Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

Nenda tu kakae huko huko mpaka utimize ndoto zako, hawawez kukufuza lkn matendo yao yatakufanya naww ukatafte kwako, mpumbavu wew
20220909_110546.jpg
 
Huo ni mtego mkuu
Inaonyesha Dada yako hua ni mgonjwa Mara kwa Mara
Sasa jomba kaamua kukukaribisha kulipishia mahali
utaliwa utumbo Mpana siku moja sister akiumwa tena.
Hakuna free lunch kumbuka
Tafuta geto la nje
Shaur yako
#ushauri tozo
 
Daa pole sana mkuu,Shemeji yako ana roho mbaya sana.
 
Nenda kakae kwa malengo,kama umehakikishiwa kazi ya kufanya nenda...kapambane kwa bidii rudi uchukue familia yako,kuna watu humu wanachangia lakini wengine wapo either kwa wazazi au mashemeji zao.
 
Moja ya vitu sivitamani kuishi kwa Ndugu aseeeeee..... kuishi kwa Ndugu kuna matatizo yake
 
Nenda kakae kwa malengo,kama umehakikishiwa kazi ya kufanya nenda...kapambane kwa bidii rudi uchukue familia yako,kuna watu humu wanachangia lakini wengine wapo either kwa wazazi au mashemeji zao.
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Back
Top Bottom