Mimi nimemshangaa sana
Mzee Mwanakijiji na wanaomuunga mkono kwenye wazo lake hili...
Hii ni kesi ya kisiasa. Anayetuhumiwa ukiacha kuwa ni Mwanasheria nguli, mwenye uwezo mkubwa kisheria pia ni mwanasiasa vilevile...
Ndio msingi wa maamuzi yake ya kuamua kujitetea mwenyewe ili aitumie mahakama hii hii wanayoitumia wao kufanyia siasa zao kuwapiga kotekote kisiasa na kisheria...
As we speak, mpaka sasa ameshawapiga vya kutosha na amini msiamini, kwa mchezo mpaka hapa ulipofika, hakyanani vile wao wenyewe wataweka mpira kwapani na kuikimbia hii kesi na jamaa atakuwa huru...
Kwa ujinga huu ulioonekana leo, kama majaji wanaoiamua kesi wanataka kutunza heshima yao, basi ikithibitika kuwa ni kweli kuna uhuni umefanyika wa kuharibu (kughushi) nyaraka za mwenendo wa kesi hii kutoka mahakama ya Kisutu, kwa hakika kabisa, THAT WILL BE THE END OF THEIR SHAM POLITICAL GAMES USING THE COURT OF LAWA..!!