Labour Market ya Tanzania kila mwaka wahitimu wa vyuo vya juu na vya kati hufika 200,000 men en women serikali imeajiri approximately watu 800,000, waalimu tu ni 40% ya wajiriwa wote, wanao weza kuajiriwa kila mwaka na serikali kwa sekita zote sio zaidi ya 3000, kwa takwimu kama hizo hata watu wakistaafu kwa umri wa miaka 40yrs bado tatizo liko pale pale, tena kumbuka kuna wanao tafuta ajiri tayari wako 40yrs kwahiyo hao wafanye je? Kwahiyo wamestaafu kabla ya kuajiriwa.ila kuna kitu kitaongezeka kaka amini kwamba ... we asume mtu kaingia na miaka 25 maybe afu afanye kazi miaka 35 mingine kuna idad kubwa sana hapo ya vijana wenye taalum kam yake watakua wamehitimu masomo wanaitaka na wao iyo nafas afu wanaostaafu ni wachache . so kwa kupunguza umri naamin wataongezeka ili vijana nao wapate nafas
Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazinihii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
mafao ya pension anayapata akiwa na nguvu bado anaweza anzisha mirad na kufanya mambo mengineHakuna tatizo hapo, kwenye kustaafu miaka 60, hata huyo kijana akiajiriwa atatamani adumu kwenye ajira hadi umri wa miaka 60. Sidhani kama atafurahia kuondoka mapema.
ila ni vyema serikali ikajaribu tuone kam inaweza punguza hizi ni stratergiesLabour Market ya Tanzania kila mwaka wahitimu wa vyuo vya juu na vya kati hufika 200,000 men en women serikali imeajiri approximately watu 800,000, waalimu tu ni 40% ya wajiriwa wote wanao weza kuajiriwa kila mwaka na serikali kwa sekita zote sio zaidi ya 3000, kwa takwimu kama hizo hata watu wakistaafu kwa umri wa 40yrs bado tatizo liko pale pale, tena kumbuka kuna wanao tafuta ajiri tayari wako 40yrs kwahiyo hao wafanye je?
Sio wote wenye ujanja wa kufanya miradi binafsi, wengine tumezaliwa spesho wa kuajiriwa tu 🙂mafao ya pension anayapata akiwa na nguvu bado anaweza anzisha mirad na kufanya mambo mengine
Hawashibagi hao 🤣 !sio mtu kustaafu mpaka afariki khaa! mbaya sana hii
Unaota huoni Wasira ana 80 karudishwa mzigoni sembuse hao 60hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
Mkuu huku mitaani wastaafu wengi pia wanatafuta kuajiriwa tena sanaa sekita binafsi na wengi wanapenda wa staafu kwasababu wako cheap tena wana uzoefu, tena kuna wengine wana ajiriwa na serikali tena kwenye sekita tofauti, tatizo lina baki pale pale.ila ni vyema serikali ikajaribu tuone kam inaweza punguza hizi ni stratergies
mfumo utabadilishwa tu hakuna shida mtu keshajapata mtaj afanye mambo mengine kam ni biashara kama ni kilimo chochote kwani bado umri huo atakua na nguvu atake nini tena hapo ndyo wakati wa kujua wazembe vichwani ni wapi sio kusema saiv vijana wajiajir bila ya mitaji wala backup yoyote mfano kama ni mfamasia atafungua famas mwalimu hata shamba huko akalimeUtaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini
Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
Hakika kabisa na wote tunategemeana !Sio wote wenye ujanja wa kufanya miradi binafsi, wengine tumezaliwa spesho wa kuajiriwa tu 🙂
sindio mkuu mifano kama hiyoUnaota huoni Wasira ana 80 karudishwa mzigoni sembuse hao 60
Kwanini ajira zisiwe za mikataba?ila kuna kitu kitaongezeka kaka amini kwamba ... we asume mtu kaingia na miaka 25 maybe afu afanye kazi miaka 35 mingine kuna idad kubwa sana hapo ya vijana wenye taalum kam yake watakua wamehitimu masomo wanaitaka na wao iyo nafas afu wanaostaafu ni wachache . so kwa kupunguza umri naamin wataongezeka ili vijana nao wapate nafas
definitely mi huwa nawashangaa wanaosema vijana wajiajiri . mtu kahitimu engineering na hapo katokea naybe familia duni anajiajiri vipi halo kulingana carrier yakeH
Hakika kabisa na wote tunategemeana !
Tatizo wengine hawatosheki ni kama vile wanadhani wataishi milele !
muda utaongea !Mkuu huku mitaani wastaafu wengi pia wanatafuta kuajiriwa tena sanaa sekita binafsi na wengi wanapenda wa staafu kwasababu wako cheap tena wana uzoefu, tena kuna wengine wana ajiriwa na serikali tena kwenye sekita tofauti, tatizo lina baki pale pale.
kwa sheria sio hiari kuna watumishi hawatakubali ikiwa ni kwa hiariWazo nzuri, kustaafu kwa hiari iwe miaka 40 na lazima 45
Hela za kununua ndege na kutoa rushwa wanazo wanashindwa nini kulipa wastaafu?Serikali Haina pesa za kulipa wastaafu.
Fikiria hata Hawa wanao staafu sasa wakiwa na miaka 60,wanalipwa pension baada ya miaka miwili.
Je wakisema walio fikia 45-60 wastaafu wataweza kuwalipa kwa mkupuo?
Pia kustaafu mapema sio suluhisho la ajira.
Vijana wengi (sio wote) bongo hii wanaamini wakisoma hawana lingine la kufanya zaidi ya kajiriwa na serikali. Wajinga ni wengi sana miongoni mwa vijana.Umaskini mbaya sana!! Hapo siki imekujaa kifuani ukiona mtu anaamka kwenda kazini!! Jiajiri wewe achana na Masasi ya kichawi!