Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Hivi kwani hata chanjo zinazotolewa kwa watoto wachanga si zinatoka kwao!?
 
Hizo ni theory, bahoji logic. Iko hivi, unatumia electronic devices , madawa, technology asilimia kubwa inatoka kwa nani? Even silaha na military tacticts tumejifunza wapi? Wakitaka kutuwipe kupitia nyanja tunazo wategemea wangesha tumaliza wayyyy back.
Siku muafrika atakapo jitegemea atleast 70% kwenye hizo nyanja ndipo atakomboka otherwise huna namna
 
Ajent Orange iliyomiminywa kwenye Mashamba ya Mchele wa Vietnam athari zake mpaka leo zinaonekana👇
 
Waniga hatupendwi angalieni Weusi huko USA.
 
Unajua kwanini ilitumika?
Ilitumika hata pale Vita vilipoisha Ndege za Marekani zilikuwa zinaruka usiku na kumwagilia Mashamba ya so called "Yellow Man" seuze sisi Black People ambao tumepitia kila aina ya Madhila.
 
Misaada yote ni uhuni tu, kama haituathiri kiafya (sidhani kama ina athari za kiafya) basi ina tuathiri kiuchumi.
Binafsi mimi sio misaada ya nchi na nchi tu hata mtu anapokupa vijipesa na misaada ni kama anakutawala ni vigumu kusema hapa (anakuondolea UTU wako) lakini tukija kwenye point husika..., kama wewe huwapi chakula watoto wako na jirani akawapa makombo angalau wasife njaa; wa kulaumiwa ni wewe au jirani ?
Huu msaada wa mchele sijui nini, ukingalia ni serikali ya Marekani inawapa shavu na kuwatafutia masoko wakulima wake. Hakuna cha msaada, ni suala la uchumi zaidi, Marekani akiwa mshindi.
USA huwa inatoa Ruzuku kwa wakulima wake..., kwahio huwa kunakuwa na surplus hivyo ni bora kutoa misaada na kupata goodwill; ingawa napo huenda ni matumizi ambayo sio mazuri sana ya Kodi za wananchi wao sababu hizo pesa za kuwapa wakulima ruzuku huenda wangefanya vitu sustainable (the whole world is messed up)

Lakini katika hili pia huenda kuna watu wali-lobby kwamba tuleteeni sisi na msipeleke Haiti au sehemu nyingine na katika kuhakikisha hayo wakapata percent fulani za faida hapa na pale (its a long chain) Hivyo basi kama Bongo kuna watu wanapiga miayo kwa kula mlo mmoja kwa siku mbili huoni kwamba the end Justify the Means na kama if anything wa kulaumiwa ni Walamba Asali ?!!!!

In abundance of Water, A Fool is Thirsty....
 
Ukimwi ndiyo hiyo hiyo safari ya kuiaga dunia mkuu
 
Bashe kasema waje wanunue Mchele wa hapa Tanzania halafu watupe hivyo virutubisho tuvifanyie utafiti ndio tuwaruhusu Wamixi.

Huyu Waziri yuko Active na anaona mbali.

Hizi Njaa zetu tutakuja kufirwa huku tunajiona
 
Ilitumika hata pale Vita vilipoisha Ndege za Marekani zilikuwa zinaruka usiku na kumwagilia Mashamba ya so called "Yellow Man" seuze sisi Black People ambao tumepitia kila aina ya Madhila.

Okay nikusaidie jeshi la marekani lililitumia kemikali ya Agent Orange during vietnam war kama dawa ya kuangamiza mimea ili kuondoa nyasi na miti iliyojificha na hivyo kuzuia maadui kujificha. Lengo lilikuwa kufanya maeneo yenye misitu mikubwa kuwa wazi ili kuzuia mashambulizi ya wanamgambo wa Viet Cong.

Walaicha kutumia agent orange 1971, while vietnam war iliisha 1975. So when and how walitumia agent orange after war?
 
Tulikula njano iwe leo hii!ni wajinga wachache tu ndio wenye mawazo mgando kama hayo.kwani Marekani akitaka kutumia si ni dakika chache kwa umaskini huu.mbona gaza wanapanga foleni kugombea hicho chakula kwa hiyo wao ni wajinga

Acha dharau bro, yaani sisi unatufananisha na Gaza?
 
Ingia Stormfront jomba uone true colours za hao unaofikiri wanakupenda.
 
Mimi pia nawatahadharisha Watanzania wenzangu kuwa makini na Misaada haswa inayolenga Watoto wetu adui yeyote analenga next generation.
Sisemi misaada ni mizuri sana, Well tumekuwa tukipokea misaada since when? Oh since uhuru to date. Ni athari gani tumepata mpaka sasa ambayo imesababishwa direct na misaada?
 
Huenda uko sahihi kwa kusema kuwa "wangetaka kutuua wangesha tumaliza kwa HIV/UKIMWI". Hata hivyo, unatakiwa uelewe kwamba lengo la hayo magonjwa kuenea si kuua maskini wa Afrika! Hapa ndo watu wengi wanashindwa kuelewa. Hawana mpango wa kuwaua waafrika na hawatakuwa nao hata siku moja kwasababu wananufaika kwa uwepo wao.

Hata hivyo, hii haizuii kuleta matatizo Afrika kwa makusudi na yakaleta madhara makubwa tu ili baadae waje na suruhisho. Hili lipo na lazima tulielewe hivyo

Toka enzi za mapinduzi ya viwanda ya kwanza karne ya 18 huko, malengo ya nchi za magharibi kwa Afrika yamebaki kuwa ni yale yale hadi leo:-

1. Afrika kubaki mzalishaji wa mali ghafi wanazohitaji wao kwenye viwanda vyao (Source of raw materials)

2. Afrika kuendelea kubaki eneo lao la uwekezaji lakini lisifaidike na uwekezaji huo (Area to invest theie surplus capital)

3. Afrika kuendelea kubaki soko la bidhaa kutoka kwenye viwanda vyao (Source of market for their manufactured goods)

Haya malengo hayajawahi kubadilika ila kinachobadilika ni namna (means) ya kuyafikia hayo malengo yao

Wakati wa ukoloni walitaka kufikia malengo hayo kwa nguvu na utawala wa wazi, lakini kadiri ya mabadiliko ya dunia na uelewa wa waafrika hupelekea nao kubadili mbinu na kuzifanya kuwa za kisasa zaidi.

Kwa mfano, wewe unasema ARV zinaokoa maisha ya wengi, ni sahihi kabisa na kwao katika hili wamefanikiwa kwasababu ili wakupe hizo ARV lazima ukubali kuunda nao "urafiki" utakaopelekea wao kutekeleza malengo yao niliyoandika hapo juu

Asilimia kubwa ya dawa za hospitali, chanjo, vifaa tiba na miradi ya utafiti katika sekta ya afya vinakuja kama msaada kwa "kivuli" cha kusaidia afya za waafrika lakini kimsingi wanatoa misaada hiyo wakishajihakikishia kupata fursa ya kutekeleza malengo yao

Hawawezi kuwaacha waafrika wateketee kwa HIV, cancer, kisukari, TB, na magonjwa mengine kwasababu watapoteza soko lao la ARV, madawa ya cancer, chanjo mbalimbali, nk. Watamuuzia nani? Uwekezaji wao katika tafiti za madawa, nk watamfanyia nani sasa?

Lazima kuwepo na wagonjwa ili soko la dawa liwepo.
Lazima kuwepo na magonjwa ili soko la chanjo liwepo
Lazima kuwepo na magonjwa mapya ili miradi ya tafiti za kisayansi ziendelee na watu wapate pesa

Ni lazima haya mambo tuyaangalie kwa mlengo huu, tuepuke kushabikia kila kinachokuja tukidhani kinakuja bila malengo mahususi
 
Sisemi misaada ni mizuri sana, Well tumekuwa tukipokea misaada since when? Oh since uhuru to date. Ni athari gani tumepata mpaka sasa ambayo imesababishwa direct na misaada?
Misaada tunayopokea mingi inakuja kwa njia ya UN lakini pia hiyo kuna mingine imebainika kuwa na mionzi.

Kuna NGOs zilibainika kuwapiga Sindano Wasichana za kukinga Tetenas lakini zikabainika kuwa ni za kuwafanya wawe Tasa Sterilisation.
 
Madhara yapo sema ni madogo tu, nikama ilivyo dawa za uzazi wa mpango, hauwezi kusema hazina madhara, madhara yapo tena makubwa tu lkn nani yumo tayari kuzaa kama sungura? Je watoto wanaozaliwa na mama wa majira unaona wako sawa? Je kuku wetu wa kienyeji na wa kisasa ni sawa? Unaona wana akili sawa?
 
Misaada tunayopokea mingi inakuja kwa njia ya UN lakini pia hiyo kuna mingine imebainika kuwa na mionzi.

Kuna NGOs zilibainika kuwapiga Sindano Wasichana za kukinga Tetenas lakini zikabainika kuwa ni za kuwafanya wawe Tasa Sterilisation.
Publication za hizo findings ziko wapi? Na ni taasis ipi ya serikal ili discover na ku publish hizo allegations?
 
Publication za hizo findings ziko wapi? Na ni taasis ipi ya serikal ili discover na ku publish hizo allegations?
PIP: A priest, president of Human Life International (HLI) based in Maryland, has asked Congress to investigate reports of women in some developing countries unknowingly receiving a tetanus vaccine laced with the anti-fertility drug human chorionic gonadotropin (hCG). If it is true, he wants Congress to publicly condemn the mass vaccinations and to cut off funding to UN agencies and other involved organizations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…