Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Walijua wafrika wanapenda ngono sana na miujiza kuliko kazi.UKIMWI ni Family Planning Ndugu na Target yao kubwa ni "Sub Sahara" unajua maana ya "Sub Sahara" yaani sisi Negros angalia Data za UKIMWI huku kwetu halafu nenda kwao ukaone.
Hii Mentality ya kupenda vya Dezo na sasa wana Nano technology Mzee usifikiri tunapendwa sana.
Machanjo ni mabayaaa!! Tunawaambia kila siku MACHANJO NI MABAYA.Umbumbumbu tu! Waziri kAAMUA KUTEMBELE UMBUMBUMBU WETU!
2. Kondom zinatoka kondoa.?
5. chanjo zote za watoto za matone na sindano zinatoka Tabora?
Lakini wengi tumechomwa hizo chanjo utotoni! Chanjo ya ndui na zingineMachanjo mabaya yale yanaleta AUTISM na Learning difficulties.
Watoto wanakuwa MAZOBA.
π€£π€£π€£ππΏMie nshaanza kuuza tayari huku, nimeanza na maharageView attachment 2939399
Machanjo ni mabaya sana, na madhara yake yanaonekana tuna taifa la watu MBUMBUMBU.Lakini wengi tumechomwa hizo chanjo utotoni! Chanjo ya ndui na zingine
Nyamkomwe unacheka tu badala ya kusikiliza hoja za wanasayansi akina DR Mambo Jamboπ€£π€£π€£ππΏ
Chanjo ubaya wake ni upi?Machanjo mabayaaa!! Tunawaambia kila siku MACHANJO NI MABAYA.
Kupewa chanjo sio TUNU, ni maangamizi ya Taifa.
Mababu zetu hawakuwa na MAKONDOM lakini waliishi mpaka waatuzaa. Kulikuwa hakuna tatizo lolote.
Kichaa cha kondom kimeletwa na hilo genge la wauza CHANJO πΉ
Maneno ya taarabu unaandika vizuri kwa lugha ya kiswahiliππππ.Hakuna lolote. Unajishebedua tu ila ujumbe umefika kikamilifu.
Wapinga chanjo ni pro-palestina, wao washajitoa ufahamu.Lakini wengi tumechomwa hizo chanjo utotoni! Chanjo ya ndui na zingine
Waliwapa ukimwi watoto wadogo wakiwa hospitaliWapumbavu mno hawa.
Huwa mpaka yatukute ndio watu wanashtukaHizi NGO zisizoeleweka zipigwe BAN mara moja.
We bado mtoto.Chanjo ubaya wake ni upi?
Chanjo iliyopitishwa na WHO unaipinga?
Unataka tuwe na taifa la walemavu wa kupooza ?
Unataka watoto wapate pepopunda?
USA wanampango wa kuwakakata govi kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini, nao wanashindwa kuwafanya msidindishe?
Haya magonjwa babu yako mganga wa kienyeji anaweza kuyazuia,
- Polio,
- Kifua kikuu,
- Pepopunda,
- Dondakoo,
- Kifaduro,
- Homa ya ini,
- Homa yauti wa mgongo,
- Surua, Nimonia .
- Rotavirus.
- Kifua Kikuu (BCG), Polio (OPV),Pentavalent (DTP-HepB-Hip), Surua na Pepopunda (TT), Pneumococcal(PCV13) na Rotavirus.
π€£π€£π€£π€£Pressure za Mitandaoni zimemchanganya Hadi anajifunga.
Hakuna lolote. Ujinga mtupu.Maneno ya taarabu unaandika vizuri kwa lugha ya kiswahiliππππ.
Tukija kwenye maneno ya kutumia akili lazima utumie maneno ya mabeberu. Unajiona una akili sanaππππ
Kwa maana hiyo lugha ya kiswahili ipo kwa ajili ya kuchambia watu tuππππ
Umeandika vizuri. Waafrika wametengeneza nini kujiepusha na genge la wauza chanjo?Machanjo ni mabayaaa!! Tunawaambia kila siku MACHANJO NI MABAYA.
Kupewa chanjo sio TUNU, ni maangamizi ya Taifa.
Mababu zetu hawakuwa na MAKONDOM lakini waliishi mpaka wakatuzaa. Kulikuwa hakuna tatizo lolote.
Kichaa cha kondom kimeletwa na hilo genge uchwara la wauza CHANJO πΉ
Sukari guru.Umeandika vizuri. Waafrika wametengeneza nini kujiepusha na genge la wauza chanjo?
True.Huwa mpaka yatukute ndio watu wanashtuka
Na kuna watu ndio wanawakaribisha kwa maslahi yao
Wewe nae unaongea lugha za Wabaguzi wa Rangi au umepigwa Brain Wash ya kujichukia uweusi wako.Walijua wafrika wanapenda ngono sana na miujiza kuliko kazi.
Mbunge anatembelea gari la milion 300 halafu anaenda kuzindua kisima cha milion 30ππππ
Bado tunawalaumu wazungu, kwa lipi?
Wangetuua kivipi wakati shida yao ni soko? Wao walibuni ukimwi ili kutuua kwani lengo kuu ni kuzuia idadi yetu lakini pia ni kutunyonya kwa kutuuzia madawa. Sasa mgonjwa ukifa utawezaje tena kununua dawa? Pia ujue mabepari wakubwa kuwanyonya watu wao ni kitu cha kawaida. Kwa hivyo hazina yao inanunua madawa ya ukimwi kwa wazalishaji kisha kutoa kama msaada kwa nchi zingine. Kuonekana wanasaidia wao ni kitu chenye thamani kwani inawapa ushawishi kudhibiti nchi zingine uchumi wao.Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.
alanced approach. Tusiwe wote hamnazo.