Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
So far nchi nilizotembelea norway , israel, ugiriki. Mpaka 67 years, US 62 years
Hili suala ni world wide
Ilitakiwa 70 ,umri wa miaka 60 unapunguza life expectancy...Watanzania wanajua miaka 60 ndiyo mwisho wa maisha ila ukiangalia matajiri wengi duniani wako above hapo.
Wengi wanazaa mapema maana wanajua miaka 60 ni mwisho wa kusomesha ila sio kweli ,hii idea ilitokana na maisha ya watumishi ila mtu wa kawaida bado anapiga kazi ...Kuna mzee jirani hapa miaka 80 anavua deepsea na harakati zake kuanzia alfajiri na kurudi jioni.
Sasa kaangalie mtumishi mstaafu miaka 60 amekaa tu anasubiri kufa ,wengi miaka 70 hawachomoi wanakufa.
Ilitakiwa miaka 60 mtu awe bado anafanya kazi...Japan imerudisha wazee miaka 70 kazini ,ukikaa bila ya kazi unapunguza muda wa kuishi kwa binadamu.