ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
NIna Swali Moja Kwako Boss!Absolutelly, wangefanya hata 15 years to ya kukaa ktk ajira..hii ingesaidia rotation ktk ajira na pia watu wangelazimika kuchangamkia fursa kufanya biashara mapema sana wakianza tu kazi maana wanajua wana miaka 15 tu ya ajira...tofauti sasa mtu anaingia kwa ajira anafikia kukopa anunue gari coz anajua ana zaidi ya 30 years ya kula fedha za umma.
NB.; niliwahi andika kuhusu jambo hili pale SoC ila ni kama hakuna aliye nielewa, nilipata kura 5 tuuu. 😀 😀 😀
Eeeh! Watu wengine sijui mlisoma hesabu za wapi? Kwa hiyo ukitaka kutatua tatizo la ajira unapunguza umri wa kustaafu. Huoni kwamba hiyo inakuwa na once off impact kwenye umri wa kustaafu? Kwamba baada ya muda mambo yatajisazazisha kwa sababu hujaongeza nafasi za ajira wala kupnguza idadi ya wahitimu kutoka vyuo wanaoingia soko la kutafuta ajira?
Au utaendelea kupunguza umri wa kustaafu kila mwaka hadi ufikie miaka 18?
Acha CCM wasije wakakusikia na point zako hizi, huwa hawaoni mbali. Wasije wakatekeleza.
So far nchi nilizotembelea norway , israel, ugiriki. Mpaka 67 years, US 62 yearsNchi za wenzetu kustaafu ni kuanzia miaka mingapi? Tuanzie hapi kwanza
Sasa naona wewe unataka kukimbia kwenda VETAHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Ipunguze muda wa kuachana na siasa kwa wanasiasa na viongozi wa kisiasa,kitaifa na kichama.Wote tutanufaika na keki ya taifa.Watumishi ni wachache mno na ndio wanujasho wa kweli ndani ya taifa hili wanasiihasa wa kuvuna na kushiba pamoja na ndugu jamaa na marafiki.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Watu tumesoma 7 years primary, 4years O-level, 2yers A-level, 1 year jeshini, 3years degree ya kwanza, 2years , degree ya pili, 3 years PhD = 22 years unasoma tu. Unamaliza una miaka 32, ulianza na miaka 10. Baada ya miaka 13 unastaafu?Anataka watu wastaafu wakiwa na 45 yrs of age. Ukute ana shahada (Degree) 😁
Mkuu, hili wazo uliandika SoC hapa JF. 😁Absolutelly, wangefanya hata 15 years to ya kukaa ktk ajira..hii ingesaidia rotation ktk ajira na pia watu wangelazimika kuchangamkia fursa kufanya biashara mapema sana wakianza tu kazi maana wanajua wana miaka 15 tu ya ajira...tofauti sasa mtu anaingia kwa ajira anafikia kukopa anunue gari coz anajua ana zaidi ya 30 years ya kula fedha za umma.
NB.; niliwahi andika kuhusu jambo hili pale SoC ila ni kama hakuna aliye nielewa, nilipata kura 5 tuuu. 😀 😀 😀
Hapo ni sawa na unajaribu kumwelewesha mtoto wa miaka mitatu jinsi umeme uanavyogeuka kuwa mwanga!NIna Swali Moja Kwako Boss!
Kwa sasa Takribani 72% ya waajiliwa Wote ni Vijana Nikiwa namaanisha Wenye Umri wa Miaka 25 Mpaka 45..
Na Ukumbuke Kuwa Serkali Haiajriwi Watu wanaoanzia Umri wa Miaka 45..
Chukulia Sheria hiyo Imepitishwa Kuwa Umri wa Kustaafu kwa sasa ni Miaka 45 au 50..
Na wewe kwa Sasa Una Miaka 30, Unahisi Baada ya miaka q5 ay 10 ya kustaafu waliopo Kazini Unaweza Kuwa Mmoja wa watakaoajiriwa?
Lets Say walio Nyumbani Wenye Umri wa Miaka 35 Mpaka 40 wanaosubiri Ajira Ni watu 700k na Serikali ikaajiri Kati yao 10k ..
Wakabaki 690 au 650 Baada ya Miaka 10 Hao 700 Wote watakuwa hawana Sifa ya Kuajiriwa Tena bado watahitimu wengine..
Na hali bado itakuwa SAME as Before Kutatua Tatizo kwa Kutengeneza Tatizo Haiwezi Kuwa suluhisho la Tatizo ila ni Kuongeza Tatizo liwe Kubwa kwa Siku za Usoni
Unajia Idadi yw Watumishi wote Tanzania Nzima??
usilinganishe Tz na nchi kama Kenya kwenye unemployment, Kenya wan hali mbaya sana.Tatizo kuu la ajira Tanzania ni serikali kugombana na kuua sekita binafsi badala ya kui sapoti muasisi wa hizo fikra za kuona sekita binafsi kama adui nia late JPM, na kweli nyingi zilikufa kabisa pesa za watu ziliporwa nk ukiangalia tatizo la ajira Ug na Kenya sio kubwa kama Tanzania kwanini? Sekita binafsi zina nguvu sanaa.
Sasa naona wewe unataka kukimbia kwenda VETA
Mtu haingii kazini ghafra, akawa expert, Kuna muda wa kujifunza na kupata uzoefu.Absolutelly, wangefanya hata 15 years to ya kukaa ktk ajira..hii ingesaidia rotation ktk ajira na pia watu wangelazimika kuchangamkia fursa kufanya biashara mapema sana wakianza tu kazi maana wanajua wana miaka 15 tu ya ajira...tofauti sasa mtu anaingia kwa ajira anafikia kukopa anunue gari coz anajua ana zaidi ya 30 years ya kula fedha za umma.
NB.; niliwahi andika kuhusu jambo hili pale SoC ila ni kama hakuna aliye nielewa, nilipata kura 5 tuuu. 😀 😀 😀
Hata humu JF tuanze kuwa tunastaafu, mfano ambao tupo humu muda mrefu tunatakiwa kustaafu kwenye jukwaa, Mimi nimeanza kuchangia 2016 hivyo natakiwa mwaka huu mwishoni nistaafu hapa JF maana sitakuwa na mawazo mapya tena.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Wazo zuri,lakini linazua tatizo jingine la malipo kwa wastaafu.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
katika hili mimi sitarajii kuajiriwa baada ya hiyo miaka 15. ila nilisema approach hii itafaa baada ya miaka 15 na kuendelea maana tutaanza kuona rotation ya watu ktk nafasi za ajira. ukiongeza miaka mingine 10, yani 25 kuanzia leo basi unaweza kuta almost kila graduate ana uhakika wa ajira ndani ya mwaka mmoa au miwili tangu anapo hitimu. so jambo hili linaweza fanyika kwa mafunaa ya vijana wetu kesho, sio sisi leoNIna Swali Moja Kwako Boss!
Kwa sasa Takribani 72% ya waajiriwa Wote ni Vijana Nikiwa namaanisha Wenye Umri wa Miaka 25 Mpaka 45..
Na Ukumbuke Kuwa Serkali Haiajriwi Watu wanaoanzia Umri wa Miaka 45..
Chukulia Sheria hiyo Imepitishwa Kuwa Umri wa Kustaafu kwa sasa ni Miaka 45 au 50..
Na wewe kwa Sasa Una Miaka 30, Unahisi Baada ya miaka q5 ay 10 ya kustaafu waliopo Kazini Unaweza Kuwa Mmoja wa watakaoajiriwa?
Lets Say walio Nyumbani Wenye Umri wa Miaka 35 Mpaka 40 wanaosubiri Ajira Ni watu 700k na Serikali ikaajiri Kati yao 10k ..
Wakabaki 690 au 650 Baada ya Miaka 10 Hao 700 Wote watakuwa hawana Sifa ya Kuajiriwa Tena bado watahitimu wengine..
Na hali bado itakuwa SAME as Before Kutatua Tatizo kwa Kutengeneza Tatizo Haiwezi Kuwa suluhisho la Tatizo ila ni Kuongeza Tatizo liwe Kubwa kwa Siku za Usoni
Unajia Idadi yw Watumishi wote Tanzania Nzima??
na wewe ni mmoja waoMtu haingii kazini ghafra, akawa expert, Kuna muda wa kujifunza na kupata uzoefu.
Hiyo miaka 15 unafikiri inatosha?
Kibongo bongo mtu aliyemaliza hiyo miaka anakuwa pensionable.
Sasa huo mzigo wa kulipa hao watu na labour turnover kazi zitaenda kweli?
Hata hao uliowapata watano walikupendelea
anapewa pensionKumstaafisha kijana wa 45 yrs na watoto Bado wako shule haifai.
ni swala la stratergy sio kukurupuka kwa siku moja TuFikiria kama uki stafisha wafanyakazi kwa mkupuo mifuko ya jamii itaparalise hali itakuwa mbaya sana. Kiuchumi serekali itaumia sana. Ndo maaana nchi za watu kukiwa na mdororo wa uchumi huwa wanapandisha umri wa kustaaf ili kupata mida wa kujipanga kwenye kulipa mafao
hoja yako nimeipata vizuri1. Miaka unatosuggest mtu ndo ana uzoefu na ni highly productive
2. Hao walioajiriwa wenyewe hata hawatoshi. Kuna sehemu mtu anafanya majukumu ya watu wengine hata wawili watatu , nikimaanisha, serikali haijawahi kujaza nafasi zinazohitajika.
punguza hasira hakuna anaekustaafisha ni wazo TU hiliAcha roho ya kichawi wewe, nenda VETA kajifunze hata kufuga nyuki ili ujiajiri kuliko kuwachawia wenzio.
Ebu nipe mfano hata wa nchi 1 , baada ya ugumu wa ajira, umri wa kustaff ukashushwa then likaondoa tatizo la ajira. Au kama ili ni gumu sana, nipe mfano wa nchi hata 1 ambayo umri wa kustaff ni miaka 45.
Serikali inatoa 10% tu ya ajira zote za nchi hii, 90% yote ipo sector Binafsi, kama umeshindwa kupata kazi sector Binafsi na kuna 90% ya kazi huko, mimi naamini hata umri wakustaff ukipunguzwa BADO UTAKOSA KAZI TU. Nenda VETA.