At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Asante kwa mada yako mdau. Lakini napata ukakasi kuweza kuchangia mada yako, kwa sababu umetoa tu mapendekezo lakini haujasema ni kwanini unataka hayo mabadiliko. Na pia hujasema umeona changamoto gani kwa mfumo wa sasa hata ukakupelekea wewe kuja na mapendekezo hayo. Nikipata hayo mambo nitakuja kuchangia.Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa mjadala na pia ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism) pasipo kutumia lugha za matusi wala kejeli.
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe.
======
Karibu uboreshe mada yako ili ilete maana. Natanguliza shukurani.