WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

ila kuna kitu kitaongezeka kaka amini kwamba ... we asume mtu kaingia na miaka 25 maybe afu afanye kazi miaka 35 mingine kuna idad kubwa sana hapo ya vijana wenye taalum kam yake watakua wamehitimu masomo wanaitaka na wao iyo nafas afu wanaostaafu ni wachache . so kwa kupunguza umri naamin wataongezeka ili vijana nao wapate nafas
Labour Market ya Tanzania kila mwaka wahitimu wa vyuo vya juu na vya kati hufika 200,000 men en women serikali imeajiri approximately watu 800,000, waalimu tu ni 40% ya wajiriwa wote, wanao weza kuajiriwa kila mwaka na serikali kwa sekita zote sio zaidi ya 3000, kwa takwimu kama hizo hata watu wakistaafu kwa umri wa miaka 40yrs bado tatizo liko pale pale, tena kumbuka kuna wanao tafuta ajiri tayari wako 40yrs kwahiyo hao wafanye je? Kwahiyo wamestaafu kabla ya kuajiriwa.
 
hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini

Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
 
Labour Market ya Tanzania kila mwaka wahitimu wa vyuo vya juu na vya kati hufika 200,000 men en women serikali imeajiri approximately watu 800,000, waalimu tu ni 40% ya wajiriwa wote wanao weza kuajiriwa kila mwaka na serikali kwa sekita zote sio zaidi ya 3000, kwa takwimu kama hizo hata watu wakistaafu kwa umri wa 40yrs bado tatizo liko pale pale, tena kumbuka kuna wanao tafuta ajiri tayari wako 40yrs kwahiyo hao wafanye je?
ila ni vyema serikali ikajaribu tuone kam inaweza punguza hizi ni stratergies
 
ila ni vyema serikali ikajaribu tuone kam inaweza punguza hizi ni stratergies
Mkuu huku mitaani wastaafu wengi pia wanatafuta kuajiriwa tena sanaa sekita binafsi na wengi wanapenda wa staafu kwasababu wako cheap tena wana uzoefu, tena kuna wengine wana ajiriwa na serikali tena kwenye sekita tofauti, tatizo lina baki pale pale.
 
Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini

Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
mfumo utabadilishwa tu hakuna shida mtu keshajapata mtaj afanye mambo mengine kam ni biashara kama ni kilimo chochote kwani bado umri huo atakua na nguvu atake nini tena hapo ndyo wakati wa kujua wazembe vichwani ni wapi sio kusema saiv vijana wajiajir bila ya mitaji wala backup yoyote mfano kama ni mfamasia atafungua famas mwalimu hata shamba huko akalime
 
ila kuna kitu kitaongezeka kaka amini kwamba ... we asume mtu kaingia na miaka 25 maybe afu afanye kazi miaka 35 mingine kuna idad kubwa sana hapo ya vijana wenye taalum kam yake watakua wamehitimu masomo wanaitaka na wao iyo nafas afu wanaostaafu ni wachache . so kwa kupunguza umri naamin wataongezeka ili vijana nao wapate nafas
Kwanini ajira zisiwe za mikataba?
 
Mkuu huku mitaani wastaafu wengi pia wanatafuta kuajiriwa tena sanaa sekita binafsi na wengi wanapenda wa staafu kwasababu wako cheap tena wana uzoefu, tena kuna wengine wana ajiriwa na serikali tena kwenye sekita tofauti, tatizo lina baki pale pale.
muda utaongea !
 
Serikali Haina pesa za kulipa wastaafu.
Fikiria hata Hawa wanao staafu sasa wakiwa na miaka 60,wanalipwa pension baada ya miaka miwili.

Je wakisema walio fikia 45-60 wastaafu wataweza kuwalipa kwa mkupuo?
Pia kustaafu mapema sio suluhisho la ajira.
Hela za kununua ndege na kutoa rushwa wanazo wanashindwa nini kulipa wastaafu?
 
Back
Top Bottom