Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

Punguani tu wewe, sasa ofisi za ccm zimesaidiaje kufanya uokozi
 
 

Serikali ya CCM inadaiwa Trillion 71 lakini haina uwezo wa kuvuta ndege kutoka majini.
 
Miaka 60 ccm wanakusanya Kodi,wanaiba kipi Bora wamefanya?
 
Kama mmeshindwa kutuonyesha pesa ya sabodo mlifanyia nini !Je mkipewa BOT,mtaacha kitu? kama mmeshindwa kutuonyesha michango ya join the chain mlifanyia nini mtaweza kusimamia miradi mikubwa? mmeshindwa kutuonyesha mamilioni mliyopewa na hitler,mtaongoza nchi,
 

Serikali inadaiwa Trillion 71 na haiwezi kuoko wananchi wake kwenye ndege iliyozama, wananchi wanajiokoa wenyewe.

Halafu tofautisha mtu anaedaiwa Trillioni 71 na mtu ambaye hapokei ruzuku yeyote.
 
Unasupport uzembe kwa kusema mwenzako atashindwa. Na mimi nikuulize, baada ya ajali ya mv bukoba, mlifanya maandalizi gani kuhakikisha maafa yakitokea ziwani wananchi wananusurika? Kwanini airport haina zimamoto?
 

Nyie ni walishindwa tu.

Ajali ya MV Bukoba mlishindwa.
Mv Spice island mlishindwa.
Ajali ya Ukerewe mlishindwa
Ajali ya Bukoba mmeshindwa.
 
ccm na mazezeta yake 2025 lazima yakimbilie burundi au tuyafanye kama samwel doe wa liberia.
 
Chama hupewa dhamana ya kuunda serikali. Sasa mkipewa hiyo dhamana?
Muulize Ruto chama chake kina majengo mangapi? au muulize uhuru chama chake kimeacha majengo mangapi, aacheni utoto, jeshi likichukua nchi huwa na chama???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…