TANZIA Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda amefariki dunia

R. I. P. Mh Abdalla Kigoda. May His Almighty God rest your soul in etrnal life.
 
Mwanae apashe jaramba kuchukua nafasi ya baba ake .....R.I.P Kigoda

Hapana,hii nafasi atapewa dadaake Aisha Kigoda kumpooza maumivu kwani amempoteza kakaake mpendwa na mumewe Mohamed Seif Khatib ameangshwa kwenye kura za maoni huko Zenj
 
Baraza LINGEVUNJWA mapema kigoda angehamia UKAWA.Huoni kaenda kufia kwenye asili ya MAHABA india
 
Inalilah wainailayhi rajiuun::

Amefariki Leo , he was suffering an advance stage of cancer. Alikuwa very serious ndipo wengine wakasema amefariki. Kuna wanafunzi walioko huku Delhi walikuwa wakienda kumtembelea na kuisaidia familia yake,

He passed away tonight.
 
R. I. P kigoda.... Serikali ijayo iboreshe hospitali zetu
 
Mmmmh!!! Leo ajabu. Watu. Wamecomment. Kwa ustarabu wa hari ya juu. Sikutegemea ichi kitu. Mungu amlaze mahala pema peponi. Inaonyesha ni kipenzi cha watu
 



Kwanza kabisa nawapa pole ndugu na jamaa kwa msiba uliowapata .Pili narudi kwa serikali ya Tanzania hivi imekuwa culture kwa kila kiongozi wa serikali anaeumwa kupelekwa India .Tumesha pokea maiti mbili toka India katika kipindi kifupi na ilihali watu wa kawaida hawana hata panadol kwenye mahospital yetu . Tabia hii itakoma lini imefika sasa kila kiongozi awe na medical insurance kupunguza mzigo kwa serikali
 
Pole kwa wafiwa. R.I.P Dr. Abdallah Omar Kigoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…