The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Sasa ikiwa kama huyo waziri kanyimwa visa ya kuingia US,
Itakuaje kwa sisi wamarekani weusi wa huku Nzega vijijini?
Itakuaje kwa sisi wamarekani weusi wa huku Nzega vijijini?
Claiming to be a genius is rare among true geniuses, as their expanded knowledge often leads them to realize just how much they don't know.Hahahaaa!
98% ya mabandiko yangu humu huwa ni yenye akili.
Na uhahitaji akili ili kujua kuwa ni mabandiko yenye akili.
Who claimed to be a genius?Claiming to be a genius is rare among true geniuses, as their expanded knowledge often leads them to realize just how much they don't know.
Asante mkuu kwa maelezo mazuri na yenye kujitosheleza.Hizi sheria huwa zina exceptions nyingi sana pamoja na fine prints.
Pia, mwisho wa siku, Marekani inahifadhi haki ya kumnyima mtu yeyote yule visa ya kuingia Marekani na kwa sababu yoyote ile.
Vilevile, on a case by case basis, wanahifadhi haki za kuongeza uchunguzi kwa mtu aombaye endapo watashuku kuwa mtu huyo anaweza kuwa na makandokando ambayo yanaweza kumnyima sifa ya kuingia nchini kwao.
Ikumbukwe, si haki ya watu wasio raia wa Marekani kupata ruhusu ya kuingia Marekani.
Kuingia Marekani ni istihaki [privilege].
A privilege is not a right.
Ule msemo wa If you can't beat them, join them ndo huu sasa umefanywa na Marekani.Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote Iran watu wao wana akili sana Sunction zimefailed kila walicho fanya kwa Iran wanaona Iran ndio anazidi kuwa bora kuliko nyuma
Mmarekani mweusi unaweza kuonewa huruma kidogo ukapitishwa. Kimbembe ni kwa yule myahudi wa chunya anaeitwa echolima.Sasa ikiwa kama huyo waziri kanyimwa visa ya kuingia US,
Itakuaje kwa sisi wamarekani weusi wa huku Nzega vijijini?
USA kaamua kushirikiana na upande wenye faida Iran, na kuachana kidogo kidogo na upande wenye hasara Israel
Exactly 💯Ule msemo wa If you can't beat them, join them ndo huu sasa umefanywa na Marekani.
Kwamba na wewe unaamini kweli kanyimwa visa?? Kama jambo rahisi hili hata la kugoogle TU bado unaongopewa, ndio maana si ajabu mnaaminigi peponi Kuna mabikra 72🤣🤣🤣🤣Sasa ikiwa kama huyo waziri kanyimwa visa ya kuingia US,
Itakuaje kwa sisi wamarekani weusi wa huku Nzega vijijini?
Kama wewe unavyoamini kua yule Mungu wako alizaliwa na Binadamu,Kwamba na wewe unaamini kweli kanyimwa visa?? Kama jambo rahisi hili hata la kugoogle TU bado unaongopewa, ndio maana si ajabu mnaaminigi peponi Kuna mabikra 72🤣🤣🤣🤣
Nimekutolea mfano TU jinsi uone ilivyo rahisi kuongopewa.Kama wewe unavyoamini kua yule Mungu wako alizaliwa na Binadamu,
Binadamu ambaye alikuwepo Duniani kabla ya huyo Mungu,kisha huyo Mungu akauwawa na Binadamu.
Ndio na mimi nimekupa mfano wa Mungu aliye sulubiwa na kuuawa na Binadamu!Nimekutolea mfano TU jinsi uone ilivyo rahisi kuongopewa.
Kwa hiyo unaamini kabisa Mungu unayemuanini atakupa mabikra peponi?
Iran pia Geography/Strategic location na Science/teknolojia imewabeba sanaNakubaliana na wewe kwa asilimia zote Iran watu wao wana akili sana Sunction zimefailed kila walicho fanya kwa Iran wanaona Iran ndio anazidi kuwa bora kuliko nyuma