WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

Hiyo yote haina haja, muhimu wacheze na formula hii:-​
  • Punguza mishahara na mafao makazini​
  • Boresha mazingira sahihi ya watu kujiajiri (kilimo, biashara, viwanda, masoko, ufugaji)​
Mfano; mshahara wa mkurugenzi uwe laki 5, mfugo kama kuku auzwe elfu thelathini; unafikiri nani atatamani kuajiriwa?

Hii itapelekea wafanya biashara kuwa na maisha mazuri kuliko waajiriwa, na kuwafanya watu wasipende kuajiriwa; na hii itaongeza uzalishaji wa bidhaa pamoja na ongezeko la kupata fedha za kigeni.​
kama viongozi wa serikali wangelikua wanapitia hoja na maoni ya watu kwenye mitandao ya kijamii hakika tanzania tungelikua mbali sana . tukisema katiba mpya tunaambiwa mchakato unahitaji fedha nyingi ila pesa ya kuwapa viongoz wa dini zawad goli la mama zipo khaa! qumamakee
 
Experience tatizo ndugu vijana mmekalia uchachawa na ma pornography nikikupa mtu umfanyie upasuaji wa kichwa uta Mmang'anyua mpaka Ubongo... Kumbuka kila sehemu unayoenda wanahitaji experience Tukienda katika uwanja wa kivita Nchi kama Marekani Kuna wazee wamiaka 70 wapo kitengo washauri wanashauri nini tufanye tumalize hii mission vizuri Nasikitika wazo lako trump miaka 73 anapiga kazi ww unataka maika 21 uingie Ikulu
hata hao wazee nao walikia vijana kama ni experience waliipata kazini mbele ya safari
 
kama viongozi wa serikali wangelikua wanapitia hoja na maoni ya watu kwenye mitandao ya kijamii hakika tanzania tungelikua mbali sana . tukisema katiba mpya tunaambiwa mchakato unahitaji fedha nyingi ila pesa ya kuwapa viongoz wa dini zawad goli la mama zipo khaa! qumamakee
Pia uongozi wa muda mfupi mfupi, unaweza usilete tija, kwa sababu unakuwa unajua leo upo kesho haupo; inakuwa ni vigumu kutimiza yale malengo ya muda mrefu.​
 
Kwa experience niliyonayo, sidhani kama tatizo la Ajira Kwa vijana limewagusa wahitimu kutoka chuo kikuu cha kilimo...SUA au fani ya kilimo kwa ujumla.
Hili tatizo litakuwa kwa wahitimu WA kozi zingine ambazo hata vyuo vya private vina award..mfano Sheria, utawala, uhasibu, ualimu n.k
well said
 
Hiyo yote haina haja, muhimu wacheze na formula hii:-​
  • Punguza mishahara na mafao makazini​
  • Boresha mazingira sahihi ya watu kujiajiri (kilimo, biashara, viwanda, masoko, ufugaji)​
Mfano; mshahara wa mkurugenzi uwe laki 5, mfugo kama kuku auzwe elfu thelathini; unafikiri nani atatamani kuajiriwa?

Hii itapelekea wafanya biashara kuwa na maisha mazuri kuliko waajiriwa, na kuwafanya watu wasipende kuajiriwa; na hii itaongeza uzalishaji wa bidhaa pamoja na ongezeko la kupata fedha za kigeni.​
Serikalini hakuna hiyo mishahara labda uwe mbunge , nchi hii kwa mwendo wa demokrasia haiwezi kuendelea hata siku moja.
 
1. Miaka unatosuggest mtu ndo ana uzoefu na ni highly productive
2. Hao walioajiriwa wenyewe hata hawatoshi. Kuna sehemu mtu anafanya majukumu ya watu wengine hata wawili watatu , nikimaanisha, serikali haijawahi kujaza nafasi zinazohitajika.
 
Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Utukome.... Hivi hayo mashirika ya pensheni yatamudu kuwahudumia? Tetesi ni kwamba umri wa lazima kustaafu soon itakuwa 65
 
Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Acha roho ya kichawi wewe, nenda VETA kajifunze hata kufuga nyuki ili ujiajiri kuliko kuwachawia wenzio.

Ebu nipe mfano hata wa nchi 1 , baada ya ugumu wa ajira, umri wa kustaff ukashushwa then likaondoa tatizo la ajira. Au kama ili ni gumu sana, nipe mfano wa nchi hata 1 ambayo umri wa kustaff ni miaka 45.

Serikali inatoa 10% tu ya ajira zote za nchi hii, 90% yote ipo sector Binafsi, kama umeshindwa kupata kazi sector Binafsi na kuna 90% ya kazi huko, mimi naamini hata umri wakustaff ukipunguzwa BADO UTAKOSA KAZI TU. Nenda VETA.
 
Ukiona wanataka kuongeza majimbo ya Ubunge ujue watakuja kuongeza umri wa kustaafu ikiwezekana wafie kazini ili vijana wakose ajira.
 
Back
Top Bottom