WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

Tatizo la ajira haliwezi kupunguzwa kwasababu ya kupunguza umri wa kustaafu kwasababu wahitimu wanazidi kuongezeka kila kukicha. Baadae utakuja kusema tuanze kufanya kazi kwa kupokezana miaka mitano mitano kama kwenye siasa. Suluhisho la kudumu ni kufungua fursa za ajira kupitia sekta binafsi na serikalini, lakini pia kuawajengea uwezo wahitimu waweze kujiajiri wenyewe. Serikali iweke mkazo kwenye sera ya viwanda ili viwe vingi na vije kutoa ajira bora lakini pia elimu mashuleni na vyuoni itolewe kwa kuzingatia mahitaji ya sasa na baadae. Kuna sekta ya viwanda na kilimo, hizi zikitiliwa mkazo tunaweza kufika sehemu nzuri sana kwenye issue ya changamoto ya ajira nchini. Maisha yetu ya kila siku yanategemea kwa 100% uzalishaji wa viwandani na kilimo na hapo ndo ajira zilipojificha. Naomba kuwasilisha 🙏
 
Badala ya viwanda serikali imewekeza kwenye chawa
 
Mkuu huku mitaani wastaafu wengi pia wanatafuta kuajiriwa tena sanaa sekita binafsi na wengi wanapenda wa staafu kwasababu wako cheap tena wana uzoefu, tena kuna wengine wana ajiriwa na serikali tena kwenye sekita tofauti, tatizo lina baki pale pale.
unakula bia ujana wako wote kwenye ajira na totoz shipapi kwanini ukistaafu usishinge rungu kwenda kulinda(ndugu zetu ma afande)
 
Ukistaafu unatakiwa uishi muda mfupi kisha UFE! Sasa wakistaafu kuanzi miaka 45 au 50 wataishi muda mrefu na hilo sio lengo!!!
Ila naunga mkono hoja yako kwa lengo la kufungua nafasi za ajira kwa vijana lkn pia ikumbukwe life span kwa mtanzania imepungua hadi kufikia miaka 48/50..
..
 
Tatizo la ajira haliwezi kupunguzwa kwasababu ya kupunguza umri wa kustaafu kwasababu wahitimu wanazidi kuongezeka kila kukicha. Baadae utakuja kusema tuanze kufanya kazi kwa kupokezana miaka mitano mitano kama kwenye siasa. Suluhisho la kudumu ni kufungua fursa za ajira kupitia sekta binafsi na serikalini, lakini pia kuawajengea uwezo wahitimu waweze kujiajiri wenyewe. Serikali iweke mkazo kwenye sera ya viwanda ili viwe vingi na vije kutoa ajira bora lakini pia elimu mashuleni na vyuoni itolewe kwa kuzingatia mahitaji ya sasa na baadae. Kuna sekta ya viwanda na kilimo, hizi zikitiliwa mkazo tunaweza kufika sehemu nzuri sana kwenye issue ya changamoto ya ajira nchini. Maisha yetu ya kila siku yanategemea kwa 100% uzalishaji wa viwandani na kilimo na hapo ndo ajira zilipojificha. Naomba kuwasilisha 🙏
well said una hoja kukiwa na viwanda vingi ma engineer watapata ajir wafamasia ma HR yani kada nyingi zitaguswa hapa wa kemia wa fizia
 
Ukistaafu unatakiwa uishi muda mfupi kisha UFE! Sasa wakistaafu kuanzi miaka 45 au 50 wataishi muda mrefu na hilo sio lengo!!!
Ila naunga mkono hoja yako kwa lengo la kufungua nafasi za ajira kwa vijana lkn pia ikumbukwe life span kwa mtanzania imepungua hadi kufikia miaka 48/50..
..
hahah mkuu ndyo itapendeza zaidi na kama life span imepungua nafas zitakua nyingi wazee wafe TU khaa! kwanza wabinafsi
 
hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
Yaani unataka watumishi wawe ombaomba huku mitaani sasa..
Waacheni wamalize hiyo mika yao 60 huko..
 
hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
Experience tatizo ndugu vijana mmekalia uchachawa na ma pornography nikikupa mtu umfanyie upasuaji wa kichwa uta Mmang'anyua mpaka Ubongo... Kumbuka kila sehemu unayoenda wanahitaji experience Tukienda katika uwanja wa kivita Nchi kama Marekani Kuna wazee wamiaka 70 wapo kitengo washauri wanashauri nini tufanye tumalize hii mission vizuri Nasikitika wazo lako trump miaka 73 anapiga kazi ww unataka maika 21 uingie Ikulu
 
Vijana wengi (sio wote) bongo hii wanaamini wakisoma hawana lingine la kufanya zaidi ya kajiriwa na serikali. Wajinga ni wengi sana miongoni mwa vijana.
Ni Kazi ya Serikali na watunga sera kuwasaidia Wananchi wake tangu wakiwa mashuleni kuwashauri wachukue masomo na taaluma zipi ili waweze pia kujiajiri pindi wamalizapo masomo yao !

Viongozi wanapokwenda huko Duniani kwa Wazungu wawe pia wanajifunza wenzao huwa wanawatayarishaje Wananchi wao katika kukabiliana na maisha. !
 
Back
Top Bottom