Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini
Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
Sio lazima kulipwa pensheni ,hamna palipoandikwa mstaafu alipwe pensheni ,pensheni ni usenge tu wa serikali ya Tanzania , kuna nchi nyingi tu mstaafu analipwa mafao tu lumpsum au kwa wakit mmoja imetoka hiyo ,hata wafanyakazi wa Private TANZANIA hamna anayelipwa pensheni ,ninyi mafala wa serikalini vichwa maji mna uspecial gani ninyi ,wapuuzi wakubwa ,huduma mbovu ,ufanisi zero vichwa maji ,rushwa na wizi tu ndio mnachojua .
Majitu yaajiriwe kwa miaka 10 hapo kustaafu lazima na unaenda kujiajiri hamna kukimbilia private kutujazia nzi huko , yaani iwe lazima hamna mtumishi wa serikali kustaafu kuajiriwa private , ukilipwa mafao yako unaenda kujiajiri tuone kama Unemployment nchi itaendelea kuwa kama ilivyo , ni upuuzi majitu yamo yazeeka yanafia ofisini ,ubunifu na productivity zero.
Lijitu Lina miaka 80 lipo mpaka leo wizara ya science na technology ,hili lizee lina impact gani , hata ukiliuliza AI au artificial intelligence au Blockchain no nini halijui ,ukiliuliza vision ya taifa ili kuendeleza sciences na technology nchi hii ni ipi ,halijui .
Majitu kama haya ya nini ,kiufupi tunahitaji Department of Government efficiency nchi hii kama Marekani wanachofanya ,ngoja siku moja ni we rais hakika nitawanyoosha , pumbavu