ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
- Thread starter
- #21
Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.We mtu mzima, nikiwa na umri Kama wako nilikuwa tayari nishajitegemea yaani Niko kwangu