The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Watu watumie vipawa vyao walivyopewa na Mungu ndo ajira ya uhakika
itasaidia angalau kupunguza changamotoBado haiwezi saidia wanahitimu ni wengi kuliko wanaostaafu
Hata tukiacha wote kazi nafasi zilizopo kwenye sekta ya umma haifiki 1M...Labda ungelalamika hao waliopo makazini wanafanya Nini katika kuongeza ajira?Dah Kwahiyo unadhani hao ndo wamesababisha uwe jobless?
Yaan tuanzie kijana anaitaka nafasi ya mtu mwingine.badala ya serikali kuwezesha kuleta kwenye uchumi uwekezaji zije ajira mpya ,yaan chakula hakitoshi kwenye harusi suruhisho ninkila mtu ale nusu sio chakula kiongezwe??? Huu ni ushauri wa kukata tamaa kabisa .ila kuna kitu kitaongezeka kaka amini kwamba ... we asume mtu kaingia na miaka 25 maybe afu afanye kazi miaka 35 mingine kuna idad kubwa sana hapo ya vijana wenye taalum kam yake watakua wamehitimu masomo wanaitaka na wao iyo nafas afu wanaostaafu ni wachache . so kwa kupunguza umri naamin wataongezeka ili vijana nao wapate nafas
Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka
Naunga mkono hoja. Uchumi ukue ili ajira ziwe nyingi. Tuzalishe bidhaa zenye viwangi vya kimataifa ili tuuze hadi nje ya nchi. Kwa kufanya hivyo wote wataajiliwa na hatutatosha. Mfano kilimo kikiboleshwa then tuuze unga Africa mzima mbona watu tutaona mijin hakuna maanaNa hapo ndo tatizo lilipo, ni ugonjwa mkubwa ambao umetuathiri sana, kwamba unapozungumzia kazi basi lazima mtu aajiriwe akae kwenye ofisi ya serikali. Ofisi ziko ngapi?! Wasomi mlivyo wengi ivyo mtaenea?! Mkuu maisha yetu ya kila siku duniani kote yanategemea uzalishaji wa viwandani na kilimo. Imarisha viwanda na kilimo, zalisha bidhaa bora utauza duniani kote. Aridhi nzuri na kubwa tu kwa ajili ya kilimo tunayo, maji tunayo...rasilimali viwanda tunazo kila mahala...kwanini hatuwekezi huko ili tutoe ajira kwa wahitimu wetu?! Fungua viwanda vingi, imarisha sekta ya kilimo, tutapunguza hili tatizo badala ya kusubiriana tustaafu ili ofisi wakalie wengine. Mtu anaajiriwa leo ili astaafu atafanya kazi miaka 30+, inamana wewe utamsubiri huyu astaafu ili uchukue nafasi yake so utakua ushazeeka na wewe?! Ukiuelewa huo mstari wangu wa mwisho sidhani kama utatilia tena maanani mambo ya ajira. The government employment circle is very complicated kwa sasa.
Alale usingizi wa pono huko aliko!Tatizo kuu la ajira Tanzania ni serikali kugombana na kuua sekita binafsi badala ya kui sapoti muasisi wa hizo fikra za kuona sekita binafsi kama adui nia late JPM, na kweli nyingi zilikufa kabisa pesa za watu ziliporwa nk ukiangalia tatizo la ajira Ug na Kenya sio kubwa kama Tanzania kwanini? Sekita binafsi zina nguvu sanaa.
Bora aingie na yeyeWatumishi kuanzia ngazi gani mkuu,maana hapo usipoangalia hata Rais wetu naye ataingia...
TUMIA AKILILabour Market ya Tanzania kila mwaka wahitimu wa vyuo vya juu na vya kati hufika 200,000 men en women serikali imeajiri approximately watu 800,000, waalimu tu ni 40% ya wajiriwa wote, wanao weza kuajiriwa kila mwaka na serikali kwa sekita zote sio zaidi ya 3000, kwa takwimu kama hizo hata watu wakistaafu kwa umri wa miaka 40yrs bado tatizo liko pale pale, tena kumbuka kuna wanao tafuta ajiri tayari wako 40yrs kwahiyo hao wafanye je? Kwahiyo wamestaafu kabla ya kuajiriwa.
Ajira serikali inatakiwa kuwa miaka 18 tu isipokuwa kwa wachache walio chaguliwa kwa ufanisi wao na ubora wao na ndani ya hiyo miaka 18 mkataba uwe ni miaka 6 una sahini tena miaka 6 na baada ya hapo una sahini tena 6 ya mwishoNakuunga mkono wazo zuri sana lakini siyo kwa swala la ajira,
Hii ni kwa mfanyakazi mwenyewe apate muda wa kuzifaidi na kutumia nguvu zake
Kuhusu ajira watu wangewekewa option ya kusaini mikataba mfano miaka 15 ikiisha either usaini upya mkataba mwingine au ustaafu upishe wengine
Kwa Kada ya afya sawa, ila majority ya graduates wamesoma kozi ambazo ni Managerial. Watu wa afya bado ni wachache compared na wengi ambao hawajasoma afya.Hujawahi Kusikia Kuwa Experience Makes Better?
kipindi Naanza Kazi Miaka ya 2000..
Nakumbuka Ilikuwa ni mwaka 2002 kama Sikosei au 2003 hivi Nilikuwa nfanya kazi na Mzee Mmoja alikuwa anasifika Hospitali Nzima alikuwa kafanya kazi Maabara kwa Miaka 38 alikuwa ukimpelekea Choo (kinyesi) apime alikuwa Akisikia Harufu tu anakuambia Wadudu wote waliopo kwenye Choo kabla ya Kupima Na Akienda Kupima unakuta Kweli..
Ukiacha Hiyo daktari Mwenye Experience Kubwa anaweza Kujua shida ya Mgonjwa Kutokana na Experience yake na wagonjwa mbalimbali bila hata Kumuuliza au Kusikia maelezo yake Tunaita Spot diagnosis..
Unasema Nguvu kazi?
Nguvu kazi ambao bado wanahitaji Kufundishwa!
Unajua Ukiwa kazini na Ukiwa Chuoni ni Vitu viwili tofauti tena Ukute Hivi Vijunior Degree mnaviita Sijui Bachelor Degree hivi vyanafunzi vyenye Degree Moja..
Huwa vinakuja Tunaviassigns kwa Supervisor wa Diploma Na wanavifundisha Kazi kwa miaka Miwili ndo vinaanza Kuwa vi Junior Staff..
Mwaka wa Tatu mpaka Wanne ndo wanakuwa Angalau Junior wenye Uelewa na Kazi ili waupate u seniority Wanatakiwa angalau wawe kazini kwa Miaka angalau 9 au Kumi..
Si kwamba nakashfu ila Kiukweli Watu wenye Bachelor Bado sana Kuwaachia Office Angalau Awe na Experience ya Miaka kuanzia Mitatu.. Ni bora Nimpe Ofisi Mwenye Certificate au Diploma ila Sio Bachelor Nimepita Huko Kote najua na Ndo maana Nasema..
Unafikiri waziri Mkuu kasema Bahati mbaya?🤣🤣
Ila Huu mjadala Huu 🤣🤣🤣
Lengo la kufanya hivyo ni kuongeza wigo mpana wa watu kujiajiri. Mna encourage watu kujiajiri ila mtu atajiajiri vipi bila kuwa na mtaji?Miaka 45 au 50 ni miaka michache sana kazini. Let's say unaanza kazi una miaka 30 ina maana utatumika miaka 15 au ishirini tu unarudi mitaani tena ukiwa kijana mbichi. Kama vipi hizo ajira ziwa za mikataba ya miaka mitano, mitatu au mwaka mmoja tu ili kupisha wengine wasio na ajira kama ni rahisi hivyo. Kwa mtindo huo ufanisi wa kazi utashuka sana na hakuna atakayeenda chuoni kwenda kupoteza muda wa kusoma kisha kuja kutumika kwa muda mfupi
Nchi za wenzetu hakuna kustafu. Ni mpaka uamue mwenyewe.Nchi za wenzetu kustaafu ni kuanzia miaka mingapi? Tuanzie hapi kwanza
Ni wazo zuri ila lingetazamwa suala la kupunguza kwanza matumizi holela ya serikali ili fedha ielekezwe kwenye kupanua wigo wa ajira kwa vijana, kwa mfano hivi sasa bunge ni kubwa mno na fedha inayotumika huko ni nyingi mno, hakuna sababu ya kuongeza wabunge na madiwani wakati huu. Pili ununuzi wa magari ya kifahari nao unachangia sana katika kuzorotesha uchumi, kwa mfano tukibana matumizi ya serikali fedha hiyo ikakopeshwa kwa vijana wakafungua miradi ya kilimo, ufundi na ufugaji tatizo la ajira litapungua piaHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
wabunge wakitumia kruger harrier sio mbayaNi wazo zuri ila lingetazamwa suala la kupunguza kwanza matumizi holela ya serikali ili fedha ielekezwe kwenye kupanua wigo wa ajira kwa vijana, kwa mfano hivi sasa bunge ni kubwa mno na fedha inayotumika huko ni nyingi mno, hakuna sababu ya kuongeza wabunge na madiwani wakati huu. Pili ununuzi wa magari ya kifahari nao unachangia sana katika kuzorotesha uchumi, kwa mfano tukibana matumizi ya serikali fedha hiyo ikakopeshwa kwa vijana wakafungua miradi ya kilimo, ufundi na ufugaji tatizo la ajira litapungua pia
Sasa Hata makato ya HELSB yatakuwa yameisha Kweli 🤣Lengo la kufanya hivyo ni kuongeza wigo mpana wa watu kujiajiri. Mna encourage watu kujiajiri ila mtu atajiajiri vipi bila kuwa na mtaji?
Aliyetoka kazini mfano mzuri wale watu waliokuwa kwenye ma NGO's ambao wamerudi mtaani wengi waliofanya kazi kwa miaka 10 tu hawakosi 50M au zaidi kwenye savings zao.
Sasa mtu kama huyo utamfananisha na graduate ambaye hana hata shillingi mia kwenye account na ana madeni ya HESLB kisha unamfosi ajiajiri wakati hela za mtaji hana.
Ungekuwa muajiriwa serikalini usingeleta hili wazoHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .