Uchumi wa uingereza ni wa kawaida sanaWanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa tukio hilo limetokea Africa habari zingetangazwa kila
Mkuu,Wanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama
Sioni sura za wizi hapo naona kama ni watu waliokwazika na jambo fulaniWanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa tukio hilo limetokea Africa habari zingetangazwa kila ]
Hivi ulaya kuna manzese?Wanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama ]
Kwani uporaji si fujo?Mbona umetumia lugha ya unyenyekevu sana. Hizo ni fujo au uporaji?
Unataka nikuelekeze nn tena Palina
]Ukilinganisha level ya kujielewa kwa wenzetu na Huku kwetu utaona tunasafari ndefu sana.Wanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa tukio hilo limetokea Africa habari zingetangazwa kila ]
Wanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama
Katika mumtadha wa mmeta mada inabidi kuainisha aina ya fujo husika. Fujo inaweza kusababisha uharibifu wa mali lakini pasiwepo na wizi/uporajiKwani uporaji si fujo?