Mnaweza kuona kumbe ile kauli ya waziri huyo kwamba Israel yenyewe ina uwezo wa kuingia vitani ni Iran ni ya hovyo kwa sababu vita ikianza wao hukimbilia Marekani na kuwaacha raia, na wanajeshi peke yao.

So safari hii Marekani wamemnyima visa ili akianzisha vita na Iran apambane na hali yake 🤣🤣🤣

So Ben-Gvir akumbushwe kwamba Trump ana hasira mno baada ya kiongozi wake Netanyahu kumuingiza kwenye mkenge wa vita asivyoviweza na kuisababishia nchi yake hasara kubwa katika vita hiyo. Ile sera ya Marekani ya Make America Great Again imekufa kifo cha Mende kutokana na vita hii ambayo haikuwa na tija yoyote zaidi ya Marekani kupoteza 90% ya kambi zake ilizojenga kwa mabilioni ya Dola.
FB_IMG_1781560533127.jpg
 
Niaje waungwana

Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea.

Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi unavyokwenda. Ngoja niwapeni mfano hapo chini 👇

Mnamo miaka ya 1960s, 1970s hadi 2000s. Rwanda ilikuwa inaongozwa na kabila la wahutu, huku watutsi wakinyima haki ya kushika nafasi yoyote ya uongozi katika nchi hiyo. Halikadhalika kwa ndugu zao wa damu Burundi miaka hiyo hiyo ya 1960s, 1970s hadi 2000s watutsi wao ndio waliokuwa wanaongoza serikali, huku wahutu wakinyimwa nafasi yoyote ya uongozi serikalini.

Lakini ilipofika miaka ya 2000s kuja juu mambo yalibadilika katika mazingira yale yale yasiotegemewa, ambapo Rwanda iliyokuwa inaongozwa na wahutu sasa inaongozwa na watutsi. Na Burundi iliyokuwa inaongozwa na watutsi sasa inaongozwa na wahutu. Unaweza ukaona uhalisia wa mabadiliko ulivyofanya kazi.

Pia mfano mungine upo kwa Japan ambayo iliivamia China, na kuwafanya wachina ni watumwa wao miaka mingi iliyopita. Ila leo hii Japan inaihitaji Marekani ailinde dhidi ya China ambayo kwa sasa inanguvu kubwa kuliko Japan.

Sasa turudi kwenye mada yetu ya leo. Kwa miaka mingi sana, Israel imekuwa ikiitumia Marekani kama kinga yake kwa uharamia wote walioufanya dhidi ya majirani zake.

Israel ilikuwa na uwezo wa kufanya lolote bila kuwajibishwa na yeyote, hali iliyowafanya wavimbe vichwa na kutembea vifua mbele. Walifanya hivyo kwa kujua kwamba nchi ambayo ingewasumbua ( Iran ) ilikuwa imewekewa vikwazo vikubwa vya kiuchumi, kijeshi, teknolojia nk. So kamwe kwa unyama wote wanaoufanya pale middle east waisrael wasingeweza kuwajibishwa.

Kumbe mambo yanabadilika yenyewe. Waliowekewa vikwazo ( Iran) wana akili kubwa ya kuvikwepa vikwazo. Wakatengeneza nguvu nyuma ya vikwazo bila Israel kujua kinachoendelea. Then wakawa tayari kuionesha Dunia kwamba wao wana uwezo wa kuiwajibisha Israel, na yeyote anaejaribu kuzuia Israel isiwajibishwe.

Israel na Marekani bila kujua kwamba huu ni muda wa mabadiliko, wakaingia mbele kuzuia uwajibishwaji wa Israel. Hali iliyopelekea nchi zote mbili yani Israel na Marekani kufarakana, huku kila mmoja kulaumu mwenzake.

Kauli za viongozi wakuu wa nchi hizo zikaanza kuwa za kushambuliana Trump akimshambulia Netanyahu kwa kumwambia live kuwa bila Marekani kuingilia kati mzozo wa Israel na Iran basi saa hizi kusingekuwa na nchi inayoitwa Israel. Trump kaenda mbali kwa kusema kuwa nchi yake imekuwa ikiisaidia Israel silaha nyingi, na zenye uwezo mkubwa zaidi kijeshi bure ili kuilinda. Hivyo ni lazima Israel iheshimu kile ambacho Marekani wanataka kifanyike ili kuepuka mzozo zaidi Mashariki ya kati na gharama za vita zisizokuwa na tija kwa Marekani na Israel yenyewe.

Kwa upande wa Israel japo Netanyahu haoneshi kuongea sana, lkn baadhi ya mawaziri akiwemo waziri wake wa ulinzi wa taifa Itamar Ben-Gvir amekuwa akiongea maneno machafu dhidi ya Marekani kana kwamba yeye huwa anatoa bajeti yoyote ya jeshi nchini humo.

Ikumbukwe kwamba Israel ni nchi inayotegemea msaada wa kijeshi kutoka Marekani. Hivyo kila inapoingia kwenye vita ni Marekani na walioa kodi wa Marekani ndio wanaoumia. Sasa kutaka kung'ang'ania vita wakati hawana uwezo hata wa kupanga bajeti yao wenyewe ya jeshi ni uwendawazimu.

Raia wa Marekani washachoka kudhamini vita vya Israel hivyo wanataka amani na Iran ili kuepusha gharama za kila siku za vita. Na Israel kwa vile ni tegemezi sasa ameanza kupuuzwa na kuwekwa nyuma ya mipango ya Marekani na ndio maana hakuna kiongozi hata mmoja wa Israel aliehusishwa kwenye vikao vyote vilivyofanyika.

Israel ni sawa na kijana masikini ambae huwa haitwi kwenye vikao vya familia. Na ikitokea bahati mbaya akawepo kwenye kikao basi hatopewa nafasi ya kuongea lolote katika kikao.

Mnaweza kuona kumbe ile kauli ya waziri huyo kwamba Israel yenyewe ina uwezo wa kuingia vitani ni Iran ni ya hovyo kwa sababu vita ikianza wao hukimbilia Marekani na kuwaacha raia, na wanajeshi peke yao.

So safari hii Marekani wamemnyima visa ili akianzisha vita na Iran apambane na hali yake 🤣🤣🤣

So Ben-Gvir akumbushwe kwamba Trump ana hasira mno baada ya kiongozi wake Netanyahu kumuingiza kwenye mkenge wa vita asivyoviweza na kuisababishia nchi yake hasara kubwa katika vita hiyo. Ile sera ya Marekani ya Make America Great Again imekufa kifo cha Mende kutokana na vita hii ambayo haikuwa na tija yoyote zaidi ya Marekani kupoteza 90% ya kambi zake ilizojenga kwa mabilioni ya Dola.View attachment 3609085
1. Waisrael hawahitaji visa kwenda Marekani.

2. Chanzo cha habari kwamba jamaa kanyimwa visa ni kipi?

Habari iliyopo ni kwamba yeye mwenyewe alienda kuomba visa [sijui hata kwa nini kwa sababu raia wa Israel hawahitaji visa kama hawatokaa zaidi ya siku 90] lakini alipoambiwa akachukuliwe alama za vidole, yeye mwenyewe akaghairi.

Sababu ya yeye kughairi inadaiwa kuwa pengine ni kwa sababu ana historia/ usuli wa makosa ya jinai na hali hiyo ingeweza kumletea tabu.

Kwa hiyo, rasmi hajanyimwa visa. Kakacha mwenyewe baada ya kuona mambo yamekuwa magumu.
 
Kwanini wampangie Hiyo Sheria wakati inaonekana Awali hawakuwahi kumwambiaga hivyo

Seems wamewachoka !?
 
Tatizo la makenge wao wanadhani USA anamuhitajua sana Israel kama huyo muosha vyoo Tela Aviv Echolima1 huyo humuambii kitu kwa maboss wake afu anakuambia taifa teule hahaha
Huyo anaandika thread au kujibu comment kwa kutumia mihamko ya dini. Sisi wengine tunaandika uhalisia mambo bila kuangalia swala la dini.

Kupitia vita hii Trump amegundua mwenyewe kuwa waajemi ni watu majasiri, wenye umoja, mshikamano na akili ya hali ya juu. Ameweza kuangalia aina ya vikwazo vikali vya kiuchumi, kijeshi, teknolojia ilivyowekewa Iran na nchi yake. Na namna nchi hiyo ilivyoweza ku savaivu kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia huku ikiwa na uwezo mkubwa wa kudhibiti nguvu yoyote ya kijeshi kutoka nje.

Hususani ile vita ya Iran na kibaraka wao ( Iraq ) chini ya Saddam Hussein, pia njia za kuanzisha vita Afghanistan, Iraq, Syria na kufadhili makundi ya magaidi Mashariki ya kati ili kuizunguka Iran kimkakati kushindwa. Imemfanya Trump aone umuhimu wa kushirikiana nao kwa mustakabali wa nchi yake kiuchumi, kijeshi na kiulinzi pale Mashariki ya kati. Kwani asingefanya hivyo Iran ingehakikisha inaangamiza kambi zao zote zilizopo eneo hilo na Israel isingekuwa na uwezo wowote wa kulinda kambi hizo wakati inashindwa kulinda hata miji yake.

Vikwazo walivyowekewa Iran kama wangewekewa mabigaz wa Israel miaka mi5 tu, saa hizi wote wangekuwa wamesharudi Ulaya kuomba hifadhi.

Trump huyo hapo ashaanza kusema eti viongozi wa Iran wana busara baada ya kugundua kuwa ana dili na watu wenye akili sana kuliko Netanyahu na genge lake 🤣🤣🤣
FB_IMG_1781618658963.jpg
 
Na mimi nilitaka kuuliza same question. Kwamba miaka yote alikuwa anendaje na kwanini sasa hivi ndio yatokee hayo yote na yeye ashindwe kukubali!!
Hizi sheria huwa zina exceptions nyingi sana pamoja na fine prints.

Pia, mwisho wa siku, Marekani inahifadhi haki ya kumnyima mtu yeyote yule visa ya kuingia Marekani na kwa sababu yoyote ile.

Vilevile, on a case by case basis, wanahifadhi haki za kuongeza uchunguzi kwa mtu aombaye endapo watashuku kuwa mtu huyo anaweza kuwa na makandokando ambayo yanaweza kumnyima sifa ya kuingia nchini kwao.

Ikumbukwe, si haki ya watu wasio raia wa Marekani kupata ruhusu ya kuingia Marekani.

Kuingia Marekani ni istihaki [privilege].

A privilege is not a right.
 
Huyo anaandika thread au kujibu comment kwa kutumia mihamko ya dini. Sisi wengine tunaandika uhalisia mambo bila kuangalia swala la dini.

Kupitia vita hii Trump amegundua mwenyewe kuwa waajemi ni watu majasiri, wenye umoja, mshikamano na akili ya hali ya juu. Ameweza kuangalia aina ya vikwazo vikali vya kiuchumi, kijeshi, teknolojia ilivyowekewa Iran na nchi yake. Na namna nchi hiyo ilivyoweza ku savaivu kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia huku ikiwa na uwezo mkubwa wa kudhibiti nguvu yoyote ya kijeshi kutoka nje.

Hususani ile vita ya Iran na kibaraka wao ( Iraq ) chini ya Saddam Hussein, pia njia za kuanzisha vita Afghanistan, Iraq, Syria na kufadhili makundi ya magaidi Mashariki ya kati ili kuizunguka Iran kimkakati kushindwa. Imemfanya Trump aone umuhimu wa kushirikiana nao kwa mustakabali wa nchi yake kiuchumi, kijeshi na kiulinzi pale Mashariki ya kati. Kwani asingefanya hivyo Iran ingehakikisha inaangamiza kambi zao zote zilizopo eneo hilo na Israel isingekuwa na uwezo wowote wa kulinda kambi hizo wakati inashindwa kulinda hata miji yake.

Vikwazo walivyowekewa Iran kama wangewekewa mabigaz wa Israel miaka mi5 tu, saa hizi wote wangekuwa wamesharudi Ulaya kuomba hifadhi.

Trump huyo hapo ashaanza kusema eti viongozi wa Iran wana busara baada ya kugundua kuwa ana dili na watu wenye akili sana kuliko Netanyahu na genge lake 🤣🤣🤣
View attachment 3609118
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote Iran watu wao wana akili sana Sunction zimefailed kila walicho fanya kwa Iran wanaona Iran ndio anazidi kuwa bora kuliko nyuma
 
1. Waisrael hawahitaji visa kwenda Marekani.

2. Chanzo cha habari kwamba jamaa kanyimwa visa ni kipi?

Habari iliyopo ni kwamba yeye mwenyewe alienda kuomba visa [sijui hata kwa nini kwa sababu raia wa Israel hawahitaji visa kama hawatokaa zaidi ya siku 90] lakini alipoambiwa akachukuliwe alama za vidole, yeye mwenyewe akaghairi.

Sababu ya yeye kughairi inadaiwa kuwa pengine ni kwa sababu ana historia/ usuli wa makosa ya jinai na hali hiyo ingeweza kumletea tabu.

Kwa hiyo, rasmi hajanyimwa visa. Kakacha mwenyewe baada ya kuona mambo yamekuwa magumu.
We nyani leo kidogo umeongea kwa akili sababu sa zingine akili zako mbovu kuliko hata Trump

Sa tulieni hata bibi yenu Netanyahu atakosa visa mda utaongea na kuna siku akifika New York anadakwa na kutupwa jela
 
Hahahaaa!

98% ya mabandiko yangu humu huwa ni yenye akili.

Na uhahitaji akili ili kujua kuwa ni mabandiko yenye akili.
 
Back
Top Bottom