Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

Nenda mwaya huyo ni nduguyo kikubwa uwe kweli na shughuli ya kufanya kama bado hujawa nayo ni tatizo,
Usipeleke sheria za nyumbani kwako kwenye nyumba ya Watu, usifatilie malezi ya Watoto wa wenzio, wewe angalia kilichokupeleka baada ya miezi mitatu hama hapo.
 
Nenda na earphone za muziki mnene, kisha anza kuzitumia kila ikifika saa tano usiku hadi saa 11 alfajiri,
Utanishukuru baadae maana unachokitafuta ni kujua kwa nn dada yako kaolewa
 
Labda kwa muda jiwekee, malengo ila usiende kulowea, usizidishe mwezi yaani zisikujute bill zaidi ya mbili hapo
 
Seems una matatizo kichwani, mwanamme kamili na mtanzania mwenye maadili yake hawez furahia wala kutetea unachotetea hapa.
Au unataka kumpokonya dada yake mme mkuu
Asiyekuwa na akili kamili ni yule ambaye mpaka dada yake anaolewa,anaza watoto halafu hajui nini kichoendelea kati ya dada yake na shemeji yake.
Umeandika kishogashoga tu
 
Hakuna changamoto zaidi ya kubaniwa kuvusha wakati unajua shemeji yako analala na dada ndani.
 
Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.
Fulsa za nyoko, nenda kapange chumba hata kimoja si unaanza maisha seheme mpya? Sasa unaogopa nini mpaka ukaishi kwa dada yako?
 
Labda kama unakaa muda kidogo sana vinginevyo sikushauri utachokwa mapema sana uanze kujuta.
 
Back
Top Bottom