Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

Chai
 
Ukitoa hiyo hela unapewa risiti?? 😂🤣
 
Sio Huko Tu Ni Tanzania Kote, Pengine Hata Waziri Anajua Haiwezekani Swala La Msingi Kama Hilo Asijue Anajua Vizuri Tu. Kaamua Kupiga Kimya Hizo Biashara Za Watu Ukichunguza.
 
Sio Huko Tu Ni Tanzania Kote, Pengine Hata Waziri Anajua Haiwezekani Swala La Msingi Kama Hilo Asijue Anajua Vizuri Tu. Kaamua Kupiga Kimya Hizo Biashara Za Watu Ukichunguza.
Yawezekena ni kweli hii.watoe Tamko tu watu watalipa kuliko kukaa kwenye sintofahamu hii
 
Kadi ya kliniki hiyo hapo. Download itunze siku nyingine usihangaike.... [emoji1666][emoji1666]
Hii kadi kuna kijiji kimoja. Niliona stationery wana print na kuuza 2000 - 5000.

Kiukweli sio makosa yao makosa ni wizara kushindwa kusambaza hizo kadi kwa wakati vituoni.

Huyo anae uza 10k ni mwizi tu. Labda kama hicho kijiji hakuna umeme kiasi watu wanatumia Generator ku run stationery.
 
Yeah, ma nurse wengi wanapiga hela kwa njia hiyo...

5000 × watu 40 ndani ya miaka 2, hela ya supu haikosekani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…