Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

Hahahaaa🤣 we mkuu wewe dah🤣🤣🤣
 
Hudumia Ke maisha yako yote, itokee mwaka mmoja tu uchumi uyumbe, utashangaa sana mambo yatakavyokuwa.

Mpe kila anachotaka kila siku, halafu siku moja tu sema leo mambo sio mazuri, utashangaa majibu yake.
 
Kweli kabisaaaa
 
Mnavyoziabudu PESA hadi Mnapoteza Muelekeo.... Mada Nyingi zimekuwa za PESA PESA PESA.. Mngejua Pesa Siyo Kila Kitu iwe imetoka kwa Mwanaume au Kwa Mwanamke

Upendo Ndio Kila Kitu Mengine ni Ziada. Mwanamke Akitoa Elfu 20 kwa Upendo na Mwanaume Akitoa elfu 20 kwa Upendo Hilo ndio Lina maana Zaidi Kuliko Hayo uliyoyandika
 
Ukipata chance ya kuichakata mbususu hasa zile za Iringa,Kisukuma na Songea au new comer zinazoingia dar,simamia kucha mzee,utakula sana vielfu 10 vyao pale ukiwa na emergency flaniflani,hakuna dhambi ya kula hela ya mwanamke!!!
Duh!
 
Hudumia Ke maisha yako yote, itokee mwaka mmoja tu uchumi uyumbe, utashangaa sana mambo yatakavyokuwa.

Mpe kila anachotaka kila siku, halafu siku moja tu sema leo mambo sio mazuri, utashangaa majibu yake.
Ila usipo toa wengine watakuja kuhudumia na unachapiwa kwa masikitiko makubwa
 
Pesa inahitajika sana kwenye mahusiano ila inapowekwa mbele kama ndio kitu muhimu zaidi ndani ya mahusiano hiyo inakuwa biashara ya kuuziana miili baina ya mpokeaji na mtoaji.
Waliseme na hilo liwekwe wazi...
Tusiutoe mfumo wa asili wa Mwanaume kuhudumia familia yake kama inavyopaswa na kuweka kisingizio cha kuwa wanawake wanahitaji pesa ya mwanaume hata kama mwanamke ana billions of Money..huo ni uongo mkubwa sana..Familia zinaharibiwa na hao Kima..mentors...Mfumo wa familia mgawanyiko wako unahitaji pande mbili kuwajibika,,,kulea na kutunza.
 
Haya baki na huo mtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…