Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Sitaki kabisa kuongelea mifano mkuu..... atasimulia wenzieJe, Utamfanya nini kwamfano?
Sitaki kabisa kuongelea mifano mkuu..... atasimulia wenzieJe, Utamfanya nini kwamfano?
Bro sogea huku pembeni tuyajenge wasije sikia hawa hawana dogo 😀Bro atakaekula hela yangu nitamla.....nipo serious kabisa katika hili
Hauogopi???Je, ni naweza kuwa wa mfano. Unaniruhusu?
Bro unataka kula hela yangu!? Hautabaki salama 😁Bro sogea huku pembeni tuyajenge wasije sikia hawa hawana dogo 😀
wanaume hawapendi kusikia ukweli
Hahahaaa🤣 we mkuu wewe dah🤣🤣🤣Halafu Kwa wasukuma sijui hata Wana shida gani,kwao inshu sio paipu kiviilee,sijui wako royal sana au Wana huruma sana au hata wenyewe hawajui kinachoendelea si uliona hata mama yake mdogo Alexido jz instagram,alimuwekea Hadi Uzi juzi hapa Kwamba ana fragile ❤️ 🤣🤣🤣!!!
Nakula kidogo tu.......Bro unataka kula hela yangu!? Hautabaki salama 😁
Acha zako weh!
Kweli kabisaaaaMkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke.
View attachment 3700652
Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke.
Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion.
Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke, kabakiza jinsia tu, na Hana sifa za kuwa mwanaume(yani dume suruali tu)
Mnaonaje hili ndugu zangu?
Binafsi naona yuko sahihi sana. As a man provision is your birth right.
Duh!Ukipata chance ya kuichakata mbususu hasa zile za Iringa,Kisukuma na Songea au new comer zinazoingia dar,simamia kucha mzee,utakula sana vielfu 10 vyao pale ukiwa na emergency flaniflani,hakuna dhambi ya kula hela ya mwanamke!!!
Ila usipo toa wengine watakuja kuhudumia na unachapiwa kwa masikitiko makubwaHudumia Ke maisha yako yote, itokee mwaka mmoja tu uchumi uyumbe, utashangaa sana mambo yatakavyokuwa.
Mpe kila anachotaka kila siku, halafu siku moja tu sema leo mambo sio mazuri, utashangaa majibu yake.
That's it! Utachapiwa na atakunyanyasa!Ila usipo toa wengine watakuja kuhudumia na unachapiwa kwa masikitiko makubwa
Haya baki na huo mtazamoMnavyoziabudu PESA hadi Mnapoteza Muelekeo.... Mada Nyingi zimekuwa za PESA PESA PESA.. Mngejua Pesa Siyo Kila Kitu iwe imetoka kwa Mwanaume au Kwa Mwanamke
Upendo Ndio Kila Kitu Mengine ni Ziada. Mwanamke Akitoa Elfu 20 kwa Upendo na Mwanaume Akitoa elfu 20 kwa Upendo Hilo ndio Lina maana Zaidi Kuliko Hayo uliyoyandika
SawaHaya baki na huo mtazamo