ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
- Thread starter
-
- #21
Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.We mtu mzima, nikiwa na umri Kama wako nilikuwa tayari nishajitegemea yaani Niko kwangu
KahawaChai.
Sasa mkuu, yaani ukubali kwenda kuishi kwa dadaako kabisa. No, think otherwise mkuu. Yaani kabisa. Eeeeh watu mna moyoSijasema mimi mtoto,sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.
Aiseee miaka28 ukaishi kwa dadaaaaaaa duuuuuhMwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji ,kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki.
Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa za kuishi na hawa watu na namna ya kukabiliana nazo.
Ameomba ushauri tu Mkuu. Swala la lini ulianza kujitegemea siyo sehemu ya mada hiiWe mtu mzima, nikiwa na umri Kama wako nilikuwa tayari nishajitegemea yaani Niko kwangu
Utavumilia ukisikia vilio vya dada yako?Hawana chumba cha nje mkuu, nafanyaje hapo?
Hiyo kawaida tu mkuu,hata nisiposikia vilio najua kinachoendelea.Utavumilia ukisikia vilio vya dada yako?
Sio kwa kupenda mkuu, ni changamoto za maisha, lengo sio kuhamia baada ya miezi kadhaa au mwaka nitatafuta chumba nipange.Sasa mkuu, yaani ukubali kwenda kuishi kwa dadaako kabisa. No, think otherwise mkuu. Yaani kabisa. Eeeeh watu mna moyo
Hivyo hivyo tu, mke mdogo! Kuna siku shemu wako atakupiga kibao cha trakoMimi mwanaume mkuu
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Chai.
Mkuu tafuta chumba hata cha elfu kumi kwa mwezi weka mkeka ishi humo. Kwa Dada uwe unagongea msosi na matumizi madogomadogo. Najua ni kwa nia njema ila Fanya hivyoSio kwa kupenda mkuu, ni changamoto za maisha, lengo sio kuhamia baada ya miezi kadhaa au mwaka nitatafuta chumba nipange.
Kwahiyo unaenda na familia yako? Au unaiacha unaenda mwenyewe?Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani ukakae kwa dada ako??? Si bora uende geto kwa masela ulale kwenye mkeka na kujifunika ngumi....
Bora hata ungekua unaenda kwa kaka sio kwa dada asee pambana kiume usiende, kuna siku shemeji ako atampiga dadako kibao cha takko kimahaba halafu wewe utahisi ni dharau
Acha upumbavu...kwani mashabiki wa Chelsea wapojeHuyu ni shabiki wa chelsea fc aseeeeeeeee. Sio bureeeeeeeeeee
Yaani dume ukaishi kwa dadako? Zinakutosha kweli wewe?Mimi mwanaume mkuu
Mkuu mkeo unamuachia nani?Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.
Jinsia yako?Mwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji ,kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki.
Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa za kuishi na hawa watu na namna ya kukabiliana nazo.