Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

Kama ni mshikaji shemeji nenda. Hakuna ubaya wowote.

Sheria kuu omba chumba cha nje, usikae sebuleni wawapo wawili kwa muda mrefu zuga ata unatoka kuzungumza na simu.
Hawana chumba cha nje mkuu, nafanyaje hapo?
 
Yani ukakae kwa dada ako??? Si bora uende geto kwa masela ulale kwenye mkeka na kujifunika ngumi....

Bora hata ungekua unaenda kwa kaka sio kwa dada asee pambana kiume usiende, kuna siku shemeji ako atampiga dadako kibao cha takko kimahaba halafu wewe utahisi ni dharau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee!
 
Daaaa!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…