Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

Wapi nimemsifu JK?
Mabomu ya Gongolamboto yale hayana lolote na siasa.Meja General Damian Mwanjile akiwa Lt Kanali ndiyo alikua mkuu JW Gongo la Mboto na sasa ni mjunbe wa bodi ya Korosho baada ya kustaafu JW.

JK nae sijawahi msifu,mm napenda watu washindane kwa sera sio kuvunjana miguu kwa risasi sababu tu una dola.
 
Kukaa kimya ni hekima!
Ovyo kabisa wewe.
 
Hiyo siku iwe siku ya kusherehekea uhuru wetu kwa furaha na shangwe maana Mungu wa Mbinguni alitusikia kilio chetu kwa kumwondoa Mungu mtu duniani.
 
Ngoja nikae hapa nipunge upepo
 
Hakika
 
Ukweli ndiyo huo.
 
Pole sana ila hii michawa ya Jiwe(misukuma gang) kwakuwa ilikuwa ikifurahia udhalimu na ukatili waliokuwa wakifanyiwa watu kwa sasa inajisikia vibaya kuwa watu wako huru, wanafanya shughuli zao bila za kubugudhiwa na private sector imerudi ku-shine kwa maana hiyo ndiyo waliipiga sana vita kwa sababu za wivu.
I understand you 100%.
 
Hayo yote bado hayafuti unyama, ubaradhuli, ukatili na uuaji wa Jiwe, two wrongs don't make it right.
 
Hayo yote bado hayafuti unyama, ubaradhuli, ukatili na uuaji wa Jiwe, two wrongs don't make it right.
Kwaiyo wale waliokufa walikuwa siyo Watanzania ila hawa mnaodai walikufa wakati wa JPM ndiyo Watanzania halali!
Acheni Double standard, Watanzania hawakuanzia kufa wakati wa JPM!
 
Unakana maneno yako tena,umesema JPM ni shujaa gani kwakuwa alipiga watu risasi!
Acheni Double standard Watanzania hawakuanzia kufa wakati wa JPM!
 
Unakana maneno yako tena,umesema JPM ni shujaa gani kwakuwa alipiga watu risasi!
Acheni Double standard Watanzania hawakuanzia kufa wakati wa JPM!
Ndiyo uue watu kisa kufa kulikuwepo tangu zamani fara?
 
Ushashiba michembe na maziwa mgando unaandika ujinga tuu.
 
Shujaa kwenye maisha ya nani?
Sema alikua shujaa kwako
Au shujaa wa kupiga watu risasi?
Angekua shujaa wa kupiga watu risasi asingekukosa wewe. Angekulipua tu.
Yeye alikua mpambanaji wa maendeleo ya umma kwa watanzania. Ndio maana umma wa wananchi kasoro wewe walimpenda sana.
 
Angekua shujaa wa kupiga watu risasi asingekukosa wewe. Angekulipua tu.
Yeye alikua mpambanaji wa maendeleo ya umma kwa watanzania. Ndio maana umma wa wananchi kasoro wewe walimpenda sana.
Maendeleo ya umma wakati kaacha madeni kibao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…