Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
Mwenendo wa kesi yake tukasome wapi?Lissu anataka atoe elimu ya kisheria na kuweka kumbukumbu sawa,
Kasome mwenendo wa kesi yake leo ndo utajua kwanini anapambana kujitetea,

Article positive kama hizi kamwe hutoona zimeandikwa na Pascal Mayalla, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah Wala ChoiceVariable.Na. M. M. Mwanakijiji
Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha Tundu Lissu na kufifisha harakati za kudai mabadiliko ukweli ni kuwa kwa kuendelea na kesi hii kibano kitageuzwa kwao.
Uamuzi wa TAL kuendelea kujitetea yeye mwenyewe bila kutegemea mawakili wake au yule aliyepewa na serikali ni uamuzi wa kimkakati (a strategic maneuver), wa kuchokoza (provocative), na wenye makusudi (intentional). Ni uamuzi wa kimkakati wa kuifanya kesi hii kuwa ni kulazimisha serikali iseme kweli kabisa kuwa ina lengo la kumnyonga Lissu kwa kosa la uhaini, ni wa kiuchokozi kwa sababu unajaribu kuigusa Mahakama Kuu ya Tanzania kuona kama kweli kwa uzoefu wake inaweza kumkuta kweli na hatia ya uhaini kwa ushahidi utakaoletwa mahakamani na wa makusudi kwa sababu mwisho wa siku mfumo wetu wa kisheria unawekwa kizimbani.
Bahati nzuri historia imejaa mifano lukuki ya serikali ambazo zimejaribu kuzima harakati za mabadiliko kwa kutumia nyundo ya mahakama. Mfano bora zaidi ni kesi ya Rivonia kule Afrika ya Kusini ambapo iliishia kwa kumhukumu Nelson Mandela na wenzake hukumu ya kifungo cha miaka 27 jela kwa kosa ambalo lilitishia hukumu ya kifo. Ni katika kesi hiyo Nelson Mandela alitoa hotuba ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa hotuba bora zaidi kutolewa katika karne ya 20. Hotuba ya "Niko Tayari Kufa" ilianisha sababu ya kwanini Nelson Mandela na wenzake walikuwa tayari kutumia nguvu kupinga utawala wa kikaburu.
Tundu Lissu amejenga hoja zake toka Kisutu. Utetezi na hoja alizozitoa hadi hivi sasa hazijajibiwa. Pendekezo langu kwake ni kuwa awaache serikali waendeshe mashtaka dhidi yake bila kusimama kujitetea. Asiwape uhalali (legitimacy) ya kujitetea mbele ya Mahakama Kuu. Kama wao wana ushahidi wa kutosha awaache waendeshe kesi yao. Walete mashtaka yake na awalazimishe wamkute na hatia. Asubiri tu kutoa 'closing argument". Lakini awaache waendeshe mashtaka yao wao wenyewe....
Awe mfungwa wa kisiasa per excellence.
Tangu Lissu asema "Wanasema tunataka kufanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini ,tutakinukisha na hakutakua na uchaguzi mkuu" mimi na familia yangu tumekua tukiishi kwa hofu ya usalama wetu kauli yake ya kusema atakinukisha na atafanya uhaini imefanya mimi na familia yangu tuishi kwa wasiwasi tukihofua usalama wetu na maisha yetu.
Tunaiomba mahakama isimamie haki ushahidi utakaotolewa ukimuingiza hatiani basi anyongwe kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na matangazo yarushwe live Azam Tv

kwa hiyo kaptula likalowa mkojo kwa kusikia hayo maneno au? Kesho nakutumia Panya Road, ujiandae 🙂 toa tu Muongozo wa unapokaa, watakuletee zawadi kuntu ya maisha yako na familia yako pia 🙂Tangu Lissu asema "Wanasema tunataka kufanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini ,tutakinukisha na hakutakua na uchaguzi mkuu" mimi na familia yangu tumekua tukiishi kwa hofu ya usalama wetu kauli yake ya kusema atakinukisha na atafanya uhaini imefanya mimi na familia yangu tuishi kwa wasiwasi tukihofua usalama wetu na maisha yetu.
Tunaiomba mahakama isimamie haki ushahidi utakaotolewa ukimuingiza hatiani basi anyongwe kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na matangazo yarushwe live Azam Tv
Ni mtego waliomuwekea...wanajua anapenda kuwafundisha sheria na kuonesha ubobezi wake...ni udhaifu wake. Nimefuatilia kesi nzima Kisutu utaona wanampa kibarua cha kunukuu sheria na kesi mbalimbali siyo kwa sababu hawazijui bali wanajua anasubiri kwa hamu kuwaonesha ujuzi wake...Lissu anataka atoe elimu ya kisheria na kuweka kumbukumbu sawa,
Kasome mwenendo wa kesi yake leo ndo utajua kwanini anapambana kujitetea,
Ni kweli. Mwaka huu mpaka wale maaskari wanaovaa underwear za Samia kufunika nyuso watazivua.Mwamba anajua anachokifanya..
Tumpe muda.
Ni kama ile tu ya ugaidi feki wa Mbowe! Yaani kuanzia mwanzo unaona kabisa ni kesi ya kutengeneza. Safari hii ili kuficha aibu, wameamua kuja na mashahidi wa kificho.Mimi nasubiri nione mwisho wa hii kesi ni upi. Mpaka sasa Lissu katumia akili kubwa sana
Mimi nimemshangaa sana Mzee Mwanakijiji na wanaomuunga mkono kwenye wazo lake hili...Ngoja kwanza awalete mashahidi wake Samia na Majaliwa mahakamani
Kamsome fyatu mfyatuzi wa mwananchiNa. M. M. Mwanakijiji
Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha Tundu Lissu na kufifisha harakati za kudai mabadiliko ukweli ni kuwa kwa kuendelea na kesi hii kibano kitageuzwa kwao.
Uamuzi wa TAL kuendelea kujitetea yeye mwenyewe bila kutegemea mawakili wake au yule aliyepewa na serikali ni uamuzi wa kimkakati (a strategic maneuver), wa kuchokoza (provocative), na wenye makusudi (intentional). Ni uamuzi wa kimkakati wa kuifanya kesi hii kuwa ni kulazimisha serikali iseme kweli kabisa kuwa ina lengo la kumnyonga Lissu kwa kosa la uhaini, ni wa kiuchokozi kwa sababu unajaribu kuigusa Mahakama Kuu ya Tanzania kuona kama kweli kwa uzoefu wake inaweza kumkuta kweli na hatia ya uhaini kwa ushahidi utakaoletwa mahakamani na wa makusudi kwa sababu mwisho wa siku mfumo wetu wa kisheria unawekwa kizimbani.
Bahati nzuri historia imejaa mifano lukuki ya serikali ambazo zimejaribu kuzima harakati za mabadiliko kwa kutumia nyundo ya mahakama. Mfano bora zaidi ni kesi ya Rivonia kule Afrika ya Kusini ambapo iliishia kwa kumhukumu Nelson Mandela na wenzake hukumu ya kifungo cha miaka 27 jela kwa kosa ambalo lilitishia hukumu ya kifo. Ni katika kesi hiyo Nelson Mandela alitoa hotuba ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa hotuba bora zaidi kutolewa katika karne ya 20. Hotuba ya "Niko Tayari Kufa" ilianisha sababu ya kwanini Nelson Mandela na wenzake walikuwa tayari kutumia nguvu kupinga utawala wa kikaburu.
Tundu Lissu amejenga hoja zake toka Kisutu. Utetezi na hoja alizozitoa hadi hivi sasa hazijajibiwa. Pendekezo langu kwake ni kuwa awaache serikali waendeshe mashtaka dhidi yake bila kusimama kujitetea. Asiwape uhalali (legitimacy) ya kujitetea mbele ya Mahakama Kuu. Kama wao wana ushahidi wa kutosha awaache waendeshe kesi yao. Walete mashtaka yake na awalazimishe wamkute na hatia. Asubiri tu kutoa 'closing argument". Lakini awaache waendeshe mashtaka yao wao wenyewe....
Awe mfungwa wa kisiasa per excellence.
Hapo hata mawe yatasema,wasijaribu katuuMleta mada, dikteta hana huruma, ni vema Tundu Lisu ajitetee. Kama ulivyotoa mfano kwenye mada yako Mandela alihukumiwa miaka 27 badala ya kunyongwa, basi hata hawa wahuni (wanamtandao) wanaweza wakatoa hukumu mbaya zaidi kuliko hata ile ya makaburu dhidi ya Mandela.
Dikteta hana huruma, hana aibu na hana utu. Yeye ana uchungu na maslahi yake tu.