Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

Watanzania tumezidi kulalamika .

Mimba uipate wewe afu utake vya bure

Acheni upumbavu tutafute hela hata kwa kuiba ili ufe mapema
Mkuu hata tungeuziwa 50k tungenunua tu. Swali lipo Hivi kwanini uandike haiuzwi na then iuzwe ikiwa na maandiko hayohayo ya kwamba haiuzwi?

Kuna gharama Gani ikiandikwa kadi hii inauzwa Tsh10,000/= nani hata nunua?

Niambie kwanini gharama za kujifungua mtoto wa kiume ziwe juu na za mwanamke ziwe chini? Nini kinaongezeka hapo na kipi kinapungua?
 
Karne 21, vijana wanaongozwa na watu wenye miaka 60+.

Hili ni tatizo na bila kujitahidi kuwaondoa hao watu kwenye mfumo,vijana wasahau maisha bora
 
Mimba sio dharula, ni maandalizi na unakaa na ujauzito miezi 9, changia huduma kwa maendeleo yako na afya ya mtoto wako, Watanzania tubadilike maana hakuna kitu cha Bure.
Elimu vipi nayo.
Kuchangia sidhani km tutakaoshindwa tutakuwa wengi lkn kwanini hawaweki wazi?

Kwenye card (HAIUZWI) sasa vipi aombwe fedha?
Kwenye bango (MAMA MJAMZITO BURE,MTOTO CHINI YA MIAKA MI 5 BURE)sasa hizo gharama ni za nini?

Waweke wazi,wengi tutalipia.
 
Sahihi kabisa. Umeandika huuzi halafu unawauzia Kwa kuwaonaje Sasa?
 
Mbona mnapenda vya bure aisee
Unajua kupenda vya Bure lakni mkuu?

Kadi imeandikwa haiuzwi halafu inauzwa Nini manake yake? Hapa sijasema watu wamekataa kuuziwa la hasha tunataka serikali ituambie rasmi kuwa Kwa Sasa zinauzwa na ziandikwe kadi hiii inauzwa Kwa Tsh 10,000/= wengine wanauziwa 2000,5000 na 10,000/= kwann?
 
Back
Top Bottom