Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Waweza kukuta huyu kuna watu wanakuita baba au mama wa familia. Familia zingine zina bahati mbaya sana na zinahitaji kuonewa huruma kwa hasara hiyo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Jamaa wanakuwaga wakali ukiwauliza hivyo.
 
wewe ni nani basi
unataka kunfanya kila mtu mjinga?
unaandika ya nini hapa? si ukawasimulie watoto wako nyumbani?
ulisoma kweli wewe? yaani unaleta opinionions kwenye jukwaa la wazi halafu hutaki ujibiwe
unaishia kutukana?
Hilo ni lipoyoyo flani kama Musiba, linaandika tu ilimradi mkono uende kinywani
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Mkuu ukijibiwa swali lako naomba unitag nakusihi kwa moyo wa kizalendo tafadhari.
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Na wewe msukule wa dhalim huna akili
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Ni wewe au nimekufananisha?
 
Rekebisha heading, isomeke ‘Wazo la Kipumbavu…….’
 
Back
Top Bottom