kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Record aliyekuuzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo muda nautoa wapi na nimejua juzi kwenye issues ya mwanasesere baada ya kuona linatembea sana MITANDAONIHusikilizagi hotuba za bajeti bungeni?
Nadhani itakuwa hivyo kila hospital inautaratibu wakeKwa maana hii hakuna bei maalumu Kila hospital inajipangia tu mwingine alisema kwao inauzwa 2000
Ya kijipangia haifai na haifai kabisa. Vipi kuhusu utofauti wa gharama kati mtoto me na ke?Nadhani itakuwa hivyo kila hospital inautaratibu wake
WapiSalamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=
Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto wa kiume atoe Tsh30,000/=
Je Ina maana Kuna utofauti Gani wakujifungua mtoto kike na wakiume? Ni kwamba dawa au huduma zinazo tumika Kwa mtoto wakiume ni kubwa mno kulinganisha na mtoto wakike?
Hii haikubariki sijasomea afya lakini Nasema huu ni utapeli na wizi wa waziwazi Kwa wanaNchi.
Haya ninayo yasema yanatokea katika kituo cha afya bugarama kilichopo wilaya ya kahama shinyanga. Ni baada ya jirani yangu kwenda kupata huduma alipoambiwa hayo ndipo akaja kuuliza kwangu hii Hali umeanza lini?
Tunahitaji Tamko rasmi kama serikali imeruhusu na kuyabariki yafanyike haya yote.
Ndg Wana jamvi na kwenu haya yanatokea?
NdhaniNadhani itakuwa hivyo kila hospital inautaratibu wake
Wapi
😂😂😂 Na badoNi sawa na yale yanayotokea ukienda kulipia leseni ya biashara wilaya ya Temeke. Utaambiwa ukajazie taarifa zako kwenye stationary moja iko nje hapo, sijui wanahusiana vipi
Kwanini usigome kuweka hiyo vocha?Wewe Kwa nini ulitoa buku 10 badala ya kumripoti huyo mtumishi asiyekuwa mwaminifu?
Pia Nape atueleze inakuaje vocha imeandikwa 500 then inauzwa 600 Kwa maelezo ya kinyemela?
Mwisho kama gharama zinapanda taarifa itolewe,binafsi huwa sitoa kama ninajua hiyo gharama sio ya kulipia unless nihakikishiwe kwamba zimeisha na huwezi subiria Serikali Hadi ilete ndio wanapitia humo humo maana hapo utakuata karibu wateja wote wameuziwa huwezi kubisha.
Tumia akiri kidogo, kadi zinachapishwa nyingi tu kwa wakati mmoja na yawezekana zikachapishwa za kutumia miaka 2 au 3 mbele inapotokea mabadiriko hawawezi kuzichoma moto zilizopo bali anafuta sehemu isiyohusika na kukuandikia 10,000 au anaacha hivyohivyo..
Kadi imeandikwa Bure halafu uuziwe si waandike kadi hii inauzwa Tsh10,000.
Sawa mkuu Wacha nitumie hiyo kidogo.Tumia akiri kidogo, kadi zinachapishwa nyingi tu kwa wakati mmoja na yawezekana zikachapishwa za kutumia miaka 2 au 3 mbele inapotokea mabadiriko hawawezi kuzichoma moto zilizopo bali anafuta sehemu isiyohusika na kukuandikia 10,000 au anaacha hivyohivyo.
Mzilankende alisema wafyatue tu na hakuna katazo jipya unawalaumu nini 😂😂No ujinga Kwa Watanzania kuendelea kulalamika kana kwamba hamjui Ofisi za Viongozi au TAKUKURU.
Watumishi wasio waaminifu wako Kila sehemu ingawa kweli zinaweza kuwa zimeisha na Huduma lazima ziendelee hapo no way out maana mnazaana hovyo na Kwa Kasi sana kiasi kwamba mahitaji yanaongezeka Kwa Kasi kubwa
Ni kwa sheria ipi inayowalazimisha kuweka matangazo, nitajie kifungu na mwaka.Kati yangu nawewe nani hajatumia akiri kabisa?
Bajeti iliyopangwa Kwa ajiri ya mama na mtoto apatiwe huduma Bure hata kama ni miaka 10 kama walichapisha Kwa muda hu ni lazima muda huo ufike ndo mabadiriko yatokee.
Ikitokea badiriko lazima waweke matangazo na kuondoa ya zamani kuwa huduma za mama mjamzito na mtoto Kwa Sasa ni kulipia.
Kwa Sasa Kila kitu Kiko vilevile mabango yte Yana sema huduma ni Bure.
Kutopenda vya bure ndio kukoje ni kwamba unalipa hata visivyo vya malipo?Mbona mnapenda vya bure aisee
Ni kwa sheria ipi inayowalazimisha kuweka matangazo, nitajie kifungu na mw
Sahihi kabisa mrNHIF Imekufa Ummy akiwa waziri.
Bima ya watoto wadogo imeyeyuka Ummy akiwa waziri.
Jukwaani anasema Samia amepunguza vifo vya kinamama wakati wa kujifungua kumbe hata kile kijikaratasi Cha taarifa za mama na mtoto Ni sh 10,000. Huyu Ummy ambaye sio daktari si ampishe @dkt.gwajima D kwenye wizara?
Kushika mimba kwa Sasa Ummy akiwa waziri Ni Kama jinsi Fulani hivi.
Private hospital kujifungua Ni kwa operation kwa gharama ndoogo ya milioni moja. Ukienda serikalini wamama ward ya labour utawakuta wanalala mzungu wa nne, treatment wanayo pata kutoka kwa MANESI inatia wasiwasi.
Hajielewi huyo. Matangazo Kila korido yanasema huduma ya mama mjamzito na mtoto ni Bure halafu Bado uuziwe tukisema tuonekane tunapenda vya Bure!! Huu ni ugonjwa sio bureKutopenda vya bure ndio kukoje ni kwamba unalipa hata visivyo vya malipo?