Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

Asante mkuu kwa maelezo mazuri na yenye kujitosheleza.
 
USA kaamua kushirikiana na upande wenye faida Iran, na kuachana kidogo kidogo na upande wenye hasara Israel

Wamechagua faida πŸ‘ˆ na ndio sera ya Marekani na Rais mfanya Biashara kama Trump pengine pale Hormuz kuna % frani atapokea πŸ€ πŸ˜‚

kwasasa
Trump ajilinde na Israel wanaweza kumfeka ,
 
Sasa ikiwa kama huyo waziri kanyimwa visa ya kuingia US,

Itakuaje kwa sisi wamarekani weusi wa huku Nzega vijijini?
Kwamba na wewe unaamini kweli kanyimwa visa?? Kama jambo rahisi hili hata la kugoogle TU bado unaongopewa, ndio maana si ajabu mnaaminigi peponi Kuna mabikra 72🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba na wewe unaamini kweli kanyimwa visa?? Kama jambo rahisi hili hata la kugoogle TU bado unaongopewa, ndio maana si ajabu mnaaminigi peponi Kuna mabikra 72🀣🀣🀣🀣
Kama wewe unavyoamini kua yule Mungu wako alizaliwa na Binadamu,

Binadamu ambaye alikuwepo Duniani kabla ya huyo Mungu,kisha huyo Mungu akauwawa na Binadamu.
 
Wamechagua faida πŸ‘ˆ na ndio sera ya Marekani na Rais mfanya Biashara kama Trump pengine pale Hormuz kuna % frani atapokea πŸ€ πŸ˜‚

kwasasa
Trump ajilinde na Israel wanaweza kumfeka ,
Ya ni kweli, jamaa wanaona Trump amewauza kwa Iran πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama wewe unavyoamini kua yule Mungu wako alizaliwa na Binadamu,

Binadamu ambaye alikuwepo Duniani kabla ya huyo Mungu,kisha huyo Mungu akauwawa na Binadamu.
Nimekutolea mfano TU jinsi uone ilivyo rahisi kuongopewa.
Kwa hiyo unaamini kabisa Mungu unayemuanini atakupa mabikra peponi?
 
Nimekutolea mfano TU jinsi uone ilivyo rahisi kuongopewa.
Kwa hiyo unaamini kabisa Mungu unayemuanini atakupa mabikra peponi?
Ndio na mimi nimekupa mfano wa Mungu aliye sulubiwa na kuuawa na Binadamu!

Kwa hiyo una amini Mungu unayemuabudu alizidiwa nguvu na binadamu na wakamuua?
 
Ulianza vizuri uliposema dunia inabadilika ukatoa na mifano kadhaa ila ukaishia njiani nilitegemea mifano yako kufika hadi malawi, kama ulivo elezea rwanda na burundi au ndo yale ya nyani kuona mk**nd wa mwenzie tu
 
6pack mijini sikuhizi mnachangamoto kusemwa vibaya tunu hamzilindi mnakwama wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…