Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

Lissu hawezi kunyongwa wala wakumunyonga hajazaliwa kukinukisha kwenye kamusi ya Kiswahili ilo neno lina maana gani? Tuanzie hapo yeye kukinukisha kwenye uchaguzi Wewe upate Ofu na familia yako acheni utani
Ni mjinga huyo.
 
Wazo bora sana. Akiona maogizo tena, asuse tuone mwisho wake.
 

Naunga mkono hoja ila ni baada ya Samia, Mpango na Majaliwa kusimama Kizimbani.
 
Endapo Tundu Lissu ³

Exactly...wapime ushahidi wote halafu waamue
Hivi mkuu kwa unavyoona ni kweli mashahidi wa Lissu (Sa100, Mpango na Majaliwa🤣🤣) wanaweza itwa kutoa ushahidi wao Mahakamani????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…