Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

Maswali mazuri sana, ila wspinzani sijui kama wana uwezo wa kuyaelewa.
Maswali sina tatizo nayo

Muda wa maswali na nyakati hazifanani hata kidogo

Ni sawa na kumlaumu mtoto wako kufeli ''Form 4'' kwasababu aliwahi kuiba nyama
Mzazi hajishughulishi kuangalia kama mazingira ya kufaulu yalikuwa mazuri kwa mwanae

Tunakubali kuzungumzia propaganda kwamba CCM wameweka wanasheria kila kitongoji nchini. Tunajua ni uongo na tunatumbukia huko

Leo huenda Zitto 'angekamatwa' , matarajio yalikuwa kuwa atatangaza ACT kutojitoa. Lau wangejua ni kinyume chake pengine angekuwa Oysterbay.

Bado tunaamini kabisa yule mgombea kitongoji alitendewa haki hata kama picha za mapanga zinaonekana.

Tunafika mahali wananchi tunapoteza focus na kuwa sehemu ya tatizo.

Matatizo ya Wapinzani ambayo wengine tunayazungumzia si leo wala jana yapo
Hatuwezi kuunga matatizo hayo na mazingira ya siasa za nchi na kuwatupia lawama

'' Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko''
 
Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa., Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo ambayo yametokea mara kwa mara - na sijui kama watu wamesahau au la - ni kuwa mara nyingi CHADEMA wanajikuta wanabanwa kwenye "masuala ya kiufundi" (technicalities).

- Kuchelewa kurudisha fomu hadi siku ya mwisho, saa ya mwisho
- Kuchelewa kula kiapo, au kula kiapo kisicho sahihi (nakumbuka sana kilichotokea Mbeya Vijijini mwaka uleeee)
- Kutokujua wanarudisha fomu kwa nani (Korogwe)
- n.k

Sasa, ni lazima tujue kuwa CCM na Serikali yake hawajawahi kuwa na mpango wa kutengeneza mazingira ya Upinzani kufanikiwa. Hili nimeliandika mara nyingi huko nyuma haifai kulirudia. Sijui kwanini wapo wanaofikiria kuwa Papa atajikata, atoe mafuta yake, akuwekee moto na sufuria, halafu ajitumbukize wewe kazi yako iwe kumkaanga tu! Sikumbuki mahali popote hili limewahi kutokea. Kutegemea CCM kuwasaidia wapinzani kuja kuwaondoa madarakani ni ndoto za Alinacha.

Baada ya kusema hilo, kufuatia uamuzi huu wa Chadema kujitoa kwenye kushiriki binafsi nilitarajia mambo kadhaa yangeelezwa kwanza, maana tusije tukawalaumu wasimamizi wa uchaguzi n.k kwa makosa ambayo yangeweza kuepukika. Kwa anayejua naomba atusaidie:

1. Ni nani alikuwa Mratibu wa CHADEMA wa wagombea wa nafasi mbalimbali serikali za mitaa kitaifa?

2. Huyo mtu/watu alitoa maelekezo gani kwa wanachama wa CDM kuhusiana na ujazaji wa fomu, kurudisha fomu n.k?

3. Je, CDM kitaifa ilitoa mwongozo gani kuhusiana na wagombea wake; kwamba wanahitaji nini na wajazaje fomu? Hii inaitwa "covering all your bases)

4. Hata mahali ambapo mikutano ya ndani isingewezekana CDM kitaifa ilifanya juhudi gani hata kupitia mitandao ya kijamii (Facebook, Youtube, au hata hapa JF) kuwajulisha wagombea wake jinsi ya kujaza fomu n.k Yaani, Freeman Mbowe au Katibu Mkuu Mashinji wameshindwa kuanzisha hata thread moja yenye maelekezo na nakala za fomu za mfano za nini kinatakiwa zikawekwa hapa?

5. CDM iliwaandaa watu wake vipi kubanana na wale wasimamizi ambao walikuwa wanaonekana kweli kuwakwepa. Hivi kweli CDM na vijana wake hakuna watu wenye kusema "hatutoki hapa hadi mpokee fomu zetu"? Ni upinzani gani huu!

Haya ni baadhi tu ya maswali yangu kwa sababu tusije kuwalaumu ama wagombea na wale watia nia au wasimamizi. Tujiulize kidogo CDM inawajibika vipi kuwandaa wagombea wake maana msipojibu maswali haya mtakutana tena 2020 na mambo yale yale.

Pendekezo Moja: CDM ije na sera ya wazi na maelekezo ya wazi kuwa wagombea wake wote wahakikishe wanarudisha fomu siku tano kabla ya mwisho wa siku iliyowekwa. Mtashangaa tofauti itakuwa nini hapa.
jomba nakuunga mkono. kwa mawazo yakinifu na mazuri..haya chadema hawayaelewi kabisa....however wanayaelewa lakini waliona dalili za kushindwa mapemaa wakaona waje na mkakati huu wa kutuaminisha wananchi kuwa wameonewa...ndio maana wanakuja na general statement ambayo haina proof yoyote...lakini kuna jamaa mmoja alitueleza mikakati yao ya kususia uchaguzi mapema sana..wiki kama tatu zilizopita na sasa tumeona matokeo...hahahahaha upinzani wa ajabu sana...ni upingaji wala sio upiinzani..
 
Boss Mzee Mwanakijiji Mzani aka Mizani ... Haija Balance.

WaTanzania wa leo si Wajinga na Wapumbavu.

Ukila na ... Kipofu .... Usimwekee Mifuuuupaaa sana na mingi ... Atashituka aka Ataamka tu.

Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo ambayo yametokea mara kwa mara - na sijui kama watu wamesahau au la - ni kuwa mara nyingi CHADEMA wanajikuta wanabanwa kwenye "masuala ya kiufundi" (technicalities).

- Kuchelewa kurudisha fomu hadi siku ya mwisho, saa ya mwisho
- Kuchelewa kula kiapo, au kula kiapo kisicho sahihi (nakumbuka sana kilichotokea Mbeya Vijijini mwaka uleeee)
- Kutokujua wanarudisha fomu kwa nani (Korogwe)
- n.k

Sasa, ni lazima tujue kuwa CCM na Serikali yake hawajawahi kuwa na mpango wa kutengeneza mazingira ya Upinzani kufanikiwa. Hili nimeliandika mara nyingi huko nyuma haifai kulirudia. Sijui kwanini wapo wanaofikiria kuwa Papa atajikata, atoe mafuta yake, akuwekee moto na sufuria, halafu ajitumbukize wewe kazi yako iwe kumkaanga tu! Sikumbuki mahali popote hili limewahi kutokea. Kutegemea CCM kuwasaidia wapinzani kuja kuwaondoa madarakani ni ndoto za Alinacha.

Baada ya kusema hilo, kufuatia uamuzi huu wa Chadema kujitoa kwenye kushiriki binafsi nilitarajia mambo kadhaa yangeelezwa kwanza, maana tusije tukawalaumu wasimamizi wa uchaguzi n.k kwa makosa ambayo yangeweza kuepukika. Kwa anayejua naomba atusaidie:

1. Ni nani alikuwa Mratibu wa CHADEMA wa wagombea wa nafasi mbalimbali serikali za mitaa kitaifa?

2. Huyo mtu/watu alitoa maelekezo gani kwa wanachama wa CDM kuhusiana na ujazaji wa fomu, kurudisha fomu n.k?

3. Je, CDM kitaifa ilitoa mwongozo gani kuhusiana na wagombea wake; kwamba wanahitaji nini na wajazaje fomu? Hii inaitwa "covering all your bases)

4. Hata mahali ambapo mikutano ya ndani isingewezekana CDM kitaifa ilifanya juhudi gani hata kupitia mitandao ya kijamii (Facebook, Youtube, au hata hapa JF) kuwajulisha wagombea wake jinsi ya kujaza fomu n.k Yaani, Freeman Mbowe au Katibu Mkuu Mashinji wameshindwa kuanzisha hata thread moja yenye maelekezo na nakala za fomu za mfano za nini kinatakiwa zikawekwa hapa?

5. CDM iliwaandaa watu wake vipi kubanana na wale wasimamizi ambao walikuwa wanaonekana kweli kuwakwepa. Hivi kweli CDM na vijana wake hakuna watu wenye kusema "hatutoki hapa hadi mpokee fomu zetu"? Ni upinzani gani huu!

Haya ni baadhi tu ya maswali yangu kwa sababu tusije kuwalaumu ama wagombea na wale watia nia au wasimamizi. Tujiulize kidogo CDM inawajibika vipi kuwandaa wagombea wake maana msipojibu maswali haya mtakutana tena 2020 na mambo yale yale.

Pendekezo Moja: CDM ije na sera ya wazi na maelekezo ya wazi kuwa wagombea wake wote wahakikishe wanarudisha fomu siku tano kabla ya mwisho wa siku iliyowekwa. Mtashangaa tofauti itakuwa nini hapa.
 
Yaani kama kuna siku Katibu mwenezi wa chama ametudhalilisha ni leo

Kwamba kila mtaa ulikuwa na mwanasheria, kila kitongoji mwanasheria n.k.

Katibu mwenezi kutoka chama cha Nyerere, Kawawa, Mwinyi, Mkapa , Mwakawago, Kinana, Tandau na wengine wengi amefikia mahali bila thulusi ya haya anatuaminisha kila mtaa ulikuwa na mwanasheria. Nadhani mahakama zilifungwa ili mahakimu wakasaidie kujaza fomu

Badala ya kukemea dhalili hii tunatafuta justification! hapana! tuzipe nafsi zetu muda wa kupumua. Tusikilize nafsi zetu hata kama tumejificha nyuma ya bao bonye!

Yaaani nimejisikia kudhalilika sana! kwamba hatuna akili kiasi hicho !
Propaganda za kitoto kabisa
 
Leo @Zitto angekamatwa , matarajio yalikuwa kuwa atatangaza ACT kutojitoa
Lau wangejua ni kinyume chaka angekuwa Oyesterbay
Asante kwa hoja zako. Naomba ufafanuzi zaidi juu ya hoja yako hiyo hapo juu niliyonukuu. Yaani ni viashuria gani vinavyoonyesha Zitto angekamatwa endapo hasingeitoa ACT kwenye ushiriki wa uchaguzi wa mwezi huu.?
 
izo njaa zitasababisha muoelewe wanaume, yaan watendaji kutokufungua ofisi ujaliona hata kidogo, we hamnazo kwakwel
Inashangaza sana mpaka Waziri anasema hadharani kuwa figisu za uchaguzi zipo mpaka Marekani na Uingereza wapinzani wavumilie!
Huu ni ujinga ulio pitiliza kabisa.
Yeye anaona watendaji kujificha siku tatu kutoonekana ofisini ni kawaida? Kutoroka ofisini na kuwaacha warudisha fomu ni kawaida? Basi mleta mada na hata Waziri wote hawa wanasifa za kuitwa vichaa.
Hivi haya mambo ya watendaji wanaolipwa na serikali yangekuwa ni hapo Kenya mnadhani Leo hii tungekuwa tunafanya nini kama sio kutoa hesabu ya vifo vya watendaji, majeruhi na au madhara kwa familia zao au Mali zao.
CCM imetengeneza mindset za watumishi wa umma kudhani wao wanaitumikia CCM na kuwa vyama vya upinzani ni adui kwao. Ni hili limeletwa zaidi na Rais Magufuli ambaye nahisi hata yeye fikra zake zina udumavu huo kuwa CCM ndio serikali yenyewe.
IMG_20191108_082755.jpeg
 
Maswali ya kipumbavu. hv unaishi Tanz wapania kweli?Hakuna technical zilizojitokeza ni uhuni mtupu wa CCM na serkali yake. Achana na na hoja za kitoto. Nyambafu
acha ujinga wewe na sisi ni wananchi ambao tunaona na tunajua mbinu zote zinazotumiwa nao wapinzani.walishaona dalili ya kufeli totally wakaona watumie mkakati huu ili kutafuta huruma ya wananchi tunajua.na nasema kwa kweli wananchi hatuna huruma yoyote kwa kutumia mkakati huu..watupwe tuu kwani nini..lakini sasa tunajua rise of ACT and fall of chadema.. zito ni stategist ngoja atakavyoibukia kwa mbele..chadema hilo hamlioni hahahaha
 
Ndiyo maana wapinzani bado sana kupewa uongozi hawana strategy
Labda waombe Polisi washiriki vikao vya ndani, ni strategy nzuri sana
Hakuna mtu anayetoa uongozi nchini,ni haki ya kila raia.

Haki hiyo ipoje na nyakati hizi hilo ndilo swali nakuachia ujiulize.
 
Ndiyo maana wapinzani bado sana kupewa uongozi hawana strategy
Unataka strategy gani wawe nazo?kama hizi za ulaghai, wizi, udanganyifu na dhuluma kama CCM? Hapana, nao wakiwa hivyo bora vyama hivyo vife tuu maana bora kuendelea kuwa na CCM iliyobobea katika mbinu hizo za ulaghai, dhuluma nk kuliko kuanza na wengine.
Hakika CCM ile ya Nyerere imezeeka! Yaani imefikia huu "uchawi" inaita strategy hadharani? Imefikia mahali sasa ife tuu ili kulinda hadhi ya hilo jina na kuzikwa kwa heshima ya waanzilishi wake
 
To hell with technicalities,demokrasia haijengwi juu ya technicalities zisizo na logic bali juu ya uwakilishi unaokubalika na wengi na imani kwamba wengi wamesikilizwa.
Technicalities zako zinasaidia au zinafanikisha nini ikiwa zinamuondoa mtu ambaye alikuwa apate asalimia 60 ya kura na kumbakisha aliyekuwa apate asalimia 20 ya kura?
Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo ambayo yametokea mara kwa mara - na sijui kama watu wamesahau au la - ni kuwa mara nyingi CHADEMA wanajikuta wanabanwa kwenye "masuala ya kiufundi" (technicalities).

- Kuchelewa kurudisha fomu hadi siku ya mwisho, saa ya mwisho
- Kuchelewa kula kiapo, au kula kiapo kisicho sahihi (nakumbuka sana kilichotokea Mbeya Vijijini mwaka uleeee)
- Kutokujua wanarudisha fomu kwa nani (Korogwe)
- n.k

Sasa, ni lazima tujue kuwa CCM na Serikali yake hawajawahi kuwa na mpango wa kutengeneza mazingira ya Upinzani kufanikiwa. Hili nimeliandika mara nyingi huko nyuma haifai kulirudia. Sijui kwanini wapo wanaofikiria kuwa Papa atajikata, atoe mafuta yake, akuwekee moto na sufuria, halafu ajitumbukize wewe kazi yako iwe kumkaanga tu! Sikumbuki mahali popote hili limewahi kutokea. Kutegemea CCM kuwasaidia wapinzani kuja kuwaondoa madarakani ni ndoto za Alinacha.

Baada ya kusema hilo, kufuatia uamuzi huu wa Chadema kujitoa kwenye kushiriki binafsi nilitarajia mambo kadhaa yangeelezwa kwanza, maana tusije tukawalaumu wasimamizi wa uchaguzi n.k kwa makosa ambayo yangeweza kuepukika. Kwa anayejua naomba atusaidie:

1. Ni nani alikuwa Mratibu wa CHADEMA wa wagombea wa nafasi mbalimbali serikali za mitaa kitaifa?

2. Huyo mtu/watu alitoa maelekezo gani kwa wanachama wa CDM kuhusiana na ujazaji wa fomu, kurudisha fomu n.k?

3. Je, CDM kitaifa ilitoa mwongozo gani kuhusiana na wagombea wake; kwamba wanahitaji nini na wajazaje fomu? Hii inaitwa "covering all your bases)

4. Hata mahali ambapo mikutano ya ndani isingewezekana CDM kitaifa ilifanya juhudi gani hata kupitia mitandao ya kijamii (Facebook, Youtube, au hata hapa JF) kuwajulisha wagombea wake jinsi ya kujaza fomu n.k Yaani, Freeman Mbowe au Katibu Mkuu Mashinji wameshindwa kuanzisha hata thread moja yenye maelekezo na nakala za fomu za mfano za nini kinatakiwa zikawekwa hapa?

5. CDM iliwaandaa watu wake vipi kubanana na wale wasimamizi ambao walikuwa wanaonekana kweli kuwakwepa. Hivi kweli CDM na vijana wake hakuna watu wenye kusema "hatutoki hapa hadi mpokee fomu zetu"? Ni upinzani gani huu!

Haya ni baadhi tu ya maswali yangu kwa sababu tusije kuwalaumu ama wagombea na wale watia nia au wasimamizi. Tujiulize kidogo CDM inawajibika vipi kuwandaa wagombea wake maana msipojibu maswali haya mtakutana tena 2020 na mambo yale yale.

Pendekezo Moja: CDM ije na sera ya wazi na maelekezo ya wazi kuwa wagombea wake wote wahakikishe wanarudisha fomu siku tano kabla ya mwisho wa siku iliyowekwa. Mtashangaa tofauti itakuwa nini hapa.
 
Mwanakijiji unaanza kuzeeka vibaya.

Unashindwa kuelewa kuwa kati ya mwananchi na serikali, mwananchi anategemea mercy ya serikali. Unasema wako wapi wapinzani wa "hatutoki hapa hadi mpokee fomu zetu"?, well nikwambie tu wako ndani na wana kesi za kufanya vurugu kwenye ofisi za serikali.

Kitu kimoja watu wa aina yako wanashindwa ku-appreciate ni determination ya utawala huu wa tano katika kuhakikisha upinzani unakufa. Katika kila hatua ya uchaguzi huu kulikuwa na fitina za aina yake ambazo hazina namna ya kuzivuka.

1. Watu walishindwa kuchukua form, ofisi zimefungwa au watendaji hawapo (unataka wapinzani watengeneze form zao)
2. Waliowakuta watendaji wengine wakapewa form zisizo halali again (unataka wapinzani watengeneze form zao halali)
3. Kuna waliopewa form, wakati wanarudisha watendaji wakakimbia ofisi (unataka warudishe wapi hizo form)
4. Kuna waliofanikiwa kurudisha form watendaji wakataka kuzipoteza (unataka washinde kwenye ofisi kulinda form)
5. Wengine ndio kama hao unaona wamekatwa kwa vichekesho vya "ACT sio chama halali" au mkulima kuambiwa "Hana shughuli halali"

The bottom line is, wapinzani ni victims hapa; wanapigwa, wanauawa, wanapewa kesi zisizo na kichwa na miguu; badala ya kutumia muda wako kutafuta vitu vya kukosoa katika matendo ya victims; jielekeze kwenye kukosoa wabakaji wa demokrasia. You are doing a disservice, utanisamehe lakini ulichofanya hapa ni kama kumwambia victim wa ubakaji "kwa nini hukubana miguu kwa nguvu zaidi"
 
Wewe lizee hovyo sana ulitaka warudishe wapi form wakati watendaji walikuwa mafichoni kuwajazia wagombea wa ccm?

Kwani CHADEMA ni mara yao ya kwanza kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa?

Ni kwanini wagombea wa vyama vya upinzani tu ndiyo wameenguliwa kwenye uchaguzi ?

Hivi unataka kusema kwamba wagombea wa chadema wameenguliwa kwa uzembe wa chama ?

Kifupi wewe mzee unazeeka vibaya. Nasikitika sana kuwahi kupoteza muda wangu takribani 6 years nikisoma makala zako magazetini.
Huyo mzee kawa poyoyo kama yule best wake aliyekana kiapo cha upadri na kuanza kupora wake wa watu.
 
Maswali haya ni kwa CHADEMA pekee au na Ccm wanapaswa kuyajibu?

Je vijana wa CHADEMA wakikusanyika kwa mtendaji na yakatokea ya Akwilina mtamfungulia kesi Magufuli au Mbowe kwa mara nyingine?

Ukweli nilikuwa siipendi Ccm lakini mwanzo ilikuwa ni kisiasa tu lakini sasaivi baada ya ushenzi waliotufanyia wananchi Nikimuona mtu amevaa nguo za ccm natamani AFE.

Kama mwananchi mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu na nisiyependa nchi yangu kuingia kwenye machafuko nimechukua hatua kadhaa

Kwanza nimevunja uhusiano na wana ccm wote (sihitaji kuishi na wanafiki na watu wanaotaka kuangamiza taifa)

Pili nimesitisha shughuli za kibiashara baina yangu na wao (wale wanaoonekana wanashabikia uchawi unaoendelea)

Tatu Nimetoa maoni na mtazamo wangu kwa maandishi namna kuwaeleza watendaji namna wanavyoipeleka nchi kwenye machafuko na nini kifanyike kuepusha hilo

Nne Nimeapa kama hali itaendelea hivi, kutoshiriki aina yoyote ya uchaguzi kuanzia kampeni mpaka upigaji wa kura mimi familia yangu.

Tano kukusanya ushahidi wa kutosha wa uhaini unaofanywa na ccm na kuwasilisha kwa vyombo vya habari vya ndani na nje na mwisho mahakamani nikishindwa mahakama za ndani nitaenda mahakama ya Afrika Mashariki.

Nitapinga hujuma hizi kwa nguvu zangu zote kwa jasho, machozi na damu ikibidi.

Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo ambayo yametokea mara kwa mara - na sijui kama watu wamesahau au la - ni kuwa mara nyingi CHADEMA wanajikuta wanabanwa kwenye "masuala ya kiufundi" (technicalities).

- Kuchelewa kurudisha fomu hadi siku ya mwisho, saa ya mwisho
- Kuchelewa kula kiapo, au kula kiapo kisicho sahihi (nakumbuka sana kilichotokea Mbeya Vijijini mwaka uleeee)
- Kutokujua wanarudisha fomu kwa nani (Korogwe)
- n.k

Sasa, ni lazima tujue kuwa CCM na Serikali yake hawajawahi kuwa na mpango wa kutengeneza mazingira ya Upinzani kufanikiwa. Hili nimeliandika mara nyingi huko nyuma haifai kulirudia. Sijui kwanini wapo wanaofikiria kuwa Papa atajikata, atoe mafuta yake, akuwekee moto na sufuria, halafu ajitumbukize wewe kazi yako iwe kumkaanga tu! Sikumbuki mahali popote hili limewahi kutokea. Kutegemea CCM kuwasaidia wapinzani kuja kuwaondoa madarakani ni ndoto za Alinacha.

Baada ya kusema hilo, kufuatia uamuzi huu wa Chadema kujitoa kwenye kushiriki binafsi nilitarajia mambo kadhaa yangeelezwa kwanza, maana tusije tukawalaumu wasimamizi wa uchaguzi n.k kwa makosa ambayo yangeweza kuepukika. Kwa anayejua naomba atusaidie:

1. Ni nani alikuwa Mratibu wa CHADEMA wa wagombea wa nafasi mbalimbali serikali za mitaa kitaifa?

2. Huyo mtu/watu alitoa maelekezo gani kwa wanachama wa CDM kuhusiana na ujazaji wa fomu, kurudisha fomu n.k?

3. Je, CDM kitaifa ilitoa mwongozo gani kuhusiana na wagombea wake; kwamba wanahitaji nini na wajazaje fomu? Hii inaitwa "covering all your bases)

4. Hata mahali ambapo mikutano ya ndani isingewezekana CDM kitaifa ilifanya juhudi gani hata kupitia mitandao ya kijamii (Facebook, Youtube, au hata hapa JF) kuwajulisha wagombea wake jinsi ya kujaza fomu n.k Yaani, Freeman Mbowe au Katibu Mkuu Mashinji wameshindwa kuanzisha hata thread moja yenye maelekezo na nakala za fomu za mfano za nini kinatakiwa zikawekwa hapa?

5. CDM iliwaandaa watu wake vipi kubanana na wale wasimamizi ambao walikuwa wanaonekana kweli kuwakwepa. Hivi kweli CDM na vijana wake hakuna watu wenye kusema "hatutoki hapa hadi mpokee fomu zetu"? Ni upinzani gani huu!

Haya ni baadhi tu ya maswali yangu kwa sababu tusije kuwalaumu ama wagombea na wale watia nia au wasimamizi. Tujiulize kidogo CDM inawajibika vipi kuwandaa wagombea wake maana msipojibu maswali haya mtakutana tena 2020 na mambo yale yale.

Pendekezo Moja: CDM ije na sera ya wazi na maelekezo ya wazi kuwa wagombea wake wote wahakikishe wanarudisha fomu siku tano kabla ya mwisho wa siku iliyowekwa. Mtashangaa tofauti itakuwa nini hapa.
 
Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo ambayo yametokea mara kwa mara - na sijui kama watu wamesahau au la - ni kuwa mara nyingi CHADEMA wanajikuta wanabanwa kwenye "masuala ya kiufundi" (technicalities).

- Kuchelewa kurudisha fomu hadi siku ya mwisho, saa ya mwisho
- Kuchelewa kula kiapo, au kula kiapo kisicho sahihi (nakumbuka sana kilichotokea Mbeya Vijijini mwaka uleeee)
- Kutokujua wanarudisha fomu kwa nani (Korogwe)
- n.k

Sasa, ni lazima tujue kuwa CCM na Serikali yake hawajawahi kuwa na mpango wa kutengeneza mazingira ya Upinzani kufanikiwa. Hili nimeliandika mara nyingi huko nyuma haifai kulirudia. Sijui kwanini wapo wanaofikiria kuwa Papa atajikata, atoe mafuta yake, akuwekee moto na sufuria, halafu ajitumbukize wewe kazi yako iwe kumkaanga tu! Sikumbuki mahali popote hili limewahi kutokea. Kutegemea CCM kuwasaidia wapinzani kuja kuwaondoa madarakani ni ndoto za Alinacha.

Baada ya kusema hilo, kufuatia uamuzi huu wa Chadema kujitoa kwenye kushiriki binafsi nilitarajia mambo kadhaa yangeelezwa kwanza, maana tusije tukawalaumu wasimamizi wa uchaguzi n.k kwa makosa ambayo yangeweza kuepukika. Kwa anayejua naomba atusaidie:

1. Ni nani alikuwa Mratibu wa CHADEMA wa wagombea wa nafasi mbalimbali serikali za mitaa kitaifa?

2. Huyo mtu/watu alitoa maelekezo gani kwa wanachama wa CDM kuhusiana na ujazaji wa fomu, kurudisha fomu n.k?

3. Je, CDM kitaifa ilitoa mwongozo gani kuhusiana na wagombea wake; kwamba wanahitaji nini na wajazaje fomu? Hii inaitwa "covering all your bases)

4. Hata mahali ambapo mikutano ya ndani isingewezekana CDM kitaifa ilifanya juhudi gani hata kupitia mitandao ya kijamii (Facebook, Youtube, au hata hapa JF) kuwajulisha wagombea wake jinsi ya kujaza fomu n.k Yaani, Freeman Mbowe au Katibu Mkuu Mashinji wameshindwa kuanzisha hata thread moja yenye maelekezo na nakala za fomu za mfano za nini kinatakiwa zikawekwa hapa?

5. CDM iliwaandaa watu wake vipi kubanana na wale wasimamizi ambao walikuwa wanaonekana kweli kuwakwepa. Hivi kweli CDM na vijana wake hakuna watu wenye kusema "hatutoki hapa hadi mpokee fomu zetu"? Ni upinzani gani huu!

Haya ni baadhi tu ya maswali yangu kwa sababu tusije kuwalaumu ama wagombea na wale watia nia au wasimamizi. Tujiulize kidogo CDM inawajibika vipi kuwandaa wagombea wake maana msipojibu maswali haya mtakutana tena 2020 na mambo yale yale.

Pendekezo Moja: CDM ije na sera ya wazi na maelekezo ya wazi kuwa wagombea wake wote wahakikishe wanarudisha fomu siku tano kabla ya mwisho wa siku iliyowekwa. Mtashangaa tofauti itakuwa nini hapa.
CDM sasa hivi kila mtu anawaza la kwake ataishije baada ya 2020.
 
Propaganda za kitoto kabisa
Kwamba Polisi hawakushiriki vikao vya ndani!
Kwamba haijasemwa CCM iliweka wanasheria!
Kwamba mapanga yalitembea baadhi ya maeneo
Kwamba, kuchukua fomu ilikuwa tatizo
Kwamba, waziri alikiri uwepo wa matatizo na kuhalalisha ni jambo la kawaida
Kwamba, wapinzani wameenguliwa kwa ''kutojaza fomu'' bila CCM hata mmoja!
 
Back
Top Bottom