Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

Sijui kwanini hata Nimecheka lo🤭!

Labda Manzi anakua kamuelewa kisawasawa jamaa na kaona uhakika maisha so anataka kujiweka mazima!

Au anampima tu jamaa aone response yake make wanawake akili zetu tunazijua wenyewe

Hatari sana
Sasa hii si ni hatari
Jana kuna mwingine ananiimbia story za ndoa usiku wa manane na ndio mara ya kwanza tumelala pamoja.
Na mbaya zaidi kwake ni singo maza kabisa..
Nipo namsikilizia mkerewe mmoja hivi.
Nimemuahidi ndoa ambayo najua wazi haipo yaani mkisikia nimerogwa.
Mje na wapiga ndele na vanga
Kunichomoa maana uchawi wa visiwani
Mpaka upate dawa za machifu..
 
Wanakua wamekuelewa sana so wanatamani wakumiliki uwe nao for life kitu ambacho kwako ni ndoto za bunuasi

Cc Smart911
 
Nisubiri uniambie tuachane wakati matendo yanaonyesha umeshaniacha?
Ndo maana wanakuchukia
 
Ss kwann uhaihidi kitu ambacho unajua fika hakipo?
Then tunashangaa kuchukiwa😄
 
Wakati nakuquote kuna lingine hapa tunapeana kibuti now now
Sasa ukiona hizo text zake zilivyojaa chuki halafu na taarabu nyingi duuh.
Ila kumbuka unavyolala na Kila mwanamke Kwa bidii, ndivyo unavyochafua nafasi yako kupitia hao wanawake ndivyo unavyojiungamanisha na mikosi ,mapepo nk ya hao watu
 
You are a vessel, devil uses you unknowingly to manipulate women, to promote sexual perversion and to introduce them to dark spirits that ruins their lives and steals their stars as they did to you
After you recruit a woman those spirits won't let you rest or stay with the same woman till you recruit more and more of them..

So I advice you accept Jesus as the Lord and savior then start to live holy life
 


Mahali penye uchafu utakuta nzi wengi sana


Mahali penye Asali Huwezi kukosa nyuki 🐝


MKUU jiwajibikie mwenyewe ukiona Kitu au Hali yoyote iwe njema au mbaya inakuja Kwako na kukupata haijakosea njia 👉imekuja Mahali pake pa kuweka makazi


Ukiona unachukiwa jichunguze mwenyewe Sio kutupa lawama kwa wengine Wakati wewe ndiye mwenye matatizo


Hizo chuki hazijakosea njia Mkuu na usipojiangalia mwenyewe na kujisahihisha na kujisafisha na udhalimu wote utazidi kuchukiwa ADI Siku unaingia kaburini
 

🔑
 
Bado nchi ina watu wapuuzi sana. Mleta uzi ni mfano hai.
Kwamba upuuzi ni kula mema ya nchi?
basi kila mmoja ni mpuuzi tu..
Kaeni na matusi yenu mnaojiona werevu sana..
Hapa nataka ushauri tu umesikia wewe mama? Mwenye naniliuu pana kama govi la tembo.
 
Ila kumbuka unavyolala na Kila mwanamke Kwa bidii, ndivyo unavyochafua nafasi yako kupitia hao wanawake ndivyo unavyojiungamanisha na mikosi ,mapepo nk ya hao watu
Uncle hizo fikra za kupewa mikosi ondoa kichwani mwako kabisa maana tuna njia za kuondoa hizo mnaita sijui mikosi na nuksi
Kama huna dawa ni wewe..
Hivi mnaishije na wazee wenu halafu hawawarithishi hata dawa za kuondoa mikosi? Ina maana ninyi faida zenu ni kurithi majina tu na kusaidiwa kifedha?
Wanakufa ukoo mzima hakuna hata mtu mmoja mwenye dawa wala maarifa ya kutibu hata kaswende hadi mnakimbilia kujazana muhimbili na kuambukizana magonjwa mapya kupitia njia ya hewa?
Mkuu nikuambie tu kitu kidogo hakuna hicho kitu kwenye koo zetu
 
Halafu unategemea wasikuchukie
Haya mambo bwana Bora kuwa single tu
No stress sometimes 😄
Mkuu kuwa single hapana nakukatalia tena hapana
Wewe kamata mtoto wa watu mdanganye tu.
Yaani hakikisha unamdanganya sana.
Maana usipodanganya wewe bado utadanganywa na huyo uliyeamua kuwa mkweli kwake.
Ni kanuni tu ya mahusiano mkuu
Wewe mtu kazaa kabisa halafu anakuambia kuwa anakupenda umuoe?
Halafu wewe usimdanganye? Acha umalaika ambao najua kama wewe ni mwanaume huna.
Na kama una huo wema basi wewe ni bwege ambae baadae utakuja uamke na kuwa mnyama zaidi yangu.
Nakuapia tena.
Endelea kuniona mimi mshenzi wakati huo huo na mimi nakuona bwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…