1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
kilinganisha level ya kujielewa kwa wenzetu na Huku kwetu utaona tunasafari ndefu sana.
Vituo vya mwendokasi hata miaka kumi havijamaliza kaangalie saivi vikoje, mabasi tangu yaanze kutumika hata muda hayana kaangalie saivi yakoje. Kama ilivyo hapa Tanzania sio wote hawajastaarabika na huko ni hivyo pia sio wote waliostaarabika tukiweka kwa namba naweza zaidi ya robo tatu huku hawajastaarabika ila kwa wenzetu ni zaidi ya robo tatu watu wamestaarabika.
Nchi za Afrika tungejitalbua kama Bukinafaso na Senegal leo wazungu wangeishi kama mashetani na machokoraa humu duniani .