Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

Inawezekana inatangazwa lakini sio sawa na namna akifanya Mwafrika inatangazwa kwa intensity kubwa mno.
Hamsomi tu, halafu mnalaumu haitangazwi.

Mtajuaje haitangazwi wakati hamsomi?

Hujamsoma William L. Shirer, halafu unalaumu uporaji wa wazungu hautangazwi.
 
Wanakummbi.

Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa tukio hilo limetokea Africa habari zingetangazwa kila kona. Bahati mbaya hata wale watumwa wa Wazungu wanaona kama wazungu wanaonewa.


Hawa ni waarab bwana, wanajifanya wazungu tu
 
Back
Top Bottom