Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

Tangu Lissu asema "Wanasema tunataka kufanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini ,tutakinukisha na hakutakua na uchaguzi mkuu" mimi na familia yangu tumekua tukiishi kwa hofu ya usalama wetu kauli yake ya kusema atakinukisha na atafanya uhaini imefanya mimi na familia yangu tuishi kwa wasiwasi tukihofua usalama wetu na maisha yetu.

Tunaiomba mahakama isimamie haki ushahidi utakaotolewa ukimuingiza hatiani basi anyongwe kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na matangazo yarushwe live Azam Tv
 
Lissu angekubali kua na mawakili wa kumtetea na yeye akawepo kwenye miongoni kwa hao mawakili wanaomtetea ingekua vizuri sana
 
Article positive kama hizi kamwe hutoona zimeandikwa na Pascal Mayalla, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah Wala ChoiceVariable.
 
Lissu hawezi kunyongwa wala wakumunyonga hajazaliwa kukinukisha kwenye kamusi ya Kiswahili ilo neno lina maana gani? Tuanzie hapo yeye kukinukisha kwenye uchaguzi Wewe upate Ofu na familia yako acheni utani

 
Sehemu ya Kichwa cha mada kinaeleza: Tundu Lissu "amekwisha kubali hatima yake mikononi mwa watawala"?

hili limesemwa na nani na wapi?

Ni kipi kinacho onyesha Tundu Lissu kukubali hatma yake kuwa mikononi mwa watawala?

Kuna 'option' ya kukataa kuwa ndani ya mfumo wa kitawala; kwamba Tundu Lissu angechagua 'option' mbadala?
 
Hakuna kesi pale serikali inamshikilia kwa staili hiyo ili wamalize kampeni zao na kura ikishapigwa Rais akishapatikana msamaha wa kwanza ndo unamkumba na lissu kuachiliwa.
Kwa sasa nguvu alionayo itamfanya mama adhoofike ki kampeni ndio maana wanatumia mbinu hiyo
 
Atakayemnyonga Lissu yaani asijaribu yeye na kizazi chake watapata shida labda wakimbilie Dubai ila Tz hii hautaishi maana kumbuka ana watu wengi mno wanaompenda na most ya watu hata huko serikalini ni siri ya mioyo yao so wawe makini sana.
Uamuzi wa kujitetea mwenyewe nimeupenda simama na watesi wako hadi mwisho na Mungu atawaweka chini ya miguu yako
 
kwa hiyo kaptula likalowa mkojo kwa kusikia hayo maneno au? Kesho nakutumia Panya Road, ujiandae 🙂 toa tu Muongozo wa unapokaa, watakuletee zawadi kuntu ya maisha yako na familia yako pia 🙂
 
Lissu anataka atoe elimu ya kisheria na kuweka kumbukumbu sawa,

Kasome mwenendo wa kesi yake leo ndo utajua kwanini anapambana kujitetea,
Ni mtego waliomuwekea...wanajua anapenda kuwafundisha sheria na kuonesha ubobezi wake...ni udhaifu wake. Nimefuatilia kesi nzima Kisutu utaona wanampa kibarua cha kunukuu sheria na kesi mbalimbali siyo kwa sababu hawazijui bali wanajua anasubiri kwa hamu kuwaonesha ujuzi wake...
 
Mimi nasubiri nione mwisho wa hii kesi ni upi. Mpaka sasa Lissu katumia akili kubwa sana
Ni kama ile tu ya ugaidi feki wa Mbowe! Yaani kuanzia mwanzo unaona kabisa ni kesi ya kutengeneza. Safari hii ili kuficha aibu, wameamua kuja na mashahidi wa kificho.
 
Kwa kesi ilipofika Leo , Mahakama Iko shimoni na imechafuka pamoja na ofisi ya DPP hii kesi itakuwa rejea juu mifumo jinai na madai nchini kwetu , hii itaendelea kuonesha jumuiya za Kimataifa namna mifumo yetu ilivyo

Njia pekee ya kujinasua ili huko mbele tusiendelee kuaibika na kudhalilisha mihimili yote yaani Executive na Judiciary ni DPP kuifuta ili maisha mengine yaendelee
 
Ngoja kwanza awalete mashahidi wake Samia na Majaliwa mahakamani
Mimi nimemshangaa sana Mzee Mwanakijiji na wanaomuunga mkono kwenye wazo lake hili...

Hii ni kesi ya kisiasa. Anayetuhumiwa ukiacha kuwa ni Mwanasheria nguli, mwenye uwezo mkubwa kisheria pia ni mwanasiasa vilevile...

Ndio msingi wa maamuzi yake ya kuamua kujitetea mwenyewe ili aitumie mahakama hii hii wanayoitumia wao kufanyia siasa zao kuwapiga kotekote kisiasa na kisheria...

As we speak, mpaka sasa ameshawapiga vya kutosha na amini msiamini, kwa mchezo mpaka hapa ulipofika, hakyanani vile wao wenyewe wataweka mpira kwapani na kuikimbia hii kesi na jamaa atakuwa huru...

Kwa ujinga huu ulioonekana leo, kama majaji wanaoiamua kesi wanataka kutunza heshima yao, basi ikithibitika kuwa ni kweli kuna uhuni umefanyika wa kuharibu (kughushi) nyaraka za mwenendo wa kesi hii kutoka mahakama ya Kisutu, kwa hakika kabisa, THAT WILL BE THE END OF THEIR SHAM POLITICAL GAMES USING THE COURT OF LAWA..!!
 
Kamsome fyatu mfyatuzi wa mwananchi
 
Hapo hata mawe yatasema,wasijaribu katuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…