Mkuu....Hakushauri,ukiweza mpeleke home au kwa ndugu wenye uzoefu;
Hayo mambo hata mimi muda si mrefu yatanipata,ila maamuzi yangu ataenda kwa dada yake azae huko!
Hii picha imenitia hasira.Haya soma hapo kama bado hujanunua vifaa vya leba akishajifungua anatakiwa ale vyakula vyepes mitori chai wenye pilipili manga na uji wenye pili pili manga Ili maziwa yatoke
Tafuta mtu wa kumsaidia hutoweza ajir hata mtu wa kuja na kuondoka
Ushauri mzuri sana umenifanya nimekumbuka mdogowangu alivojifunguaNunua vifaa vya kujifungulia kama kanga, vitenge, gloves, n.k pia mtoto akizaliwa kuna vitu pia vya kununua kama babyshow, beseni, kofia soksi, vinguo, chupa ya chai na mtori, pia uwe na akiba kidogo ukiondoa hivyo akiba kama ya laki 2 had 3, kuna vigharama vya ajabu vinaingezekaga kama kumuhonga nesi amhudumie vizuri kama ni hospitali ya serikali, usafiri wa taksi, chakula spesho kwa mama na gharama zingine huja wakati huo. Inshort uwe na hela ya akiba si chini ya laki 2 had 5
Mimi hua nachukua likizo tunapo karibia kujifungua ili niweze kumsaidia wife katika hali zote na malezi wa vichanga wetu.Kama mtoto wa pili , mkeo atakuelekeza nini Cha kufanya Kila la kheri...
Ila omba asiongezewe njia au Op nje ya hapo anatoboa tu peke yake...
Hongera sana bilashak utakuwa na miak 50 kwasasa vijana hawawez hayo mambo 😃😃mke yupo wodini yeye yupo kwa mchepuko anatuma salamu tu vipi huko tayari 😃😃😃Mimi hua nachukua likizo tunapo karibia kujifungua ili niweze kumsaidia wife katika hali zote na malezi wa vichanga wetu.
Watanzania wengine bhn ni bure kabisa .. Yaani mtu anauliza ushauri namna ya kumtunza mkewe akiwa uzazi wewe unasema atafute mchepuko awe anapiga huko sasa hiyo ndio itamuongoza jinsi ya kufika hospital??? Itampa experience ya kukanda tumbo??? Namna ya kupika chakula cha bure cha mzazi n.kTafuta demu uwe unamtom.bea mbali. Wanawake kipindi cha mimba kupewa nyappu kipengele
Hongera sanaMimi hua nachukua likizo tunapo karibia kujifungua ili niweze kumsaidia wife katika hali zote na malezi wa vichanga wetu.
CAMANGAMpe muongozo amsaidiaje
Asante cute,kwanza hongera kwa wifi amepata mwenza mzuri anayejali.....mwezi mmoja alionipambania mama yangu mzazi ...baada ya hapo nilifua,nilipika,nilideki,niliosha vyombo na kuhudumia vyema wanangu....
3M mtu kujifungua tu,makubwa haya.Okay,andaa pesa,peleka hospital apewe huduma privately( premium room/VIP ward)
Mungu anisaidie,mke wangu nampeleka hospital nzuri,room ya peke yake,naanda hela ya kutosha tu awe salama.
Hope 3m inatosha kwa dharura na kila kitu hapo.
Ukiweza, tafuta nurse,awe anakuja kukusaidia,mlipe privately ,yatapita tu haya mkuu.
NI KWELI HUYO ALISAFIRI.
Mambo mazuri kabisa hiyo namba 8 asisahau nasikia ni mbaya sana unaweza mtia mabalaa na nuksi mtoto japo Sina hakikaAsante cute,kwanza hongera kwa wifi amepata mwenza mzuri anayejali...Mimi binafsi nilibahatika ndoa ila sikubahatika mume....wanangu wote wawili mbali na operation nilizofanyiwa...mwezi mmoja alionipambania mama yangu mzazi ...baada ya hapo nilifua,nilipika,nilideki,niliosha vyombo na kuhudumia vyema wanangu....
Sasa,ngoja nikupe experience ya nini Cha kufanya kwa namna nilivyohudumiwa na mama...
1.Mwambie hongera na mshukuru wakati wote(inaondoa stress,akiwa hana stress ziwa halichafuki hivyo humpunguzia mtoto kuhara au kuumwa tumbo)
2.Kumpikia mtori,kama ana operation usiwe wa mhogo.. kwenye mtori huku kwetu mbeya hatusahau karanga,au tui la Nazi au maziwa
3.Msaidie kubembeleza mtoto anapolia,pale mnapokuwa pamoja
4.msaidie kufua vinguo vya mtoto,usione haya ni kawaida sana kufua nguo za mwanao
5.msaidie kumwandalia maji ya kuoga,kama unaweza basi mwogeshe kabisa
6.msaidie kumfanyisha zoezi....asilale tu muda wote,mtoto akilala atembee kidogo nje,ajishughulishe na vikazi kidogokidogo...ni zoezi tosha
7.Mpe muda mrefu kidogo bila kusex nae...at least miezi 3 kama utaweza...japo tunaambiwa ni siku 40 tu shughuli ianze tena
8.Kumbuka kuoga ukitoka kuchepuka...usimshike mtoto kabla hujajisafisha mwili... please
Pale waafrika wanavyoiga uzungu.Asante cute,kwanza hongera kwa wifi amepata mwenza mzuri anayejali...Mimi binafsi nilibahatika ndoa ila sikubahatika mume....wanangu wote wawili mbali na operation nilizofanyiwa...mwezi mmoja alionipambania mama yangu mzazi ...baada ya hapo nilifua,nilipika,nilideki,niliosha vyombo na kuhudumia vyema wanangu....
Sasa,ngoja nikupe experience ya nini Cha kufanya kwa namna nilivyohudumiwa na mama...
1.Mwambie hongera na mshukuru wakati wote(inaondoa stress,akiwa hana stress ziwa halichafuki hivyo humpunguzia mtoto kuhara au kuumwa tumbo)
2.Kumpikia mtori,kama ana operation usiwe wa mhogo.. kwenye mtori huku kwetu mbeya hatusahau karanga,au tui la Nazi au maziwa
3.Msaidie kubembeleza mtoto anapolia,pale mnapokuwa pamoja
4.msaidie kufua vinguo vya mtoto,usione haya ni kawaida sana kufua nguo za mwanao
5.msaidie kumwandalia maji ya kuoga,kama unaweza basi mwogeshe kabisa
6.msaidie kumfanyisha zoezi....asilale tu muda wote,mtoto akilala atembee kidogo nje,ajishughulishe na vikazi kidogokidogo...ni zoezi tosha
7.Mpe muda mrefu kidogo bila kusex nae...at least miezi 3 kama utaweza...japo tunaambiwa ni siku 40 tu shughuli ianze tena
8.Kumbuka kuoga ukitoka kuchepuka...usimshike mtoto kabla hujajisafisha mwili... please
OPHakushauri,ukiweza mpeleke home au kwa ndugu wenye uzoefu;
Hayo mambo hata mimi muda si mrefu yatanipata,ila maamuzi yangu ataenda kwa dada yake azae huko!
AminaPale waafrika wanavyoiga uzungu.
Ndiyo ukweli cute...siyo wanawake wote wazuri huko njeMambo mazuri kabisa hiyo namba 8 asisahau nasikia ni mbaya sana unaweza mtia mabalaa na nuksi mtoto japo Sina hakika
Nyie mnawaza upuuzi tu shenzi pumbavuTafuta demu uwe unamtom.bea mbali. Wanawake kipindi cha mimba kupewa nyappu kipengele
Bado nakula ujana mkuu..😜Hongera sana bilashak utakuwa na miak 50 kwasasa vijana hawawez hayo mambo 😃😃mke yupo wodini yeye yupo kwa mchepuko anatuma salamu tu vipi huko tayari 😃😃😃