Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanae apashe jaramba kuchukua nafasi ya baba ake .....R.I.P Kigoda
Wanaye wlikuwa wanaendelea na kampeni kwa niaba ya Mzee.Inna Lillah Wa Innah Iylahi Rajiuun
mmh mwaka huu kaz ipo. Vp nayeye alimsema vibaya lowasa?
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Bunge; Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
Apumzike kwa amani
=======
UPDATES:
Toka Serikalini:
Kwa maskitiko makubwa serikali inatangaza Kifo Cha Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda MB. Waziri wa Viwanda na-Biashara kilichotokea katika Hospitali ya Apollo, New Delhi India leo.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huu pamoja na mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu-na mazishi- zitaendelea kutolea na serikali hapo mbeleni.
S
Sisi wote ni wa mwenyezi na kwake- tutarejea.
Imetolewa na Idara ya Habari Maelezo.