Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

Kabisa,kuendelea kujitetea ni muhimu,si unaona leo, waliofungua kesi wana kesi ya kujibu kesho
 
Kwani kampeni zimeanza??bila CHADEMA Kuna kampeni Gani??
 
Serikali inajipa finger afu inanusa
 
kutokana na observation yako huo mtego atanasa yeye au watanasa wao? Na kama atanasa yeye afanye nini kujinasua?
 
Mimi nimeondoka na paragraph ya mwisho mstari wa kwanza unaposema "kama majaji watataka kutunza heshima yao"

Kumbuka kwa rejea za hivi karibuni imeonekana watu wenye wivu wa kulinda heshima ya taaluma zao na hata heshima yao kwa jamii wanazidi kupungua kwa kasi ya mshale wa kimondo.

Je, tuna uhakika gani kama hawa majaji wao hawapigiwagi simu?
 
Mimi nasubiri nione mwisho wa hii kesi ni upi. Mpaka sasa Lissu katumia akili kubwa sana
Km ilivyotokea kwa braza mbowe mwisho wa kesi tundu ataitwa ikulu Na kupiga picha Na mkubwa wao khalas
 
Kazi ya Tundu Lissu sio kushinda Kesi maana hakuna kesi.

Tundu Lissu ametumwa muweka misingi na sababu kwanini Magauzi yanahitajika kwenye mifumo yoote. Kinachoendelea kitatumika kama ushahidi wa uozo.
 
Pole pole alijiona king wakati wa Magu. Sass hivi yupo wapi? Dunia hii ni dynamic sio statistic
 
UPo sahihi kabisa. Nyongeza ni kwa Lissu ni survivor wa 16+ bullets na serikali hihi ya CCM mamlaka zake hazijuwi aliyemtenda.
 
Lissu anajitetea sababu mojawapo ndiyo wakati pekee ataweza kuongea. Hawataki Lissu aongee ndiyo maana walizuia camera. Uzuri yeye ni mwana sheria hivyo wameingia mkenge
Unafikiri mawakili wa serikali hawajui sheria? Jiulize hivi..ikitokea kuanzia kesho Tundu Lissu akiitwa aseme anaamua kutokusema lolote, hajibu lolote, hawapi vifungu vya sheria wala nukuu zake maarufu za kuonesha usomi wake, yaani awaache serikali waendeshe mashtaka dhidi yake akiwa kimya kama "Mtu Maarufu Aliyewahi Kushtakiwa".

Unafikiri mashtaka haya yataishia wapi?
 
Asiposema kitu atakuwa amekubali kila kitu.
 
Mahakama itaamua kwa maelezo ya upande mmoja.
 
Huwa nina Moyo wa Kupigania Haki since I was Born. Namwombea TAL Kila la Heri kwenye Kesi.

I believe Mungu yuko Upande wake.
Hamna kesi hapo wanampoezea muda tu. Akitolewa ataambiwa aende kulee aliomba ukimbizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…