immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
- Thread starter
- #141
sawa mtumishiUtukome.... Hivi hayo mashirika ya pensheni yatamudu kuwahudumia? Tetesi ni kwamba umri wa lazima kustaafu soon itakuwa 65
sawa mtumishiUtukome.... Hivi hayo mashirika ya pensheni yatamudu kuwahudumia? Tetesi ni kwamba umri wa lazima kustaafu soon itakuwa 65
nchi ngumu sana hiiUkiona wanataka kuongeza majimbo ya Ubunge ujue watakuja kuongeza umri wa kustaafu ikiwezekana wafie kazini ili vijana wakose ajira.
kweli kabisa. tena hiyo ni mentality mbaya sana ,mentality ya atoke mi niingine wakati wote tunatosha na nafasi inabaki. kuzidisha creativity ndio moja ya solutions kubwa kwa tatizo hili, hatupaswi to turn on each otherUnadhani kupunguza umri wa kustaafu ndio kutatatua tatizo la ajira?
Emb think again kaka, bado sana.
Hata serikal iseme ni mwaka mmoja, hakutokuwa na nafuu namna yoyote ile
Hapana Kumbuka Hao unaowataja Na wenyewe Miaka Inaenda Pia maana Yake Sheria zitakuwa ni Kwa wote aliye Mtaani na aliyekazini..katika hili mimi sitarajii kuajiriwa baada ya hiyo miaka 15. ila nilisema approach hii itafaa baada ya miaka 15 na kuendelea maana tutaanza kuona rotation ya watu ktk nafasi za ajira. ukiongeza miaka mingine 10, yani 25 kuanzia leo basi unaweza kuta almost kila graduate ana uhakika wa ajira ndani ya mwaka mmoa au miwili tangu anapo hitimu. so jambo hili linaweza fanyika kwa mafunaa ya vijana wetu kesho, sio sisi leo
ajira ni riziki kama zilivyozingine ko nikuachiana kwanini ufie madarakanikweli kabisa. tena hiyo ni mentality mbaya sana ,mentality ya atoke mi niingine wakati wote tunatosha na nafasi inabaki. kuzidisha creativity ndio moja ya solutions kubwa kwa tatizo hili, hatupaswi to turn on each other
Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Siyo kwa serikali hii ya CCM anastaafu mtu wa miaka 76 anapokelewa na mtu wa miaka 87.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
ok sasa kama ni riziki then yako haipo hapo that means unatakiwa utumie hiyo akili,maarifa na afya uangaze kwingine sio ubaki kufight kumtoa mwingine,riziki yako sio kuajiriwa na serikali tu una riziki dunia nzimaajira ni riziki kama zilivyozingine ko nikuachiana kwanini ufie madarakani
Mkuu tulia kidogo then ufikirie upya. Nina imani hata wewe ungekuwa umeajiriwa serikalini kama hao unaowasema, swala la kustaafu katika huo umri ulioupendekeza usingekubaliana nalo. Yaani kwa lugha rahisi hilo wazo uliloliandika ni sawa na kusema kwamba ili asiye nacho apate lazima mwenye nacho anyang'anywe kile alicho nacho (samahani huu ni ubinafsi).Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Walioajiriwa wakiskia swala la kustaafishwa mapema hawataki hata kusikia! Kujiajiri sio jambo jepesi jamani. Mapambano ni makali.Tulieni kwanza, hiyo hoja leteni sisi tukistaafu sio sasa.
wanasiasa tuwaache kwanzaWatumishi kuanzia ngazi gani mkuu,maana hapo usipoangalia hata Rais wetu naye ataingia...
Nchi za wenzetu kustaafu ni kuanzia miaka mingapi? Tuanzie hapi kwanza
Ujinga tu kufikiri sekta binafsi imeuliwa na JPM. Wafanyabiashara hawalipi kodi stahiki unataka wachekewe sababu wameajiri vibarua wengi?Tatizo kuu la ajira Tanzania ni serikali kugombana na kuua sekita binafsi badala ya kui sapoti muasisi wa hizo fikra za kuona sekita binafsi kama adui nia late JPM, na kweli nyingi zilikufa kabisa pesa za watu ziliporwa nk ukiangalia tatizo la ajira Ug na Kenya sio kubwa kama Tanzania kwanini? Sekita binafsi zina nguvu sanaa.
Kwani kuna haja gani ya kulipa pension kwa muda mrefu. Mtu kafanya kazi miaka 5 alipwe million zake 30 atembee na Yesu.Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini
Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
Mfumo wa elimu ni mbovu sn mkuu, unawekwa darasani miaka 19 unaenda field miezi 3 utaambulia nini?Vijana wengi (sio wote) bongo hii wanaamini wakisoma hawana lingine la kufanya zaidi ya kajiriwa na serikali. Wajinga ni wengi sana miongoni mwa vijana.
Hio hoja nilishaileta humu zaidi ya mara 3 ila waliopinga kwa nguvu ni wale walioajiriwa😂!Kwanini ajira zisiwe za mikataba?
Hakuna hata Afya siyo lazima, kuwe na contract za miaka 5 mara 2 basi, miaka 10 ni mingi sn kujingapangaHio hoja nilishaileta humu zaidi ya mara 3 ila waliopinga kwa nguvu ni wale walioajiriwa😂!
Eti tutakuwa hatuna experts, hivi kwa clerical works tunahitaji experts wa kazi gani? Mtu akiweza kufanya kazi inatosha sio mpaka azeekee kwenye computer kujaza data.
Cadre ya afya labda ndio itahitaji experts waajiriwa wa muda mrefu.
Ukisema wanaamini unakosea kwa sababu hata mzazi wako aliwahi kukwambia hii kauli,Vijana wengi (sio wote) bongo hii wanaamini wakisoma hawana lingine la kufanya zaidi ya kajiriwa na serikali. Wajinga ni wengi sana miongoni mwa vijana.
Sasa mtu unampa million 150 akiwa na miaka 65 unategemea atafanya maajabu gani zaidi ya kujengea nyumba malaya.mafao ya pension anayapata akiwa na nguvu bado anaweza anzisha mirad na kufanya mambo mengine