Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Kila Rais ana umuhimu wake.Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.
Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.
Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha
. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Hakika.Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.
Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.
Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Mashujaa wengine kama Mkwawa ,Sokoine n.k nimewajua vitabuni tu lakini kwa shujaa Magufuli acha tuseme ukweli anastahili kukumbukwahivi bado nyie sukumagang mpo? yaani uelewa wako mdogo na REGACY zako za kisukuma zichukuliwe serious kabisaaaa, KIDDING, ndio maana kwa mawazo kama yako mleta uzi tutaendelea kutawaliwa tu no matter what
🙏AmenTrue say. Mungu ampumzishe mahala pema peponi mzee wetu, kipenzi chetu. 🙏
Kwa uovu mwingi alioufanya, hata asipotengewa siku ya kukumbuka uovu wake, atakumbukwa tu.Mashujaa wengine kama Mkwawa ,Sokoine n.k nimewajua vitabuni tu lakini kwa shujaa Magufuli acha tuseme ukweli anastahili kukumbukwa
Ulifanya hiyo kumbukizi wewe na mkeo inatosha wengine hatuna ujinga huoKila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.