G
guest-1790917349
Guest
Mkuu ambao wapo huko hawajapitianhali hii hawawezi kukuelewa watakubeza tusio kwa ubaya mkuu ni wazo tu
Mkuu ambao wapo huko hawajapitianhali hii hawawezi kukuelewa watakubeza tusio kwa ubaya mkuu ni wazo tu
Amesema wazo ,duhDah Kwahiyo unadhani hao ndo wamesababisha uwe jobless?
Mpumbavu Sana wewe ,na umeweka avatar ya daktari ,kama wewe ni daktari basi ni tatizo kubwa , huko kwenye course zenu za afya hamfundishwi analytical skills na logic ? Tofautisha living standards za nchi ya Marekani na opportunities nyingi za ajira zilizopo pale kwenye ile nchi + mazingira wezeshi ya kibiashara yaliyopo kwenye ile nchi ,yaani ni kama unafanya comparison ya mbingu na ardhi.Tatizo La ajira Halipunguzwi kwa kupunguza Umri wa Kustaafu walio Makazini..
Ila tatizo la Ajira linapunguzwa kwa Elimu ya Kujitegemea Itakayotolewa Tangu Shuleni...
Hujuiulizi Kuwa Mbona Wamarekani au Nchi za Ulaya Hawaliliii Kuajiriwa Na Serkli kuliko Nchi za Africa..?
Kingine Baadhi ya Starehe zisizo na maana zipunguzwe Serkalini Na Kupatikane Pesa kwa ajili ya Kuajiri..
Kwa maisha ya Sasa Mtu anasoma na Kumaliza Chuo akiwa na Miaka Lets say 30 au 35 Apate kazi akiwa na miaka 34 au 35 halafu umwambie Afanye kazi miaka 10 Astaafu kweli?
Kwasababu wao wako kwenye ajira tayari ndo maana rahisi kuongeadefinitely mi huwa nawashangaa wanaosema vijana wajiajiri . mtu kahitimu engineering na hapo katokea naybe familia duni anajiajiri vipi halo kulingana carrier yake
Wewe umelima kiasi gani kwenye hayo mapori unayoyaona ?Yani Tanzania bado kuna opportunity nyingi sana,hasa ardhi ukisafiri na gari Mkoa moja kwenda mwingine ni mapori chungu nzima.Idadi ya watanzania bado ni wachache kuliko ardhi.Kijana anayekaa nyumbani ukililia ajira ni wa kupuzwa.
Imagine na ndo wenye majibu mepesi hapaKweli aliyeshiba hana muda wa kumfikiria mwenye njaa. So sad
Tatizo mnaishi kwa kukariri mambo ,nani alikwambia kwamba haiwezi TANZANIA tukabuni mfumo wetu na kufanya overhaul kwenye mfumo wa ajira kwa kuondoa mafao na pensheni kwa public jobs ?, yaani mtu apambane na net income yake pekee ?Eeeh! Watu wengine sijui mlisoma hesabu za wapi? Kwa hiyo ukitaka kutatua tatizo la ajira unapunguza umri wa kustaafu. Huoni kwamba hiyo inakuwa na once off impact kwenye kutatua tatizo la ajira? Kwamba baada ya muda mambo yatajisazazisha kwa sababu hujaongeza nafasi za ajira wala kupnguza idadi ya wahitimu kutoka vyuo wanaoingia soko la kutafuta ajira?
Au utaendelea kupunguza umri wa kustaafu kila mwaka hadi ufikie miaka 18?
Acha CCM wasije wakakusikia na point zako hizi, huwa hawaoni mbali. Wasije wakatekeleza. Ila kwa taarifa yako, serikali ya CCM inatamani kuongeza umri wa kustaafu kwa sababu wamechezea hela za pension hazipo za kutosha, wanataka wajipe angalau miaka 10 wakijaribu kutafuta fedha. Usishangae umri wa kustaafu kurudishwa 65
Mishahara inayolipwa inakidhi?Acha uongo wewe ,kwani mafao ya hawa wastaafu wakipewa kazi za mkataba wa miaka kumi tu yatalingana na hawa waliokaa miaka 30 ? Na malipo ya kila mwezi yanafutwa mtu analipwa mafao lumpsum baada ya kumaliza hiyo miaka kumi na ni marufuku kuajiriwa tena serikalini , hivi ninyi mliosoma uhasibu na actuarial science kwanini hamshauri hawa wapumbavu wafanye implementation kama hii ili kupunguza makali ya unemployment ?
Sheria itakuwa ni kuajiriwa mara moja tu na serikali na kwa mkataba wa miaka 10 tu .Hii duplication yako unayosema sijui itatokea wapiNIna Swali Moja Kwako Boss!
Kwa sasa Takribani 72% ya waajiriwa Wote ni Vijana Nikiwa namaanisha Wenye Umri wa Miaka 25 Mpaka 45..
Na Ukumbuke Kuwa Serkali Haiajriwi Watu wanaoanzia Umri wa Miaka 45..
Chukulia Sheria hiyo Imepitishwa Kuwa Umri wa Kustaafu kwa sasa ni Miaka 45 au 50..
Na wewe kwa Sasa Una Miaka 30, Unahisi Baada ya miaka q5 ay 10 ya kustaafu waliopo Kazini Unaweza Kuwa Mmoja wa watakaoajiriwa?
Lets Say walio Nyumbani Wenye Umri wa Miaka 35 Mpaka 40 wanaosubiri Ajira Ni watu 700k na Serikali ikaajiri Kati yao 10k ..
Wakabaki 690 au 650 Baada ya Miaka 10 Hao 700 Wote watakuwa hawana Sifa ya Kuajiriwa Tena bado watahitimu wengine..
Na hali bado itakuwa SAME as Before Kutatua Tatizo kwa Kutengeneza Tatizo Haiwezi Kuwa suluhisho la Tatizo ila ni Kuongeza Tatizo liwe Kubwa kwa Siku za Usoni
Unajia Idadi yw Watumishi wote Tanzania Nzima??
Mamaee jiandaeni kuisoma namba , ninyi si kila siku mnaropoka graduates wasio na kitu wajiajiri ? ,Sasa ninyi kenge mlioota mvi huko kwenye viti vya ofisini kwanini hamtaki kujiajiri ,wakati mmekaa decades na mnalipwa kila mwezi ?Mishahara inayolipwa inakidhi?
Chini ya miaka kumi hiyo Gratuity itatosheleza?
Au ndio roho mbaya ya nyoka, tukose wote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha mapovu hii ni jamii forumMamaee jiandaeni kuisoma namba , ninyi si kila siku mnaropoka graduates wasio na kitu wajiajiri ? ,Sasa ninyi kenge mlioota mvi huko kwenye viti vya ofisini kwanini hamtaki kujiajiri ,wakati mmekaa decades na mnalipwa kila mwezi ?
Muache dharau sasa na muoneshe heshima kwa graduates wasio na kitu wala financial support yoyote mitaani tena wamekaa miaka mingi ,msilete kauli zenu za kipuuzi eti mjiajiri ,most of you hamuwezi kusurvive hata mwezi bila mshahara ,mmeshafikiria hawa watu wanaishije miaka yote hii bila ajira wala sustainable income ? ,Na struggles wanazopambana nazo ?,ila ndio vimbelembe kutoa kauli za kijinga kwamba graduates waende veta au kujiajiri , vaeni uhalisi wa mnaowatolea hizo kauli zenu za ovyokweli kabisa. tena hiyo ni mentality mbaya sana ,mentality ya atoke mi niingine wakati wote tunatosha na nafasi inabaki. kuzidisha creativity ndio moja ya solutions kubwa kwa tatizo hili, hatupaswi to turn on each other
Hakuna wazo la kijinga kama hili. Hapa unahamisha tatizo na siyo kupunguza. Unamstaafisha mtu akiwa na miaka 45, ndiyo yuko kwenye prime za kiutendaji. Ni kama kuhamisha wakazi wa sehemu yenye njaa kwa sababu ya ukame na kuwapeleka sehemu yenye rutuba halafu wale waliokuwa kwenye rutuba unawapeleka kwenye ukame. Elimu yetu imefikia kiwango cha chini sana na mtu unashindwa kuona logic ndogo kama hii! Hakuna short cut watanzania wenzangu, bila vijana kuachana na mambo ya Simba na Yanga na kuamua kuiwajibisha serikali kwa vitendo hakuna namna nyingineHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Nawashangaa hawa wanaosema mafao ,maKwani kuna haja gani ya kulipa pension kwa muda mrefu. Mtu kafanya kazi miaka 5 alipwe million zake 30 atembee na Yesu.
Wanafiki sana wapuuzi hawa kaka ,wanaujua moto wa kitaa bila mshahara, ni vile yanajitoa ufahamu tu na kuandika ujinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Walioajiriwa wakiskia swala la kustaafishwa mapema hawataki hata kusikia! Kujiajiri sio jambo jepesi jamani. Mapambano ni makali.
Kwa hiyo ni raha kuwa na mamilioni ya junior jobless ambao wako kwenye working age na hawana ajira ,wala mitaji ya kuanzisha biashara ili kufungua fursa za kiuchumi si ndio ila tuendelee kukumbatia wazee na majitu yasiyo na tija au sio ?kufanya hivyo ni kuongeza tatizo....kwani utatengeneza senior jobless
na unajua umri unakuja na mambo mengi
Mkuu kwanza Kabisa naomba Nikubaliane na wewe Kwamba Ninaweza Kuwa Mpumbavu kwako kwa Hoja Nilizozitoa!Mpumbavu Sana wewe ,na umeweka avatar ya daktari ,kama wewe ni daktari basi ni tatizo kubwa , huko kwenye course zenu za afya hamfundishwi analytical skills na logic ? Tofautisha living standards za nchi ya Marekani na opportunities nyingi za ajira zilizopo pale kwenye ile nchi + mazingira wezeshi ya kibiashara yaliyopo kwenye ile nchi ,yaani ni kama unafanya comparison ya mbingu na ardhi.
Unajua living standards au net income ya raia WA Marekani au mgeni pale Marekani ukilinganisha na Tanzania ?
Acha ujinga
Na Huo ndio Ukweli mchungu kwa Vijana wanaomaliza Chuo sasa Hivi Na miaka hii... kijana Hawezi hata Kuwaza Nje ya Box ana amini Ili Kuweza Kuchukua Kitu kilicho ndani ya Nyumba Iliyofungwa ambayo Ufunguo umepotea Ni kubomoa Nyumba Nzima Badala.Ya Kubomoa Kitasa cha MlangoniHakuna wazo la kijinga kama hili. Hapa unahamisha tatizo na siyo kupunguza. Unamstaafisha mtu akiwa na miaka 45, ndiyo yuko kwenye prime za kiutendaji. Ni kama kuhamisha wakazi wa sehemu yenye njaa kwa sababu ya ukame na kuwapeleka sehemu yenye rutuba halafu wale waliokuwa kwenye rutuba unawapeleka kwenye ukame. Elimu yetu imefikia kiwango cha chini sana na mtu unashindwa kuona logic ndogo kama hii! Hakuna short cut watanzania wenzangu, bila vijana kuachana na mambo ya Simba na Yanga na kuamua kuiwajibisha serikali kwa vitendo hakuna namna nyingine
ulikuja duniani kuajiriwa na serikali?Muache dharau sasa na muoneshe heshima kwa graduates wasio na kitu wala financial support yoyote mitaani tena wamekaa miaka mingi ,msilete kauli zenu za kipuuzi eti mjiajiri ,most of you hamuwezi kusurvive hata mwezi bila mshahara ,mmeshafikiria hawa watu wanaishije miaka yote hii bila ajira wala sustainable income ? ,Na struggles wanazopambana nazo ?,ila ndio vimbelembe kutoa kauli za kijinga kwamba graduates waende veta au kujiajiri , vaeni uhalisi wa mnaowatolea hizo kauli zenu za ovyo
damn you !
Suluhisho ndo watu wastaafu na miaka 45?Like seriously? Mkuu ushapitia Hali ya kutobahatika kupata ajira na biashara kufa?
Kumbuka SI kla mtu anaweza jiajiri