jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Nenda lakini upange chumba chako nunua godoro na kapeti na ndoo, hivi italeta heshima ata siku moja utamleta keo kuja kusalimia,Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.