Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
Huyu waziri yupo vizuri sana ni mchapakazi na anajua majukumu ya nafasi aliyopewa kauli zake kila mara zinatija kwa watumishi na zinaleta faraja na morali mpya iliyoshuka kipindi cha awamu ya tano,namwomba rais asimtoe kwenye nafasi hii anatufaa sana watumishi wa umma.