whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Sema kipenzi changu sio chetuTrue say. Mungu ampumzishe mahala pema peponi mzee wetu, kipenzi chetu. 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kipenzi changu sio chetuTrue say. Mungu ampumzishe mahala pema peponi mzee wetu, kipenzi chetu. 🙏
Alikuwa Shujaa wa nini?Mashujaa wengine kama Mkwawa ,Sokoine n.k nimewajua vitabuni tu lakini kwa shujaa Magufuli acha tuseme ukweli anastahili kukumbukwa
Wa kuua watu na wiziAlikuwa Shujaa wa nini?
Hakika.Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.
Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.
Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Huwezi kutenga siku ya kumbukumbu kwa kila Rais hivyo ilipaswa iwepo moja tuNyerere Day ipo , Karume Day ipo, Mwinyi yupo hai, Kikwete yupo hai, sasa unaposema iwe siku ya kuwakumbuka Marais wote kivipi walio hai?
Au ulitaka kusema iwe siku ya kumbukumbu ya vifo vya Mkapa na Magufuli lakini je huoni kama Mkapa atakua hajatendewa haki?
Sukumagang linatumiwa kwa kutajwa tajwa na watu mburula hivi wasio na elimu na wenye kuelekea ukichaa cha mbwa!hivi bado nyie sukumagang mpo? yaani uelewa wako mdogo na REGACY zako za kisukuma zichukuliwe serious kabisaaaa, KIDDING, ndio maana kwa mawazo kama yako mleta uzi tutaendelea kutawaliwa tu no matter what
Huwezi kutenga siku ya kumbukumbu kwa kila Rais hivyo ilipaswa iwepo moja tu
Kwani kabla yake hakuna waliyotangulia kufa?Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.
Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.
Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Wenzako wamejipanga kuanzia Msoga mpaka visiwani kuhakikisha JPM anasahaulika lakini wapi!!Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.
Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.
Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Wewe unajiita Malafayale,umesahau Ndugu yako Daud Mwangosi aliuwawa kinyama na Polisi kule Iringa wakati wa JK usisahau mateso ya Dr Ulimboka kung'olewa meno na koleo.Shujaa kwenye maisha ya nani?
Sema alikua shujaa kwako
Au shujaa wa kupiga watu risasi?