Wazoefu: Zipi changamoto za kuishi kwa Shemeji/Dada?

Sijasema mimi mtoto, sijasema sijitegemei pia sijasema sina kwangu,Nina kwangu Nina mke na watoto watatu,nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 nilioa nikiwa na miaka 20,Huko kwa ninakotaka kwenda nimeambiwa kuna fursa siendi kukaa kihasara hasara.
Nenda lakini upange chumba chako nunua godoro na kapeti na ndoo, hivi italeta heshima ata siku moja utamleta keo kuja kusalimia,
 
Changamoto zipo nyingi mojawapo ni hao wakina Junior ni nomaaa hao lazima utafurahia shoo yao.
 
Miaka 28 bado unataka kujidekeza kwa dada...kakae gheto we fala, tafuta hata chumba cha giza.
 
Mwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji ,kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki.

Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa za kuishi na hawa watu na namna ya kukabiliana nazo.
Wewe Maghayo njoo leta uzoefu wako hapa mada inakuhusua 100%
 
Dogo , wee tafuta hata masela unaowaelewa vyema , na wanaokuelewa vyema ishi nao mzee hao ndugu ikifika miaka ya 25+ plus sio ndugu zako tena , yatakayo kutokea ikiwamo na kusingiziwa kubaka yatakuwa yako mwenyewe na jina lako....
 
[emoji1319]
 
Ataisije dharau wakati dada yake kilichomoeleka kwa huyo njemba ni kupelekewa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…